Tanzania: Quotes & Our National Politics!

For the record, "Waafrika Ndivyo Tulivyo" ni kitabu cha Malima Ndelema I believe, certainly Nyani Ngabu si author wa huo msemo, as despicable and smallminded as the saying is the record must be straightened.

Sina uhakika kama ni Malima Ndelema....nadhani ni Dk. Bundara....but I have certainly taken it to a whole 'nother level....

Na habari ndio hiyo...Miafrika Ndivyo Tulivyo!! Hata u-dismiss kivipi....ungekuwa (mngekuwa) mna dismiss kwa vitendi kuwa Miafrika Sivyo Yulivyo mnge-make sense....lakini sasa hivi ni talk is cheap yadi yadi yada....
 
For the record, "Waafrika Ndivyo Tulivyo" ni kitabu cha Malima Ndelema I believe, certainly Nyani Ngabu si author wa huo msemo, as despicable and smallminded as the saying is the record must be straightened.

Mkuu Pundit,

Kama unaongelea kitabu cha Dr. Malima Bundara, title yake ni "waafrika ndivyo wa/tulivyo?"
 
Waziri hawezi kujiuzulu kwa sababu Tanzania hatuna utamaduni wa kuwajibika- Paraphrasing Zanzibar President Amani Karume
 
Viongozi wetu ni reflection yetu sisi wenyewe-Field Marshall Emergency System

Mkuu Nyani,

Heshima mbele sana, huhitaji kwenda mbali sana just pitia thread humu ndani ya JF utaelewa kua tunafanana nao hawa viongozi tena kwa karibu sana, kuliko huu msemo.
 
What goes around...Comes around...What goes up...Must come down...Aliyeko juu...Mngoje chini...Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha na mvumilivu hula mbivu?!
Nyani na wengineo...Ndivyo hivi tulivyo?
Kwamba eti tunavumilia ili tule mbivu?
EPA walivumilia kweli kweli....
 
Freud would say racial self hate is the highest form of self loathing, low self esteem and subconcious nihilistic wussyness ever.

Sentensi yoyote inayoanza kwa kusema watu fulani wako hivi, unless inaongelea a minute group, inajifunga yenyewe kutokana na diversity ya watu. Hizo tabia zinazodaiwa kuleta feelings za "Waafrika Ndivyo Tulivyo" ziko dunia nzima, na kuna Waafrika wengine hawana tabia fulani zilizomo katika kundi hilo. Kwa hiyo at best ni some simplistic chicanery coupled with the most laughable -sad but still despicably laughable- nincompoopery you ever heard!
 
Acha kum quote Freud...si mzungu huyo?

M quote mbantu mwenye caliber ya Freud kwa wakati wake (Freud)....la sivyo na wewe Ndivyo Ulivyo ila uko kwenye denial hata utukaneje
 
Umefanya nione uhusiano wa hii misemo miwili:
  • Miafrika Ndivyo Tulivyo!
  • Viongozi wetu ni reflection yetu sisi wenyewe

.
 
Acha kum quote Freud...si mzungu huyo?

M quote mbantu mwenye caliber ya Freud kwa wakati wake (Freud)....la sivyo na wewe Ndivyo Ulivyo ila uko kwenye denial hata utukaneje

You need to boost your comprehension, hakuna mtu aliyem-quote mtu yeyote hapo. Unadhihirisha kwamba baadhi ya Waafrika wako nyuma sana kiasi hawawezi kutofautisha a quote and a satirric deprecative mind cariocaturing hara-kiri!

Siwezi kushangaa miongoni wa Waafrika hawa wakifikiri kuwa "Waafrika Ndivyo Tulivyo"
 
Haya basi bibie acha kum invoke Freud.....umefurahi sasa?
 
Umeondoa nGAYbu katika jina lakini bado mule mule, wewe sasa unadhihirisha Waafrika tunao lowlives wanaosway below the belt searching for the umentionable.
 
Nyani..There is no materiality if we lack relevance..They determine on each other...Kwamba we sometimes need to make sense...And we cannot do so if we have limited perceptions...Ofcourse perception goes with experience...But in order to be constructive..We then have to rely on materiality and usefulness of our words hence relevance.
 
1.
kuna Waafrika wengine hawana tabia fulani zilizomo katika kundi hilo. Kwa hiyo at best ni some simplistic chicanery coupled with the most laughable -sad but still despicably laughable- nincompoopery you ever heard!

2.
Umefanya nione uhusiano wa hii misemo miwili:
Miafrika Ndivyo Tulivyo!
Viongozi wetu ni reflection yetu sisi wenyewe

Wakuu Heshima zenu sana, sijaelewa vizuri exactly what are you saying, unachosema hasa ni nini kwa sababu, kwangu maneno ya Nyani, hayahitaji hayo maneno yako mazito sana ya kizungu, political facts haziwezi kuchanganywa na opinion, au self-esteem business ni vitu viwili tofauti, kwenye siasa, viongozi na wananchi kinachoamua matokeo,

Haiwezekani kwamba baada ya kashfa zote zilizoikumba serikali yetu just miaka miwili tu iliyopita, tukarudia kuwachagua chama kile kile, na viongozi wale wale, I do not care what something is wrong somewhere, sasa haiwezekani kuwa ni our political system kwa sababu ilishabadilika siku nyingi kutoka chama kimoja, na haiwezekani kuwa ni viongozi wetu ndio wabovu na sisi wananchi ni wazima, that kind of thinking is what should be laughable,

Huwezi kuji-esteem wakati realistically huna lolote to back up with hiyo high esteem, na the first step ili uweze kuji-reform ni lazima ukubali kuwa una problem ndipo quote ndivyo tulivyo inapokuwa na meaning, sasa tatizo lako lipo wapi bro?
 
Umeondoa nGAYbu katika jina lakini bado mule mule, wewe sasa unadhihirisha Waafrika tunao lowlives wanaosway below the belt searching for the umentionable.

Gay babako.....na sijui alikuzaaje huku akiwa gay....
 
"..Simle a lot. It costs nothing and is beyond the price.." - Author Unknown.

Sounds familiar au? Kumbe hii ndiyo sababu yake hasa.
 
"Isije ikafika wakati uongozi wa CCM ukawa unatangazwa kwa tenda" - Yusuf Makamba.

Sina uhakika kama hu msemo nimeupatia, lakini unasound hivyo. Pia sina uhakika kama author ni Makamba.
 
1.

2.

Wakuu Heshima zenu sana, sijaelewa vizuri exactly what are you saying, unachosema hasa ni nini kwa sababu, kwangu maneno ya Nyani, hayahitaji hayo maneno yako mazito sana ya kizungu, political facts haziwezi kuchanganywa na opinion, au self-esteem business ni vitu viwili tofauti, kwenye siasa, viongozi na wananchi kinachoamua matokeo,

Haiwezekani kwamba baada ya kashfa zote zilizoikumba serikali yetu just miaka miwili tu iliyopita, tukarudia kuwachagua chama kile kile, na viongozi wale wale, I do not care what something is wrong somewhere, sasa haiwezekani kuwa ni our political system kwa sababu ilishabadilika siku nyingi kutoka chama kimoja, na haiwezekani kuwa ni viongozi wetu ndio wabovu na sisi wananchi ni wazima, that kind of thinking is what should be laughable,

Huwezi kuji-esteem wakati realistically huna lolote to back up with hiyo high esteem, na the first step ili uweze kuji-reform ni lazima ukubali kuwa una problem ndipo quote ndivyo tulivyo inapokuwa na meaning, sasa tatizo lako lipo wapi bro?

FMES,

Fallacy ya argument inayoanza kwa Waafrika ... ni kwamba, Waafrika ni wengi sana kuwa lump pamoja hivyo. Huwezi hata kusema Waafrika ni weusi kwa maana kuna Waafrika wa Morocco Libya na Egypt si weusi, achilia mbali waafrika wa kuwa naturalized kina Makengeza type na makaburu.

Kama huwezi kusema kitu kidogo hicho blatantly kwamba waafrika tuko hivi au vile, utakosa legitimacy ya kusema "ndivyo tulivyo".

Kwa hiyo mnaposema "Waafrika Ndivyo tulivyo" mnapotosha, inabidi mui-qualify hiyo statement kwa kusema "Miafrika ya CCM inayoendeleza ufisadi" ndiyo ilivyo, au "Miafrika inayowachagua viongozi wabovu ndivyo ilivyo" inaweza kuwa ni sehemu kubwa ya waafrika lakini hii haimaanishi kuwa ndiyo waafrika wote walivyo.

Ukiangalia sana haya mambo tunayoyapigia kelele sana wala hayana mizizi katika uafrika, mizizi yake imekuja kuletwa na wageni. Na kwa vile katika kila jamii hatukosi bongolala watakaoji second guess, tunapata watu wanaoingia katika mtego wa kusema "Waafrika Ndivyo Tulivyo" bila uchambuzi.

I have never been one to be seduced and succumb to the lure of simplicity where complexity is clearly the challenge.

And you can take that as an original.
 
Back
Top Bottom