Tanzania ready to send Army to Zimbabwe-Kikwete

Status
Not open for further replies.
rashid othman hahusiki na millitary intelligence gathering......jeshi wana utaratibu wao wa kukusanya millitary intelligence kwa kutumia KITENGO CHA USALAMA JESHINI.....mkuu wa usalama jeshini ni BREGADIER MELLA!....waliomtangulia ni GEN.DAVIS MWAMUNYANGE[AKIWA BRIGADIER]...akafuatia LT GEN SHIMBO[AKIWA BRIGADIER]....Akafuaatia yule brigadier aliyekuwa mwambata wa burundi aliyefariki mata tu baada ya uteuzi hata kabla hajaaza kazi...ndio akaja huyu brig .mella ..ambaye kabla alikuwa kanali [mwambata wa kiujeshi msumbiji]

Ahsante Phillemon.

Lakini wote hao ni makachero. Na, wote wanamshauri Rais. Lakini kuna Civilian Kachero anae coordinate intelligence estimates zote.

Kumbuka hao ma brigedia na ma lieutenant gen. wa usalama, wote at the end of the day wanaripoti kwa Chief of Defense Forces, Mwamunyange. Hawawezi kumvuka kupeleka intelligence kwa Kikwete.

Civilian Kachero ambae yuko ultimately responsible ku coordinate intelligence estimate zote za nchi na kumpelekea Rais ultimately ni Rashid Othman.

Mwamunyange na Othman ndio wanamwambia Kikwete, Kikwete pull the trigger. Halafu Kikwete ndio ataamua kama tunaenda Zimbabwe au ni vipi.
 
by Norbert Jacobs ⋅ © Zimbabwemetro.com ⋅ June 23, 2008

Tanzania’s President, Jakaya Kikwete, Has Become The First African President To Raise The Issue Of Military Intervention In Zimbabwe If The Government Crackdown On The Movement For Democratic Change(mdc) Worsens.

“we Will Certainly Consider It (miltary Intervetion)if Asked,” Said Kikwete “if We Get There, To A Point Where Military Action Is Needed, If It’s A Multilateral Project, Then We’ll Do It. At The Moment We Do Not Think That Will Be Necessary’

Tanzanian People’s Defense Force Is Made Up Of Close To 30 000.the Manpower Available For Military Service Is A Combined 14 387 010 Two Times Zimbabwe ’s Manpower Available For Military Service Which Stands At 5 464 100.

http://zimbabwemetro.com/2008/06/23/tanzania-ready-to-send-army-to-zimbabwe-kikwete/

tumempata Mobutu Mwngine
 
Issue ya Zimbabwe ni divertion ya makaburu dhidi ya ufedhuli wao!
Narudia tena...TUKATAE!
Wakiona tuko karibu kuupata uhuru wetu huwa wanafanya haya!
Na mimi nasikitika kuwa tunujaa mkenge!
Niliikataa option ya kupata URAIA wa marekani ili nisiweze kuupoteza wa nchi yangu!
Lakini kama mafisadi wasipokamatwa...BASI NITAUKANA URAIA WA TANZANIA!
 
Tulikuwa tunafikiria kuwa kuja kwa Bush na ahadi ya burungutu la karibu $700 million ni kwa vile tunafanya mambo vizuri. Sasa zitatutokea puani, tulianzia Commoro. Sasa Zimbabwe, pengine itafuatia Somalia, Dafur n.k. Tukimaliza hapo hizo $700 millioni ndio zitakapoachiwa kidogo kidogo.

Kweli, ukiwa na raisi kiwete na nchi nayo inakuwa vivyo hivyo.

Bwana mzungu hakufuati kwako kama hakuna masilahi....westerner kila mara wanaangalia mbali kuliko sisi weusi..

kikwete alipoingia tu kwenye power amejitahidi sana kuwa pro west zaid Marekani na kwa vile alikuwa na marafiki kina Sinclair na Tudor ambao wame lobby kuupamba uongozi wake.

Sasa wanamtumia(westerners) kutaka aingie vita isiyomhusu kabisa. Kweli Zimbwabwe mambo ni mbaya so as Zanzibar,Somalia,Zaire,Sudan...n.k...

Kwa nini azungumzie Zim tu? au kwa sababu Mugabe amewaudhi weupe?
 
I am in blood
Stepp'd in so far that, should I wade no more,
Returning were as tedious as go o'er.
 
angalieni website ya jeshi la zimbabwe.....

www.mod.gov.zw

uwezo wao upo juu ...pamoja na kuwa na population ya watu karibu 10 million....jeshi lao lina ACTIVE SERVICEMEN 29,000 MGAMBO 21,800

BAJETI YA JESHI KWA MWAKA NI USD 60 MILLION.....AU 3.8% OF GDP...NA RANK YAO KIJESHI DUNIANI NI 83...

TANZANIA ACTIVE SOLDIERS NI 27,000....THOUGH MGAMBO NI WENGI SANA...MILLITARRY SPENDING 1.9 OF GDP ..MILLITARY RANKING NI 92 .....

KATIKA ZAMA HIZI HATA BUSH ANAKUAMBIA " I WILL NOT BE MAD TO PUT MY COUNTRY IN A WAR WITH A COUNTRY WITH EQUAL OR ALMOST EQUAL MILLITARY CAPABILITY OR TECHNOLOGY"...Alijibu hivyo alipoulizwa kama alikuwa tayari kupiga NOTH KOREA AU VENEZUELLA......anasema hawezi kuwa kichaa kuingiza nchi yake vitani na nchi yenye uwezo sawa au unaokaribia au yenye technolojia sawa au inayokaribia na marekani...."....vita ya namna hiyo kwa dunia ya leo ni gharama sana kifedha na vifo....

....kikwete hakufikiria mara mbili kupeleka jeshi comoro ....lakini kama kweli yeye ni askari afisa aliyefuzu ...na si tu alikuwa akiimbisha kwaya na kufundisha siasa....akipokea taarifa za intelegensia zinazoashiria nguvu ya zimbabwe hata kama kwa data za leo tutakuwa tunawazidi kidogo....bado tunakaribiana....hatakubali kupeleka vijana wetu kichwa kichwa....na isitoshe hata tukiweza kuingia ...tutabakia na uhasama wa kudumu..wakati wamarekani na waingereza watakuwa mbali na hawana hatari yeyote!!!.......

kimsingi sioni busara au uwezekano wa tanzania kuingia zimbwabwe ....kama hatujaombwa na jongwe[mugabe]...na tsavangirai na umoja wa mataifa ....tena chini ya mwavuli wa UN au AU...Au SADC...
 
Hivi wanapozungumzia uchaguzi usimamishwe, nani ambaye atagharimia gharama zilizokwishagharamiwa na serikali maskini, yenye matatizo mwengi ya kiuchumi.....
 
JK asipojiangalia baadaye nchi nyingine zinaweza kupeleka jeshi Zanzibar! Maana sasa naona ameziba masikio anayaona zaidi ya Zimbabwe na Comoro nk. Amesahau hawa EPA, Richmund, Zanzibar nk wanaivisha political instability nyumbani!

Ninamuunga mkono kwa hili la Zimbabwe lakini namshangaa sana kwamba nyumbani kwake hakuoni kuwa kunafuka moshi!!!! 2010 anaweza akashangaa hapatoshi hapa nyumbani, urais utakapokuwa unamponyoka!! Hawa EPA kilichobaki ni kumshamgaza yeye, maana sasa wanafanya fitina kila mahali na JK anadhani yupo salama!!
 
Phillemon.. ukiangalia hiyo ishu kwa kuangalia JK na JWTZ you'll miss the whole picture... unapoangalia kauli hiyo ya JK.. add British Army, Airforce, Royal Marine na Royal Navy... plus a lot of money.. the balance would favor TZ...

Btw: Kuna dili za ndege mpya za kijeshi ili kuupgrade our fleet.... huu ndio wakati muafaka wa kutoa na kuchukua....
 
Haya...Kuna habari kuwa ROSTAM AZIZI ANA URAIA WA IRANI SAMBAMBA NA WA TZ!
ILIWEZEKANA VIPI NA WAKATI BADO HATUNA DUAL CITIZENSHIP?
NCHI IMEUZWA NA WATU WANALETA PROPAGANDA!
Itakuwa vipi kuwe na watu wana privelleges zote nje ya katiba yetu halafu museme tuko huru?
 
JK asipojiangalia baadaye nchi nyingine zinaweza kupeleka jeshi Zanzibar! Maana sasa naona ameziba masikio anayaona zaidi ya Zimbabwe na Comoro nk. Amesahau hawa EPA, Richmund, Zanzibar nk wanaivisha political instability nyumbani!

Ninamuunga mkono kwa hili la Zimbabwe lakini namshangaa sana kwamba nyumbani kwake hakuoni kuwa kunafuka moshi!!!! 2010 anaweza akashangaa hapatoshi hapa nyumbani, urais utakapokuwa unamponyoka!! Hawa EPA kilichobaki ni kumshamgaza yeye, maana sasa wanafanya fitina kila mahali na JK anadhani yupo salama!!

Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
We Want Our Freedom!
We Want Our Country Back!
God Willing...we Wil Be Victorious!
 
Issue ya Zimbabwe ni divertion ya makaburu dhidi ya ufedhuli wao!
Narudia tena...TUKATAE!
Wakiona tuko karibu kuupata uhuru wetu huwa wanafanya haya!
Na mimi nasikitika kuwa tunujaa mkenge!
Niliikataa option ya kupata URAIA wa marekani ili nisiweze kuupoteza wa nchi yangu!
Lakini kama mafisadi wasipokamatwa...BASI NITAUKANA URAIA WA TANZANIA!

...USIUKANE URAIA MANGI UKAJAZIKWA UGENINI[ NUKA ]....REALLY MEN GO DOWN FIGHTING..."......KUKIMBIA AU KU RETREAT SI KUPIGWA ....DONT FIGHT TO TAKE A DIE...UKIELEMEWA ..KIMBIA KWA MUDA....ILI USIFE ..UPIGANE NA KESHO!!!!..SO YOU MAY TAKE REFUGE FOR A WHILE BUT NEVER LOSE A FIGHT....!!..HADI KIELEWEKE ...POPOTE ULIPO DUNIANI PIGANIA MAISHA UNAYOYATAKA YAWE BONGO....ILI WATOTO NA WAJUKUU ZETU WASIBAKIE ULAYA KWA SABABU YA MAISHA MAGUMU NYUMBANI BALI .....KWA KUPENDA TU!!!!

NA BROTHERS LAZIMA MUELEWE HII VITA TUNASHINDA ...HATA MZEE KAMANDA ES ...ATAKUBALIANA NAMIMI KUWA MAZINGIRA NYUMBANI YANAZIDI KUIMARIKA .....HATA WAZAMIAJI MELI WAMEPUNGUA ......[STOREWAY]....WANAOKIMBILIA SOUTH WANAISHA....UKIWA NA KIPATO HAPA NYUMBANI MAISHA NI RAHA SANA....WATU TUNAPATA HADI PESA ZA KWENDA LIKIZO ULAYA ASA LONG AS YOU WORK HARD NA UNA IDEA[MCHONGO].....TATIZO MTU ALIYEONDOKA NYUMBANI MIAKA 20 ILIYOPITA UKIMWAMBIA ....MAISHA YANAAZA KUBADILIKA HOME HATAKUELEWA...LAKINI WALIORUDI WAKAKAMATA CHANNEL WAMEKUBALI...

NATAKA WOTE WALIO NJE IFIKE SIKU WARUDI .....TUPIGE HUU UFISADI VITA!!!..MBONA WENGINE TUMERUDI BWANA!!...IPO SIKU...

SO KAKA JMUSHI CHONDE CHONDE MSIJILIPUE..NAJUA UNATANIA!!!....

KUHANI NIMEKUSOMA KAKA ........OTHMAN HAPO ANA KAZI YAKE...KAZI YAKE ANAMPPELEKEA PRESIDA GATHERING ZA KU COUNTERCHECK TAARIFA ANAZOPEWA NA CMI.....LAKINI YEYE HAWEZI INGIA UNDANI WA KUJUA NI AINA GANI YA OPERASHENI .....i mean utendaji kivita....no way....
 
KIKWETE AJIBU NI KIVIPI RAIA MWENYE URAIA WA NCHI MBILI KINYUME NA KATIBA YA JAMUHURI YA MUUNGANO KURUHUSIWA KUWA BUNGENI HADI SASA!
ROSTAMA AZIZI JAMANI HATAKIWI BUNGENI SASA HIVI...AWEKWE NDANI NA AELEZE ILIKUWA VIPI AKIUKE KATIBA YETU NA HADI KUUPATA HATA UBUNGE!
NI KINARA WA ccm MTANDAO!
MSIPOWAKAMATA HAO....SIJUI!
 
...USIUKANE URAIA MANGI UKAJAZIKWA UGENINI[ NUKA ]....REALLY MEN GO DOWN FIGHTING..."......KUKIMBIA AU KU RETREAT SI KUPIGWA ....DONT FIGHT TO TAKE A DIE...UKIELEMEWA ..KIMBIA KWA MUDA....ILI USIFE ..UPIGANE NA KESHO!!!!..SO YOU MAY TAKE REFUGE FOR A WHILE BUT NEVER LOSE A FIGHT....!!..HADI KIELEWEKE ...POPOTE ULIPO DUNIANI PIGANIA MAISHA UNAYOYATAKA YAWE BONGO....ILI WATOTO NA WAJUKUU ZETU WASIBAKIE ULAYA KWA SABABU YA MAISHA MAGUMU NYUMBANI BALI .....KWA KUPENDA TU!!!!

NA BROTHERS LAZIMA MUELEWE HII VITA TUNASHINDA ...HATA MZEE KAMANDA ES ...ATAKUBALIANA NAMIMI KUWA MAZINGIRA NYUMBANI YANAZIDI KUIMARIKA .....HATA WAZAMIAJI MELI WAMEPUNGUA ......[STOREWAY]....WANAOKIMBILIA SOUTH WANAISHA....UKIWA NA KIPATO HAPA NYUMBANI MAISHA NI RAHA SANA....WATU TUNAPATA HADI PESA ZA KWENDA LIKIZO ULAYA ASA LONG AS YOU WORK HARD NA UNA IDEA[MCHONGO].....TATIZO MTU ALIYEONDOKA NYUMBANI MIAKA 20 ILIYOPITA UKIMWAMBIA ....MAISHA YANAAZA KUBADILIKA HOME HATAKUELEWA...LAKINI WALIORUDI WAKAKAMATA CHANNEL WAMEKUBALI...

NATAKA WOTE WALIO NJE IFIKE SIKU WARUDI .....TUPIGE HUU UFISADI VITA!!!..MBONA WENGINE TUMERUDI BWANA!!...IPO SIKU...

SO KAKA JMUSHI CHONDE CHONDE MSIJILIPUE..NAJUA UNATANIA!!!....

KUHANI NIMEKUSOMA KAKA ........OTHMAN HAPO ANA KAZI YAKE...KAZI YAKE ANAMPPELEKEA PRESIDA GATHERING ZA KU COUNTERCHECK TAARIFA ANAZOPEWA NA CMI.....LAKINI YEYE HAWEZI INGIA UNDANI WA KUJUA NI AINA GANI YA OPERASHENI .....i mean utendaji kivita....no way....

Kwanini WATANZANIA WOTE WAKATALIWE URAIA WA NCHI MBILI NA ROSTAM ARUHUSIWE?
NI MU IRANI AMA MTZ?
MNIJIBU KWANZA HAYO LA SIVYO NITAUKANA URAIA WA TANZANIA!
 
Wananchi waandamane kumzuia asiingie bungeni kama ni kweli ana uraia wa nchi mbili...Katiba ya jamuhuri wa muungano inamruhusu vipi huyo gaidi kuingia kwenye bunge letu tukufu?
Halafu mnadai Killango ataibadilisha ccm?
Mnaota njozi za mchana saa sita!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom