Tanzania - taasisi ya urais inavyodhalilishwa

Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
13,160
10,007
Wakuu,
Hii Taasisi imedhalilishwa sana na Ma Rais wa Miaka ya hivi Karibuni,
Thats why kila mtu anafikiri anaweza kuwa Rais, tusiwalaumu wanaoji advertise kuwa wana sifa za kuwa Marais ilhal hivyo viatu vimewaacha mbali sana Ki Namba, tuwalaumu hawa akina Mkwe.re kwa kuidhalilisha hiyo Taasisi, No wonder Next Week akasimama mwehu mwingine kusema kuwa ana sifa za Kuwa Rais wa hii Nchi, by the way, kila Mtu ana haki ya kusema hivyo, so lets not waste our Valuable time kujadili hii issue

Mood Naomba msinichukulie Vibaya
 
Back
Top Bottom