Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 22
Kwa mtazamo wangu, iwe:-
1. Nchi yenye amani ya kweli wala si nidhamu ya woga.
2. Nchi yenye viongozi walioko madarakani kwa ajili ya maslahi ya nchi yao.
3. Nchi inayojali utu wa kila mtu bila kujali uwezo wa kiuchumi au itikadi.
4. Nchi inayotumia raslimali zake kwa maendeleo ya watu wake.
5. Nchi inayoheshimu utawala wa sheria.
6. Nchi inayothamini mazingira.
Upi ni mtazamo wako mwana JF?