Tanzania: Quotes & Our National Politics!

FMES,

Fallacy ya argument inayoanza kwa Waafrika ... ni kwamba, Waafrika ni wengi sana kuwa lump pamoja hivyo. Huwezi hata kusema Waafrika ni weusi kwa maana kuna Waafrika wa Morocco Libya na Egypt si weusi, achilia mbali waafrika wa kuwa naturalized kina Makengeza type na makaburu.

Kama huwezi kusema kitu kidogo hicho blatantly kwamba waafrika tuko hivi au vile, utakosa legitimacy ya kusema "ndivyo tulivyo".

Kwa hiyo mnaposema "Waafrika Ndivyo tulivyo" mnapotosha, inabidi mui-qualify hiyo statement kwa kusema "Miafrika ya CCM inayoendeleza ufisadi" ndiyo ilivyo, au "Miafrika inayowachagua viongozi wabovu ndivyo ilivyo" inaweza kuwa ni sehemu kubwa ya waafrika lakini hii haimaanishi kuwa ndiyo waafrika wote walivyo.

Ukiangalia sana haya mambo tunayoyapigia kelele sana wala hayana mizizi katika uafrika, mizizi yake imekuja kuletwa na wageni. Na kwa vile katika kila jamii hatukosi bongolala watakaoji second guess, tunapata watu wanaoingia katika mtego wa kusema "Waafrika Ndivyo Tulivyo" bila uchambuzi.

I have never been one to be seduced and succumb to the lure of simplicity where complexity is clearly the challenge.

And you can take that as an original.

Na ndio maana nikasema relevance ni muhimu.
 
Hao Waafrika uliowataja ambao sio weusi kwanza wao hawajioni kuwa ni Waafrika!! Wewe mwenyewe wanakudharau kwa vile una ngozi nyeusi na wanakuona uko duni mbele yao. Kuna siku nilikuwa naangalia Africa Journal au Inside Africa na walikuwa Cairo wakifanya man on the street interviews. Utashangaa majibu waliyokuwa wanayatoa kuhusu Africa. Wenzako wanajiona ni watu wa Mashariki ya kati. Sasa wewe endelea tu na tabia yako ya kibibie ya kujigonga gonga kwao huku wenzako hawana time na wewe....
 
" Kina mama pia endeleeni kuzaa wasichana wazuri kwani katika miaka hii miwili hata kwenye mashindano ya urembo duniani tumetamba. Nancy Sumari alipata tuzo ya Mrembo Bora wa Afrika katika mashindano ya Miss World mwaka jana. " -- Jakaya Kikwete

..natafuta nyingine alipokuwa akizungumzia wasichana kuchirizika maziwa darasani!!

Udenda unamchuruzika Mkwere akiona chuchu!
 
My all time favorite....

"Kiongozi atakayeleta maendeleo Tanzania ni yule atakayezifufua sera za Mwl. Nyerere na kuangalia wapi palikosewa - Mchambuzi
 
Hao Waafrika uliowataja ambao sio weusi kwanza wao hawajioni kuwa ni Waafrika!! Wewe mwenyewe wanakudharau kwa vile una ngozi nyeusi na wanakuona uko duni mbele yao. Kuna siku nilikuwa naangalia Africa Journal au Inside Africa na walikuwa Cairo wakifanya man on the street interviews. Utashangaa majibu waliyokuwa wanayatoa kuhusu Africa. Wenzako wanajiona ni watu wa Mashariki ya kati. Sasa wewe endelea tu na tabia yako ya kibibie ya kujigonga gonga kwao huku wenzako hawana time na wewe....

Mc cain Nyani na Pundit wote mko right/Wrong at the same time...Na ndio maana nilisema PERCEPTIONS.
 
Hao Waafrika uliowataja ambao sio weusi kwanza wao hawajioni kuwa ni Waafrika!! Wewe mwenyewe wanakudharau kwa vile una ngozi nyeusi na wanakuona uko duni mbele yao. Kuna siku nilikuwa naangalia Africa Journal au Inside Africa na walikuwa Cairo wakifanya man on the street interviews. Utashangaa majibu waliyokuwa wanayatoa kuhusu Africa. Wenzako wanajiona ni watu wa Mashariki ya kati. Sasa wewe endelea tu na tabia yako ya kibibie ya kujigonga gonga kwao huku wenzako hawana time na wewe....

Kama wewe unavyojigonga gonga kwa McCain wakati mwenyewe anakuona uko less than his slave aka "boy"
 
"Watanzania, uchumi mnao, mmeukalia" Ali Hassan Mwinyi 1990's

Alipotoa kauli hiyo watu wakaweka mikono nyuma kufunika makalio, wakamfikiria babu wa watu ni ndugu wa Ustaadh Maumba!
 
1
. Fallacy ya argument inayoanza kwa Waafrika ... ni kwamba, Waafrika ni wengi sana kuwa lump pamoja hivyo. Huwezi hata kusema Waafrika ni weusi kwa maana kuna Waafrika wa Morocco Libya na Egypt si weusi, achilia mbali waafrika wa kuwa naturalized kina Makengeza type na makaburu.

Hii haina uhusiano wowote na the real argument hapa, wote ni waa-Afrika siajona anywhere kuwa kuna tofauti katika huo msemo wa Nyani au wangu, kwani kuna tofauti gani kati ya waa-Afrika wa Egypt na sisi bongo?

Mara yamwisho nilipokuwa Egypt, kwa meli yaani Port Said ndani ya meli tuliuziwa machungwa na wa-Egypt, ambayo yaliwekwa juu tu huku chini kukiwa na mawe, the same thing happened kwenye Dar Port, sasa unless hujafika huko Egypt na Morroco, unaweza kuamini kuwa wao wako tofauiti na sisi, na besides hakuna aliyesema anything on rangi za waa-Afrika.

2.
Kama huwezi kusema kitu kidogo hicho blatantly kwamba waafrika tuko hivi au vile, utakosa legitimacy ya kusema "ndivyo tulivyo".

Utakosa legitimacy iwapo utajaribu kuwatenganisha waaa-Afrika wa Tanzania na Egypt as you did, as watu wenye tabia tofauti kwa sababu ukweli ni kwamba wote ni waa-Afrika na ndivyo tulivyo na tunafanana kwa tabia na viongozi wetu.

3.
Ukiangalia sana haya mambo tunayoyapigia kelele sana wala hayana mizizi katika uafrika, mizizi yake imekuja kuletwa na wageni. Na kwa vile katika kila jamii hatukosi bongolala watakaoji second guess, tunapata watu wanaoingia katika mtego wa kusema "Waafrika Ndivyo Tulivyo" bila uchambuzi.

1. Kulaumu matatizo yetu wa-Afrika, kwamba yameletwa na wazungu ndio hasa maana ya kwa nini tunakua ndivyo tulivyo kwa sababu mpaka leo hatujajifunza kukubali responsibility, Uwanja wa Taifa umejengwa na wageni tumepewa ukiwa safi, lakini mechi moja tu tumeuharibu beyond any imagination, eti unasema ni tatizo la wageni hilo kutujengea uwanja wa ksiasa wa mpira, au waa-Afrika ndivyo tulivyo?

2. Bongolala hapa ni yupi kati ya anayekubali ukweli na kujaribu kutafuta solution za reform au anayekataa ukweli na kuharibu Uwanja wa mpira wa kisasa, huku akidai kwamba ana self-esteem kubwa kwamba haiwezi hata kupimwa na mzani? I mean what a shallow argument?

3.
I have never been one to be seduced and succumb to the lure of simplicity where complexity is clearly the challenge. And you can take that as an original.

Yaani kwa uwezo wangu wa kufikiri this is so low kwamba siwezi hata kushusha hadhi yangu kujibu.
 
Tatizo ni kweli kuwa kuna baadhi ya waafrika wenzetu ambao wanadai wao si waafrika ni waarabu.
Hiyo documentary aliyoizungumzia Pundit ni muhimu mkaiona...Na ndio maana tunarudi kwenye perceptions....Huchangiwa kwa kiasi kikubwa na experience.
 
Kwa hiyo mnaposema "Waafrika Ndivyo tulivyo" mnapotosha, inabidi mui-qualify hiyo statement kwa kusema "Miafrika ya CCM inayoendeleza ufisadi" ndiyo ilivyo, au "Miafrika inayowachagua viongozi wabovu ndivyo ilivyo" inaweza kuwa ni sehemu kubwa ya waafrika lakini hii haimaanishi kuwa ndiyo waafrika wote walivyo.

Ukienda kuangalia what I said utagundua kuwa ni tofauti kabsia na what you are saying hapa, mimi nime-quote Nyani aksiema kua, " Waa-Afrika ndivyo tulivyo", thta is what I said,

Sasa unachosema, kwa hiyo mkuu umekurupuka na hayo maneno ya "Mui-qualify" kama una tatizo na mwingine aliyesema hivyo sawa, lakini mimi sijasema hayo maneno, no wonder inakwua vigumu kuelewana hapa kwa sababu unaleta soemthing ambachgo hakipo na sikukisema.

Ahsante Mkuu.
 
You are incoherent as usually, and now, apologetically you are looking for an escape route.

Yeyotte anayeutumia msemo wa "Waafrika Ndiyo Tulivyo/ Walivyo" bila kuuqualify anawatukana Waafrika wote, akiwemo yeye mwenyewe.

Ona maneno yako mwenyewe haya hapa chini. Umesema "maneno ya Nyani hayahitaji maneno mazito ya kizungu..." Huko mbele ni Sarah Palin mtupu

Wakuu Heshima zenu sana, sijaelewa vizuri exactly what are you saying, unachosema hasa ni nini kwa sababu, kwangu maneno ya Nyani, hayahitaji hayo maneno yako mazito sana ya kizungu, political facts haziwezi kuchanganywa na opinion, au self-esteem business ni vitu viwili tofauti, kwenye siasa, viongozi na wananchi kinachoamua matokeo,

Haiwezekani kwamba baada ya kashfa zote zilizoikumba serikali yetu just miaka miwili tu iliyopita, tukarudia kuwachagua chama kile kile, na viongozi wale wale, I do not care what something is wrong somewhere, sasa haiwezekani kuwa ni our political system kwa sababu ilishabadilika siku nyingi kutoka chama kimoja, na haiwezekani kuwa ni viongozi wetu ndio wabovu na sisi wananchi ni wazima, that kind of thinking is what should be laughable,

Huwezi kuji-esteem wakati realistically huna lolote to back up with hiyo high esteem, na the first step ili uweze kuji-reform ni lazima ukubali kuwa una problem ndipo quote ndivyo tulivyo inapokuwa na meaning, sasa tatizo lako lipo wapi bro?
 
Tatizo ni kweli kuwa kuna baadhi ya waafrika wenzetu ambao wanadai wao si waafrika ni waarabu.
Hiyo documentary aliyoizungumzia Pundit ni muhimu mkaiona...Na ndio maana tunarudi kwenye perceptions....Huchangiwa kwa kiasi kikubwa na experience.

Mkuu Mushi,

With all due respect, kinachotakiwa kututenganisha waa-Afrika, ni tabia sasa kama tunafanana kwa tabia, regardless of what wanadai au hawadai,

Tabia za wa-Morroco, wa-Egypt na sisi ni zile zile, wangekwua tofauti basi waliogawa mipaka ya nabara wangewaita jina lingine kama wlaivyofanya South America, hivi haya nayo yanahitaji elimu ambayo ni complexity kuelewa?
 
1.
You are incoherent as usually, and now, apologetically you are looking for an escape route.

Esacpe route? sina tatizo hapo kuwaachia wananchi waamue between mimi na wewe nani anayeitafuta, kwa sababu hoja zetu ziko very clear wala huhitaji kwenda mbali sana kuliona hilo

2.
Yeyotte anayeutumia msemo wa "Waafrika Ndiyo Tulivyo/ Walivyo" bila kuuqualify anawatukana Waafrika wote, akiwemo yeye mwenyewe.

Kuna msemo unaosema "Mficha uchi hazai" it is exactly what it is haiktukani mtu wala kumdanganya mtu, it just a simple truth, "..Waa-Afrika ndivyo tulivyo" is just a simple term ambayo kama uwezo wako wa kufikiri ni mdogo unaweza kufikiri anatukanwa mtu, it just what it is ndivyo tulivyo, kina Mkapa wamesoma Columbia School US, lakini waliporudi bongo they could not do better than wa-Tanzania kama Lowassa, ambao hawakusoma huko, what qualifications unahitaji kuelewa hili? It just simple ndivyo tulivyo hata tukipelekwa kusoma nje hatubadiliki.

3.
Ona maneno yako mwenyewe haya hapa chini. Umesema "maneno ya Nyani hayahitaji maneno mazito ya kizungu..." Huko mbele ni Sarah Palin mtupu

Woow! eti wewe una akili kuliko Sarah Palin anayegombea umakamu wa rais wa USA? Sasa this is what you call holding youself on a higher self-esteem kuliko ndivyo tulivyo? Masikini ya Mungu!
 
Mkuu Mushi,

With all due respect, kinachotakiwa kututenganisha waa-Afrika, ni tabia sasa kama tunafanana kwa tabia, regardless of what wanadai au hawadai,

Tabia za wa-Morroco, wa-Egypt na sisi ni zile zile, wangekwua tofauti basi waliogawa mipaka ya nabara wangewaita jina lingine kama wlaivyofanya South America, hivi haya nayo yanahitaji elimu ambayo ni complexity kuelewa?

Hatuwezi kufanya generalization kwasababu kuna waafrika weupe(wazungu) Do we still share the same perceptions?..What about Arabics? Na ndio maana nikasema perception hutegemeana na experience..Experience ya waafrika weusi na weupe bila kusahau waarabu ni za tofauti sana(Historically)....Kwa hiyo kama basis ya perception ni experience..Then kuna Relevance tukisema kuwa si waafrika wote ndiyo jinsi tulivyo.
 
Experience ya waafrika weusi na weupe bila kusahau waarabu ni za tofauti sana(Historically

Waarabu wako Uarabuni, Waa-Afrika wako Africa, Wazungu wako Ulaya na US,

Waliotenganisha mabara walielewa kwa urefu na mapana kuhusu tabia za mabara ya watu waliomo kwenye haya mabara, waa-Africa weupe ni wapi hao maana sijawahi kuwasikia wala kuwaona?
 
South Africans Afrikan....Wana uzoefu wa tofauti na weusi na kimtizamo wa jinsi wanavyoi perceive life ni quite different na hii ni kutokana na historia za tofauti ambazo zimeshape uelewa...Waafrika wenye asili ya kiasia nk.
Kwa mfano hapo bongo kuna waafrika hawatakaa wauchaguwe upinzani asilani...
 
Rev, Kishoka,
' Uchumi mnao mmeukalia' Mtu wa kwanza kusema maneno haya alikuwa Rashid Kawawa, Mwinyi amekuwa akiurudia mara nyingi ila nakuimbuka kuna moja hii kali sana ya Mwinyi akiwahutubia wananchi wa Mtwara - Alisema:- Humo humo katika Mikorosho kazaneni!.... eeeh bwana wee wamachnga walifanya matusi vibaya sana mikoroshoni..wakidai kuwa - Nzee kasemaaaa.

Pundit,
Mimi ni mmoja wa watu ninaokubaliana kabisa na msemo wa Nyani Ngabu na inabidi utazame tulikotoka, tulipo na tuendako ili upate kuelewa msemo huo una maana gani na uzito gani

Kumbuka wakati wa mkoloni Waarabu wawili wenye gobole la kushindiria baruti za risasi waliweza kuchukua Waafrika (Miafika) Elfu nzima wakapigwa minyororo na kuongoza toka Zaire, Tabora hadi Bagamoyo, tena basi minyapara ilikuwa Miafrika vile vile!..Na Spy wanaopeleka habari kwa walowezi walikuwa Miafrika mienzetu.

Ukitazama Wazungu toka Mjarumani na Muingereza walikuwa hawana majeshi makubwa kulinda koloni zao Afrika isipokuwa walitumia Miafrika kuendesha Ukoloni, tena kuna wengi kibao walikwenda kupigana vita Burma, North Afrika kulinda himaya za wazungu...Adui wa Mwafrika ni Mwafrika mwenzake, vita yote ya mwafrika ni mwafrika mwenzake -Tazama historia ya nchi zote za Afrika tulipigana sisi wenyewe kwa wenyewe kwa makabila yetu kuliko vita dhidi ya Mwarabu ama mzungu mkoloni. Tena tuliwalinda sisi wenyewe wakaweza kututawala kwa karne..

Haya tulipo leo tazama hizo nchi Zaire, Rwanda, Burundi, Ivory Coast, Nigeria, Zimbabwe na kadhalika...Kote tunapigana sisi wenyewe waafrika Utafikiri tumepagawa.. wakoloni walitubebesha Bunduki tukaua ndugu zetu wakati sisi wenyewe bado tumo ndani ya Utumwa. I mean mkuu just imagine wewe POW unapewa Bunduki na risasi lakini bado unakuwa royal kwa bwana wako unaenda kumwinda ndugu yako...South Afrika! Mtume wamefikia hadi kutufukuza waafrika wote kuwa tunamaliza kazi zao (utumwa) lakini sio mzungu ambaye anachukua all high post zenye kulipa mishahara mizuri.
Kuna mfano wa mzee Bundalla aliokota pande la Almasi akampelekea mzungu (Williamson) ambaye kawa mvumbuzi na tajiri (Mwadui Diamonds) hadi wajukuu wake wanafaidika na mali ile lakini familia ya Bundalla hadi leo inabangaiza...No action taken!

Ni katika kutazama tulikotoka, na wapi tumesimama leo hii - Viongoizi wachafu CCM ndio wameshika madaraka tena wabaya kuliko Mkoloni kwa sababu ni ndugu zetu sisi wenyewe, ni kati yetu sisi wanatuibia mali zetu lakini kipi wananchi wanakifanya tofauti na Mkoloni?.... HAKUNA...talk the talk sawa na zile poem zilizokuwa zikiandikwa wakati wa Kina Kunta Kinte...

Mimi nafikiri Ujumbe huu ni mzito sana na tusiuchukulie mzaha ama tusi isipokuwa ni La mgambo kwetu!...Hivi unafikiria kuna watu wangapi ktk Mtandao?...iweje hawa watu wachache sana waweze kutuburuza sisi sote pamoja na rais mliyemchagua...
Tutaendelea kuwa NDIVYO TULIVYO hadi lini?..
 
Tatizo ni kweli kuwa kuna baadhi ya waafrika wenzetu ambao wanadai wao si waafrika ni waarabu.
Hiyo documentary aliyoizungumzia Pundit ni muhimu mkaiona...Na ndio maana tunarudi kwenye perceptions....Huchangiwa kwa kiasi kikubwa na experience.

Pussyndit kazungumzia documentary ipi?
 
Bob, huyu Pussyndit anapenda sana kutaja neno "low self esteem".....mimi nadhani yeye ndiyo ana hiyo low self esteem na anai cover kwa kudai wenzake ndio wako hivyo. Hana lolote na anachobisha kwa maneno na tunachoona kwa macho yetu ni vitu viwili tofauti kabisa. Atanukuu na ku paraphrase mi kanuni ya wazungu....ukimwambia akuletee za Waafrika anagwaya na kuanza kuponda eti hatuna akili. Yeye angekuwa na akili si angekuwa bongo na kutumia hizo "akili" mi naziita mavi kuleta maendeleo. Anaishi ktk ulimwengu mwingine kabisa......
 
Back
Top Bottom