Tanzania (Taifa Stars) vs Morocco

naona refa hataki masikhara kapiga mtu kadi ya njano kwa kulalamika inaelekea waarabu wanatafuta penalty wafunge basi warudi nyuma kuzuia
Waarabu hawajui fair play ndio maana huwa hawafiki popote nje ya Afrika.. I saw the replay, Kaseja was first to the ball, Chamakh akaenda kujikwaa kwa kusudi kabisa ..
 
Tulishasema tangia mwanzo kwamba wawe makini na header za Chamakh lakini wapi..sikio la kufa halisikii dawa..
 
Tulishasema tangia mwanzo kwamba wawe makini na header za Chamakh lakini wapi..sikio la kufa halisikii dawa..

Mie nimeamua kuacha kuangalia mpira ngoja nikatafute moja baridi nishushie jioni hii sioni dalili ya stars kurejesha
 
Labda tutachomoka tusubiri kipindi cha pili labda vijana watakuja na nguvu mpya.
 
Ngoja mi nirudi zangu kwenye jukwaa la 'Politics' ... haaa!
 
Back
Top Bottom