Elections 2010 Tanzania Rise

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
Katika pita pita.. nimekutana na hii, nadhani inatoka kwenye commercial fulani popular.

Last edited by a moderator:
Babu MKJJ,

Umepost hii kwa ajili ya namna jamaa anavyosema, 'It is time to rise the flag' au umelipenda tangazo?

Au ni kwa ajili ya humour iliyoko nyuma ya tangazo lenyewe ukifikiria kiundani zaidi, pombe inakuamsha au inakupiga chini? Ha ha
 
Hivi wangetumia kiswahili kingeharibika nini??..maana nijuavyo tangazo limewalenga watanzania zaidi..! Kasumba mbaya..!
 
Hivi ni kweli mlio nje hiyo bia ya kilimanjaro inapatikana kwenye baadhi ya super market kama ilivyo tukser? au ni longo longo za matangazo ya biashara kutengenezwa kisiasa?
 
Hivi wangetumia kiswahili kingeharibika nini??..maana nijuavyo tangazo limewalenga watanzania zaidi..! Kasumba mbaya..!

Unajua ukiwa unalinda kibarua bwana unaweza kufanya mambo ya ajabu sana... hapa manager wa hiyo BIA huenda aliona sasa CEO na CFO ambao mara nyingi wanakuwa wazungu watajuaje kwamba anapiga mzigo? Dawa matangazo yawe ya kiingereza yaani anasahau kabisa wapiga ulabu wengi wa hizo bia ni waswahili kabisaaaa.
Huu ni ugonjwa usiotibika kwenye makampuni yanayoongozwa na wazungu
 
ukweli mtupu
matangazo mengi yapo kwa kiingereza na wakati target yao ni waTZ ambao lugha ni kiswahili
 
Invisible,
Unaweza ukaweka tangazo hili na original yake back to back in one post?
Might help in sending the ''coded'' message.

And by the way fellaz,Tanzania is a bilingual nation....deal with it!
 
Babu MKJJ,

Umepost hii kwa ajili ya namna jamaa anavyosema, 'It is time to rise the flag' au umelipenda tangazo?

Au ni kwa ajili ya humour iliyoko nyuma ya tangazo lenyewe ukifikiria kiundani zaidi, pombe inakuamsha au inakupiga chini? Ha ha

Nafikiri amepost hii kwa kuwa yeye ndiyo mwenye sauti inayoongea kwenye tangazo.
 
Back
Top Bottom