Jembajemba
JF-Expert Member
- Feb 3, 2007
- 257
- 32
yeah mpira umeisha bila bila
Kijasho chembamba cha ahueni kimenitilirika kusikia bolli limemalizika bila bila.... I hope maneno ya Mtaalam yana ukweli.
... Mama, huchelewi kuta mak'simoo alikuwa amesha pack masanduku yake tayari kutoroka kama mambo yangeenda kushoto leo.... saa hizi nafikiri anaanza kufikiria jinsi ya kupakua nguo kutoka sandukuni tu na vile vinyago alivyonunua Makumbusho kama zawadi ya kuonja Bongo anafikiria refund atapataje.... lolasavali, duh ama kweli mak simoo atapumua, bao lingeingia leo kibarua chake kilikuwa hatarini. Wanastahili hongera
... Mama, huchelewi kuta mak'simoo alikuwa amesha pack masanduku yake tayari kutoroka kama mambo yangeenda kushoto leo.... saa hizi nafikiri anaanza kufikiria jinsi ya kupakua nguo kutoka sandukuni tu na vile vinyago alivyonunua Makumbusho kama zawadi ya kuonja Bongo anafikiria refund atapataje.... lol
....hebu ngoja miye nikatafute Chibuku hivi sasa...!!
Majirani wetu wote wameshinda kwa unono; Kenya 2 - 0 Zimbabwe, Uganda 3 - 1 Angola, Malawi 1 - 0 Misri, Rwanda 2 - 1 Morocco, can you imagine? Huenda soka limeanzakuhamia ukanda wetu.
Soon utasikia Ivo Mapunda anakwenda majaribio Man U soak limepanda ati!Majirani wetu wote wameshinda kwa unono; Kenya 2 - 0 Zimbabwe, Uganda 3 - 1 Angola, Malawi 1 - 0 Misri, Rwanda 2 - 1 Morocco, can you imagine? Huenda soka limeanzakuhamia ukanda wetu.
Nina haki ya kuipongeza Taifa stars, this is an excellent result, ukizingatia tumetoa draw na Maur na kufungwa na Cape Verde. Duu safi sana kuwazuia akina Etoo, Getap et al...
UKISHAONA UNAFURAHIA DROO (HASA YA NYUMBANI) UJUE WEWE NI MAAAMUMA WA MPIRA!!!
UKISHAONA UNAFURAHIA DROO (HASA YA NYUMBANI) UJUE WEWE NI MAAAMUMA WA MPIRA!!!
Ndiyo taifa star wametoka sare ya bila kufungana je haya ni matokeo mazuri?Nimesikia wanasema Stars wametoka ngoma draw na Cameroun.
Ndiyo taifa star wametoka sare ya bila kufungana je haya ni matokeo mazuri?
Ndio ukweli wenyewe kwa dataz ni kama tumeshindaNimesikia wanasema Stars wametoka ngoma draw na Cameroun.