Tanzania taifa la majanga, Hivi kweli tutafika?

Mtu wa Mungu

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
444
19
Majanga!!!!!-majanga!!!!!-majanga!!!! Mara mv bukoba!!, mara ajali ya treni dodoma!!!,.... ajali za barabara kibao!!!, ...mabomu g/mboto 1!!!!!,....mabomu mbagala!!!, ...arusha trajedies!!!!, .....uchaguzi mkuu wa 31.10.2010 uliojaa uchakachukuaji wa wabunge batili 19 na rais batili!!!!,...rais kulindwa na majini!!!!, ....rais kuanguka kila leo!!!!, ...IPTL!!!!, .....richmond!!!, .....dowans!!!!,.......epa!!!!, .....kagoda!!!!,....RA/ENL/AC!!!!!,.....form4 88% failure!!! .....ongezeko kubwa la umasikini katika miaka 5 iliyopita!!!,....kuchakachua kanuni za bunge!!!,.....spika wa ajabu!!!!!!, ...mabomu g/mboto 2!!!!,......taifa kupoteza matumaini na mwelekeo kimaadili!!!!, umeme migao kibao!!!!!,...maji shida!!!!!,..ATCL imekufa!!!!, ...TRL imekufa!!!!,...rasilimali za nchi zinabebwa na wageni hadharani,..fedha matrilioni zitokanazo na rasilimali za nchi kuwekwa mabenki ya nchi nje na kuacha mashimo matupu nchini!!!!,.....chama tawala na serikali yake kutekwa na mafisadi(magaidi)!!!!!,..... na mengineyo mengi mengi mengi!!!!!!!!!!! hatimaye taifa kuzama!!!!!!!!!!!!!!!!
Hivi kweli tutafananaje katika Jumuia ya A Mashariki????????????????:spider::blah::A S 112::decision:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom