TANZANIA (taifa stars) vs CAMEROON !!!

Saturday 21 Jun 2008
16:00 Zambia85' Felix Katongo penalty 1 : 0 Swaziland44' Siza DLAMINI
17:00 South Africa 0 : 0 Sierra Leone Second stage
18:30 Cameroon69' Samuel Eto 90' Samuel Eto 2 : 1 Tanzania80' Danny MRWANDA
19:00 Nigeria45' Yakubu Ayegbini 84' Ikechukwu Uche 2 : 0 Equatorial Guinea
22:00 Morocco13' Youssef Safri penalty 49' Nabil Elzhar 2 : 0 Rwanda
22:00 Burkina Faso25' Charles KABORE 30' Mahamoudou KERE 64' Mahamoudou KERE 89' youssef koni 4 : 1 Seychelles45' Bernard ST ANGE
22:30 Tunisia30' Chaoukhi Ben Saada 44' Jemaa Issam 2 : 1 Burundi 21'Suleiman Ndikumana 45' Henry MBAZUMUTIMA
23:30 Senegal8' Ibrahima Sonko 34' El Hadji Diouf 63' Souleymane Camara 3 : 1 Liberia90' Zah KRANGAR
 
Tatizo maximo hashauriki.anaona kila kitu anachukua kwa JK. hivyo wapenzi wa mitaani kama sisi hatusikilizwi.

na Tenga anaogopa sana kwa vile Taifa stars ni sera ya CCM na yeye ni Chadema anaogopa kuambiwa anavuruga sera.

Kipa wetu ni tatizo kubwa tutafungwa sana. sijui Maximo ana bifu gani na Kaseja.

Cameroon hivi sasa wameshuka kama Senegal kwa kiasi fulani. ilikuwa wakati muafaka wa kuitangaza nchi yetu lakini Maximo katubania. na sisi tunasifika kwa ukarimu na utulivu hasa kwa wageni wanaochukua rasilimali zetu.

sorry brother ,
napenda kutokukubaliana na wewe hapo kuhusu swala la kocha na timu kwa ujumla.
Hii still iaonyesha jinsi wa bongo tulivyo,tunapenda maendeleo ya harahara na hayo maendeleo yakishindikana ku-materialize kutoka na muda always and i repeat always lazima tumtafute mtu wa kumtupia lawama.
Nadhani kila mtu aliona ule mpila siku ile,watoto wetu walicheza vizuri mno ukilinganisha na kipindi chochote unacho kijua wewe kwenye soka letu,matunda ya kua na mwalimu mzuri kila mtu ameyaona ila kwa wachache ambao wanadhani leo hii tunaweza kusimama/kucheza hata na Italy tukawafunga eti tu kwa sababu mwalimu amekaa zaidi ya miaka miwili.
Tusisahau,mpirana kima NYUMBA,msingi mzuri ndio unaletea nyumba bora in two yrs sisi tutakua natimu nzuri sana Afrika kama sio duniani ila inahitaji uvumilivu .
 
nmekuta bbc huko squad letu ndo hilooo mwee angalau dakika kumi zimepita hatujafungwaa!!!

1 Ivo MAPUNDA (GK)
2 Salum SWED
4 Athuman IDDY
5 Shaban NDITI
7 Danny MRWANDA
8 Mrisho NGASA
9 Geofrey BONY
13 Nadir HAROUB
14 Shadrack NSAJIGWA
16 Nizar KHALFAN
17 Amir MAFTAH

Hii ndio ilikuwa Taifa Stars original. sio wauza sura wa sasa hivi.
 
Back
Top Bottom