Tanzania taifa la mapenzi,watu wanawaza mapenzi mda wote.

matumbo

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
7,225
3,944
Hii nchi haitokuja kuendelea kamwe ebu ona wananchi wake wanawaza mapenzi mda wote....maofisini watu wanawaza mapenzi,majumbani,vijiweni,kwenye madaladala mijitu imekaa kimya utazani inatafakari ya maana kumbe inawaza ngono tu..
Ebu ona na umu JF watu wanajazana jukwaa la mapenzi,wengine sijawai kuwaona ata majukwaa mengine kama Intelligence,Elimu,Business na Lugha yani mtu kujiandikisha tu anakimbilia jukwaa la ngono.
Hivi watanzania tulilogwa?mbona tunapenda sana chini!

Ushauri wangu..
Jamani tujitokeze ata kwenye majukwaa mengine muone wanaume tunavyoshusha nondo,maana umu naona sura zile zile azimuv ata kuchungulia sehemu zengine kwa jinsi damu zao inavyochemka ngono..
 
Ukienda Paris si utazimia jinsi watu wanavyongonoka!! Na bado hao hao wangonokaji ndio wewe na rais wako mnawaombaomba!
 
Nzi?..ilo jina we unakula vya kinyesi nini?acha uo mchezo,kwa taarifa ukipita huo mlango ata shetani huwa anakimbia hataki ushaidi kabisa.
 
Unazidi kula matapishi yako.

Kuona neno NZI tu,tayari ushawaza ngono!
 
sa kama sijui siasa nikafanye nn kwenye hilo jukwaa?
mapenzi ndo kila kitu ndugu hata wewe hapo ni product ya mapenzi.....
 
Ukiondoa wa-Italia, wao first thing to love and give priority is FOOTBALL, Wajapan comes next, wao maisha yao tangu utotoni ni designing na ufundi, Chinese follows.
The rest hamna kitu, so ndugu fanya tena hiyo research yako, ukiwa mtu mzima lazima uwaze ngono man, na wewe umeuweka huu uzi ukiwaza ngono tu, may b umepigwa kibuti cha shingi leo....teheteheee
 
ungekua mfano ukasema, kamwe sinto gusa jukwaa la mapenzi, kitendo cha kupost topic tu,,,, tayari unaunga mkono hoja.
 
kwaio we umeshajitoa muhanga ni ngono kwenda mbele..mapenzi sawa lakini mda wote hapana,yani hupati ata mda wa kupoteza sekunde 30 kujua nchi yako kunaendelea nini.
 
Ukiondoa wa-Italia, wao first thing to love and give priority is FOOTBALL, Wajapan comes next, wao maisha yao tangu utotoni ni designing na ufundi, Chinese follows.
The rest hamna kitu, so ndugu fanya tena hiyo research yako, ukiwa mtu mzima lazima uwaze ngono man, na wewe umeuweka huu uzi ukiwaza ngono tu, may b umepigwa kibuti cha shingi leo....teheteheee

mkuu Sizinga,sijawai kupigwa kibuti na binti,na sidhani itakuja kutokea,mi ndio huwa napiga..najua kucheza nao hawa watu,Matumbo ni habari mbaya msikie ivo ivo tu.
 
Ukibishana na mtu ambae amejiandaa kubisha utaonekana chizi! Kwanza watanzania wana stress nyingi za maisha hawawazi mapenzi sana! Tembea nchi zilizoendelea uone watu wanavyofanya mapenzi na hawajali na hawana heshima!
 
ungekua mfano ukasema, kamwe sinto gusa jukwaa la mapenzi, kitendo cha kupost topic tu,,,, tayari unaunga mkono hoja.

kuna watu wanashinda umu,wanakesha umu na wanaamkia umu.
 
Ukibishana na mtu ambae amejiandaa kubisha utaonekana chizi! Kwanza watanzania wana stress nyingi za maisha hawawazi mapenzi sana! Tembea nchi zilizoendelea uone watu wanavyofanya mapenzi na hawajali na hawana heshima!

wabongo wanapenda sana mapenzi utafikiri wana kila kitu,sidhani kama kuna watu wanatufikia.
 
Back
Top Bottom