DAR si LAMU
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 2,928
- 544
Sisi tunakimbilia kujenga mradi ambao utakufa in 10 years.
..una maana viwanda vitaacha kutumia magadi soda in 10 years to come?
Tuwauliwe wao NDC what happened to Kiwira? mbona makaa ya mawe bado yapo na hatuyatumii?
..what happened? mkapa?
What happened to SPM Mgololo? Viberiti Moshi na upupu wa mashirika na viwanda ambavyo vilikuwa chini ya NDC?
..what happened to spm? mi mbona naona malori mengi njiani yana majina ya spm? au wanaendesha biashara ya usafirishaji?
Sasa kama watashindwa kutupa tathmini ya faida zilizopotea, kuna faida gani kuvuna magadi kwa miaka 10, kisha tukabakia na magofu na kurudi kule kule kuagiza kutoka nje au kutumia substitue products?
..hii nakubaliana nayo.