Tanzania secures 1.8tri/- loans from China for construction Road 230 km and pipeline gas mtwara

Tanzania has secured a 1.2 billion US dollars loan to finance the construction of a 230-kms natural gas pipeline linking Mtwara gas fields and Dar es Salaam.


Mizengo-Pinda.jpg
Prime Minister Mizengo Pinda

The agreement to that effect was signed in Dar es Salaam on Wednesday and witnessed by Prime Minister, Mr Mizengo Pinda and the visiting Chinese Vice Premier, Mr Hui Liangyu, at the Prime Minister’s Office in Dar es Salaam. The agreement was signed by the Finance Minister, Dr William Mgimwa and the Deputy President of EXIM Bank of China, Mr Li Jun.
Other documents initialed by the two parties are exchange of letters on the project of office building for Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation and amemorandum of understanding (MoU) on agricultural cooperation. He fourth document was an MoU between the Government of Tanzania and China Merchants Holdings (International) Company.
Speaking before the signing, Mr Pinda said Tanzania wants to get advantage of the offer by China recently providing an outlay of 20 billion US dollars credit line to African countries to assist them in developing infrastructure, agriculture, manufacturing and medium-size enterprises.
The Chinese offer was announced by President Hu Jintao during ministerial meeting of the Fifth Forum on China-Africa Cooperation (FOCAC) held in Beijing from 19 – 20th July 2012. Prime Minister Pinda said Tanzania has drawn a list of priority projects and it will be delivered to China to be able to secure funds.
He thanked the Chinese government and the people of China for the invaluable support and assistance extended to Tanzania over the years. On his part, the Chinese Vice Premier described the relationship between the two countries as “all weather friendship” and pledged that his country will continue to provide financial support to Tanzania’s priority projects.
Mr Hu LIangyu arrived on Wednesday and paid a courtesy call on president Jakaya Kikwete. He is visiting Zanzibar on Friday and leaves on Saturday. He had come from Brazzaville. It is the first visit to Africa by a high ranking official after the FOCAC meeting.
 
nasikia exploration zone ya mtwara imepewa kwa china kumnusuru dogo janja na kitanzi baada ya kukamatwa uchina akiwa na sembe,by jason bourne thread.
 
Duh..deni la Taifa linazidi kupaa tu. Nawaonea huruma sana watoto na wajukuu zangu. Madeni sio yao, watalipishwa wao!
 
Wasizile tu pesa za mradi wakawapa tabu wajukuu zetu kulipa madeni makubwa!!!
 
what do the chinese get in return? saivi naona kila nchi inataka itoe mikopo inayohusiana na mtwara...na sie tunajiachia tu..
 
Regarding gas exploration, the plan is to bring the gas to Dar, i have never heard how the people of Mtwala are going to benefit from their natural resources. Regardless of the fact that the resource belong to the whole country, people residing in the place where gas if found should be the be the first beneficiaries of the resources.
 
Mnakumbuka hotuba ya mwenyekiti wa chadema uk kuhusu viwanda???? Nadhani ujumbe ulifika. Tunatakiwa tujifunze kutoka kwa rafiki zetu China
 
Hivi karibuni tutaanza kuwa na watunza bustani na watumishi wa ndani wachina kwa jinsi mambo yanavyoelekea halafu kibaya zaidi hatuna mikakati zaidi ya kupiga siasa wageni wanakuja kuchuma shamba la bb wanahamishia kwao,uzi wa madawa naona mods wameufuta ila too late ushasambaa kila kona sahv watu washaanza kurushiana kwenye emails zao hadi mabarabarani ushaanza kugawiwa

Angola Wanao TAYARI; Zambia waliua na Rais Mpya alifukuza, Zambia walikuwa na hadi wauza kuku... wanadai kuku wao bora

zaidi ya wa locals...
 

Angola Wanao TAYARI; Zambia waliua na Rais Mpya alifukuza, Zambia walikuwa na hadi wauza kuku... wanadai kuku wao bora

zaidi ya wa locals...


Tunakoelekea ni kiza kinene na hizi siasa zetu za michakato,upembuzi yakinifu,kilimo kwanza et al
 
Mkuu uzi huo mimi niliukuta tanuru la fikira,jamaa wanasema issue ilitokea trh 02/07/2012.Kijana wake mpendwa alikamatwa na mzigo wa drugs wa bil4.

Hii nadhani ni propaganda kwani kama kweli angekuwa amekamatwa na mzigo wa drugs wa hizo fedha bila ya shaka wachina wangemnyonga kwani kuhusu madawa ya kulevya wachina hawana double standards!! Hawana msalie mtume kwa uijnga wa drugs!!
 
Hii nadhani ni propaganda kwani kama kweli angekuwa amekamatwa na mzigo wa drugs wa hizo fedha bila ya shaka wachina wangemnyonga kwani kuhusu madawa ya kulevya wachina hawana double standards!! Hawana msalie mtume kwa uijnga wa drugs!!

Waelezee watu kwa chuki sijapata ona..china hawana mchezo na drugs hata uwenani waingereza waliangaika na Mtu wao mpaka waziri mkuu aliingilia lakini wp alikula kitanzi
 
Regarding gas exploration, the plan is to bring the gas to Dar, i have never heard how the people of Mtwala are going to benefit from their natural resources. Regardless of the fact that the resource belong to the whole country, people residing in the place where gas if found should be the be the first beneficiaries of the resources.
Nakubaliana na wewe 100%
Watu wanaoishi mtwara inabidi wanufaike na gesi na kama ikiwezekana basi mafuta pia.
Sidhani kama itakuwa busara serikali iwasahau hawa watu na sidhani kama serikali ina mpango wa kuwasahau kwa sababu wao pia wanalijua hilo kuwa Mtwara imeasahaulika kwa muda mrefu Mungu kawapatia gesi na huu ndio wakati wao nao kufarijika. Mie binafsi ningeiomba serikali iweke mpango maalumu wa jinsi gani watu wa mtwara watanufaika na utajiri huu. isije ikawa kama wale wanakijiji wanaoshangilia nyaya za umeme wa kidatu zilizopita juu ya kijiji wakati wao hawana umeme
 
Hiyo habari source yake ni wapi?

Yule mzee wa hutaki unawacha.
Alisimulia kuwa mpangaji wa nyumba kuu alipata simu usiku kama saa 4 kutoka kwa balozi wa Tz,China kuwa dogo amedakwa na mwenzake mmoja Ku Kong Hong na mzigo wenye thamani ya vijisenti 4bil, hela ya madafu.
Saa 8 mzee yuko on route to Hwan kong hwii...jamaa alisimulia utafikiri sinema vile.
Hitimisho likawa kama watamwacha dogo watapata nini in return? Jibu....Upendeleo katika kuvuna shamba la bibi.

Ipekue katika fikra pevu.
 
Yule mzee wa hutaki unawacha.
Alisimulia kuwa mpangaji wa nyumba kuu alipata simu usiku kama saa 4 kutoka kwa balozi wa Tz,China kuwa dogo amedakwa na mwenzake mmoja Ku Kong Hong na mzigo wenye thamani ya vijisenti 4bil, hela ya madafu.
Saa 8 mzee yuko on route to Hwan kong hwii...jamaa alisimulia utafikiri sinema vile.
Hitimisho likawa kama watamwacha dogo watapata nini in return? Jibu....Upendeleo katika kuvuna shamba la bibi.

Ipekue katika fikra pevu.
Nonda???
mie huwa nakuona gamba lakini nashangaa leo umekuwa kama sie viele???
 
Upo pia tanuru la fikira,dogo alikamatwa na mzigo wa bil4 nchini china,trh 02.07.2012.

Kwa mujibu wa JASON BOURNE(Na kwa kujua kuwa Mods watafuta uzi nikasevu pembeni)

Taarifa za upelelezi makosa ya jinai nchini China zinasema tarehe 01/7/2012, vijana wawili wenye asili ya kiafrika walikamatwa katika uwanja wa ndege wa Hong Kong usiku, wakiwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya shilingi za Tanzania Bilioni nne, mkuu wa kitengo chakuzuia mihadarati cha uwanja wa Hong Kong Yiu-Kwong anawataja kuwa ni Ridhiwani Jakaya Kikwete na Abdalah Aman Mohamed

Mnamo tarehe 2/7/2012 majira ya saa nne (4:13) za usiku hapa Tanzania, rais Jakaya Kikwete alipokea simu kutoka kwa mtanzania mmoja aitwae Philip Malmo ambae ni balozi wa Tanzania nchini China, Taarifa muhimu baada ya salamu ilikuwa ni Ridhiwani amekamatwa uwanja wa ndege wa Hong Kong na madawa ya KULEVYA,

Kwa haraka, rais akamuuliza vipi suala hili limeshafika hapo ubalozini? Akajibiwa hapana ni mimi na kaimu wangu tu ndie tumepata taarifa hii mda huu, bado

hatujaliifanya lakiofisi, tunasubiri ushauri wako mheshimiwa.

Rais alikata simu huku hali yake usoni ikibadilika gafla, ilichukua kama dakika 20 hivi rais akiwa kimya hata kutikisa macho tu hatikisi, baadae akainua simu na kumpigia rais Hu Jintao wa China, Waliongea kwa mda mrefu yapata dakika 40 hivi, na walikonekana kama hawakubaliana kitu fulani katika mazungumzo yao. Baadae simu ikakatwa,

Akampigia simu Malmo nakumwambia suala hili walifanye kwa siri kubwa asijue mtu yeyote, naaweke maandalizi yawe tayari yeye anajiandaa kuja kulimaliza, kasha akampigia tena simu Hu Jintao na walitumia dakika 16 tu akainuka nakusema, vijana, mwambie SD53 aandae ndege haraka kwa safari ya China,

Gari ya kirai namba T 435 CDR aina ya Landcruiser nyeusi iliingia nakuwabeba watu watatu akiwemo rais Jakaya kuelekea airport, kama dakika 13 ikafika airport, tayari ndege ilishaandaliwa na palikuwa na maafisa watatu, wote tuliingia katika ndege ile isipokuwa yule dereva wa gari ambae aligeza mjini, hiyo ilikwa sasa ni saa 7:43 za usiku.

Tarehe 3, majira ya saa nane za usiku kwa china, tulifika China, hakukuwa na aina ya mapokezi yoyote ya kiserikali, na baada ya kushuka tulimkuta Malmo na msaidizi wake wakitusubiri, Malmo alikuwa tayari ameshaandaa hoteli lakini kulingana na tukio lilivyo tulikubaliana tusilale na tukammwambia mheshimiwa rais amwambie Hu Jintao kuwa ameshafika. Rais alitekeleza hilo na baada ya dakika 15 maafisa watatu wa china walifika nakujitambulisha kuwa wenyeji wetu, wakatuchukua hadi alipo Hu Jintao katika moja ya ikulu ya Hong Kong,

Kikao chao kilichukua masaa manne, na jambo kuu walilokuwa wanakubaliana ni mashariti ya kumuachia, Hu Jintao alihitaji jambo moja tu, kwamba nini serikali ya china itapata kwakumwachia huru Ridhiwani? Kilichomvutia Hu Jintao naakamua muachia Ridhwani ni ahadi ya makubaliano ya Rais Kikwete kuwa ataipa China fursa ya uwekezaji wakudumu kusini mwa Tanzania ambako kumegunduliwa mafuta, gesi, na makaa ya mawe.

Kwakuwa sera ya china kwa sasa ni "Now we are going to Africa", ilisaidia sana kukubali ombi hilo la jk na kuahidi kuanza utekelezaji kuanzia mwaka 2013

Majira ya saa 11 alfajiri kwa saa za china, Ridhiwani aliletwa akiwa katika gari dogo, nakupokelewa na jk huku wakikumbatiana wote WAKILIA. Jk na Jintao wote kwapamoja wakamuonya sana nakumwambia ameliaibisha taifa la Tanzania, lakini kwakujitetea akasema sio yeye, ila inawezekana yule kijana waliyesafiri wote kutoka Ethiopia ndie mwenye mzigo huo.

Majira ya saa 12 za asubuhi tukaondoka kurudi Tz
'''''




 
Back
Top Bottom