Tanzania refuses to sign -then signs-proposal for EAC political federation

U have a right to do so......please leave us..we can do without you and spare us of your silly games.

not only dat i hate EAC bt also Kenyans and Ugandans,just go away..we don need u snitch in Tz
 
Bandugu,

Kwa mara ya kwanza viongozi wetu wamefanya kile wananchi wa kawaida wanachotaka.Ukiunganisha nchi zote kenya,Uganda,burundi na Rwanda hazifikii ukubwa wa Tanzania.

[1] Kenya yenye ukubwa wa 582,646 Sq Km na Idadi ya watu 41 milioni

[2] Uganda yenye ukubwa wa 241,083 sq km na idadi ya watu 34 milioni

[3] Rwanda yenye ukubwa wa 26,338 Sq km na Idadi ya watu 11 milioni

[4] Burundi yenye ukubwa wa 27,818 Sq km na idadi ya watu 9 milioni

[5] Tanzania yenye ukubwa wa 945,087 Sq km na Idadi ya watu 44 milioni.

Ukitazama ukubwa wa eneo sq km wa nchi za Kenya,Rwanda,Uganda na Burundi ni 877,883 Sq km na Idadi ya watu ni 95 milioni.
Tanzania yenye jumla ya watu milioni 44 na eneo lenye ukubwa wa Sq km 945,087 kukubali kusiani mikataba ambayo haina maslahi kwa wananchi wake ni ujuha mkubwa ambao hautavumilika.Nchi ya Rwanda tayari ina msongamano mkubwa wa watu ukienda Kenya ndiyo balaa ardhi yake kubwa ni jangwa,Uganda hali ni hiyo hiyo.Tushirikiane lakini tusilazimishane au kutumia ujanja ujanja na hila kwa kisingizio Tanzania haitaki EAC hivi leo Uganda watakuli mafuta yaingizwe EAC Zanzibar inatutoa jasho,mwaka jana tulishuhhudia kisiwa cha Migingo kilivyowapelekesha waganda na wakenya.

My dear friend,stop exposing the intellectual poverty ravaging your nation! with this kind of land mass plus its the resources..you should be the strongest economy in Africa!! imagine having a land more than the rest of EAC combined and yet still begging for favors and special consideration!! you should be ashamed of yourselves as a nation you must be the most laziest and dumbest people to live on the face of the whole earth!! you should never have brought this up!!
Tanzania being afraid of even small countries like Rwanda and Burundi!!? un thinkable!! you do have an option though...pack up and leave!!
 
Du hivi hii forum mwamweza kuenable isipatikane kwa hawa majirani, naona ni mitusi kwenda mbele.
 
[/QUOTE

Ongeza na Unguja na Pemba hapo, bado hawatafikia.. We can rethink to coparate with Zambia, Malawi, and east Congo. I think these regions they they need us more than Kenya and Uganda
 
Du hivi hii forum mwamweza kuenable isipatikane kwa hawa majirani, naona ni mitusi kwenda mbele.
Hiyo mitusi mizito inatokana na wivu wa kijinga walionao wakenya kuhusu Tanzania. Tumeshawazoea hao wakuda. Wakisikia Tanzania tu basi jasho la puani linaanza kuwatoka na nyuso zao zinazidi kuwa nyeusi kama mkaa!
 
My dear friend,stop exposing the intellectual poverty ravaging your nation! with this kind of land mass plus its the resources..you should be the strongest economy in Africa!! imagine having a land more than the rest of EAC combined and yet still begging for favors and special consideration!! you should be ashamed of yourselves as a nation you must be the most laziest and dumbest people to live on the face of the whole earth!! you should never have brought this up!!
Tanzania being afraid of even small countries like Rwanda and Burundi!!? un thinkable!! you do have an option though...pack up and leave!!

We had been in socialist (Ujamaa) system for longtime. What we need now is to rethink our destiney in this Neo Liberal and free market era. Call us laziest and dumpest, but our laziness will never be substuted by inviting Kenya and Uganda raping our land. Go on your federation with those four states add Southern Sudan. For your information Tanzania is federation in itself.
 
This is just an attempt to clear themselves of irresponsibility after a series of explotative agreements reached by CCM's ministers over all these years they have been in charge. Who in their right mind will ever regard CCM as having honest leaders while the party itself is struggling hard to get rid of known corrupt partymen but all efforts have become bootless.
That's a good move for protecting our state's interest, some protocols in the EURO Treaty are yet to be signed after long delays!!!!!! Some protocols need the referendum from the public for approval to be signed!!!!!!!!!!
 
tanzania is always full of drama whenever eac matters are put on the table! Ever afraid of progress and success!!...stop behaving like adolescent kids!!.....you are protecting land that you cannot even utilize!!....its time for you to pack and go!! Y are you afraid of leaving this eac thing anyway! If you do not need it y stick to it!! You withdrew from comesa in favour of sadc ..the result! South africans are controlling your economy....everything you consume is south african!! I pity you.
Museveni once said that" its time for us (kenya,uganda,rwanda and burundi) to start planning without tanzania" i now agree with him.

sasa si muendelee??? Unalalama nini wewe?/

i hate the suckers
 
My dear friend,stop exposing the intellectual poverty ravaging your nation! with this kind of land mass plus its the resources..you should be the strongest economy in Africa!! imagine having a land more than the rest of EAC combined and yet still begging for favors and special consideration!! you should be ashamed of yourselves as a nation you must be the most laziest and dumbest people to live on the face of the whole earth!! you should never have brought this up!!
Tanzania being afraid of even small countries like Rwanda and Burundi!!? un thinkable!! you do have an option though...pack up and leave!!

tuondoke twendewapi wakati nyiendio mmekuja arsuha..........?? IT IS YOU WHO SHOULD PACK UP AND LEAVE
 
We had been in socialist (Ujamaa) system for longtime. What we need now is to rethink our destiney in this Neo Liberal and free market era. Call us laziest and dumpest, but our laziness will never be substuted by inviting Kenya and Uganda raping our land. Go on your federation with those four states add Southern Sudan. For your information Tanzania is federation in itself.
kinachonisikitisha ni insults wanazotoa wakati they are failures in their very own land with poor land laws and policies kiasi kwamba a few wanahodhi nchi, and then wanatuita sisi intellectually deprived

i think they should pack up and leave our country... at least for now
 
Yeah, before we start choppin' their headz off!!
 
As a militant nationalist mTz, this is FANTASTIC NEWS. Sioni why we should be joining na watu tunaowazidi kila kitu in the first place. FOR WHAT?? We need to clean our house na kuanza kuweka mikakati ya kuzalisha na kujenga middle class yetu. We can be rich buying and selling our own stuffs while exporting the surplus for foreign currency. Sakata la sukari tu ni mfano mzuri kwamba tunaeza kufanya biashara nzuri tu kwa hawa manyang'au na wenzao. Wao walikimbilia u-capitalist bila kujua kwamba resources (esp. land) has its limiting value, sasa nchi kaa Burundi au Rwanda, njaa lazima iwatafune maana ukigawa ardhi walonayo kwa idadi ya household, hicho kiasi kinachopatikana ni kituko..Sasa this is a good opportunity kwa nchi yetu kufanya commercial farming na kuchukua hii opportunity ya kuuza chakula na other agricultrual products.
 
Mwalimu nyerere alipowashauri tuungane miaka ile ya sitini wakadengua.
Hongera sana mawaziri wetu, na hakuna kubadilika katika hilo!
 
Hata hizo Passport za EAC sisi Watanzania hatuzitaki, Tanzania bila ya EAC inawezekana. Mimi huu muungano wa EAC siutaki na wala siupendi bora tujitoeni kuliko kuingia kwenye huo muungano, ingawa EAC bila yetru sisi (Watanzania) Hauuwezekani. Kila kukicha wanatubembeleza kuingia ubia nao.
I never like EAC and i will never like it huu muungano. Wakenya na Waganda njaa zao zinawasumbua kuja kwetu Tanzania. Start packing your staff and go home. Wenyewe humu ndani tunamatatizo halafu na nyinyi mnataka kuulekeza matatizo yenu kwetu. Pumbafuu zenu kwendeni makwenu:embarassed2:
 
Can the others move on while Tz figures out where it wants to go? Kenya, Ug, Rwanda seems like a viable federation; it would require headquarters to move to maybe Jinja or Kisumu. We have to avoid the same shenanigans of the 70s. When Tz feels it is ready, it will join.
Tanzania is a joke, I don't see why the rest of these countries keep having a business as usual attitude with Tz and its pretty obvious it wants out or its unsure of its position in the EAC.. we cant allow Tanzania to keep holding the rest of us hostage while it keeps dillydallying with an important issue like the East Africa community, am sure UG and Rwanda are tired of Tanzania's charade, Kenya wants Tanzania to stick around coz it has alot to lose if Tanzania walks out.. Personally I think its about time we let Tanzania go, they are better of in SADC.
 
I don't understand what the hell you are talking about. From the get go, Tanzania has been very clear that it doesn't land issue to be part of the federation; however, other countries have decided to do exactly what Tanzania was against. It is seems these people are not interested with the federation but rather Tanzania's land.
 
Back
Top Bottom