Tanzania: Quotes & Our National Politics!

Apr 27, 2006
26,588
10,375
" If you want to know the end, look at the beginning" - African Proverb.

Ukitaka kujua mwisho wetu wa taifa huko mbele tunakokwenda, ni vyema tukaangalia tulikotoka, maana haiwezi kua taabu kujua tulipo sasa tu, bali ni rahisi sana kujua tutakakoishia.

Mungu Ibariki Tanzania.
 
"Kujikwaa si Kuanguka".........Watanzania tujitathmini.....kwa hali yetu ya kiuchumi over 40 years since independence...........je tulijikwaa au tulianguka?
 
" Choose your life's mate carefully. From this one decision will come ninety percent of all your happines or misery.." - Author Unknown."

Kwa wale tuliomuona rais wetu recently, yaani uso kwa uso mtakubaliana na mimi kwamba tayari uongozi umeanza ku-take a toll on his life, kwa sababu sio siri kuwa amechoka sana, pamoja na mapumziko yake tunayoyasikia anayoyafanya kila wakati, mara Ngurudoto, mara Bagamoyo, sasa kwa nini amechoka?

Ni marafiki zake wa Mtandao, wamemfikisha pabaya tena sana sasa swali linakuwa ni kama je na yeye ni sawa na masahiba wake kina Lowassa, Karamagi, Msabaha, Chenge, na Nchimbi, au yeye ni tofauti? Kama ipo tofauti ni ipi hiyo maana wananchi wengi tunakaribia kuanza kuamini kuwa wote ni wamoja, au?

Swali linabaki kuwa aliyemfikisha mwenzake pabaya ni yupi? Ni yeye au wenzake? Au wote ndio wamefikishana pabaya?
 
".. Waafrika ndivyo tulivyo.." - Author Nyani Ngabu (Member-JF).

Tunaridhika sana na mambo madogo madogo, hatubadiliki na hatupendi maendeleo ya kweli, matokeo yake tunaendelea kuwachagua viongozi wale wale wabovu tena sometimes kwa mpaka kura za 80%, ni kwa sababu ndivyo tulivyo, yaani akili yetu ni kama ya viongozi wetu, na ni olny in Tanzania tu!.
 
Tanzanian Laws Are Meant To Protect Fisadiz!

MAra kibao sheria zimetungwa kwa ajili ya ku protect the rulling class.its quite the same thing here in Tanzania.Fisadiz kama Lowassa na Chenge hawachukuliwi hatua zozote kwa atendo yao machafu ya kifisadi ila mwalimu wa shule akila laki moja ni miaka mitano hadi ishirini.
Mungu Ibariki TAnzania.
 
KILA MBUZI ATAKULA KWA UREFU WA KAMBA YAKE.

Hiki ndicho kinachotokea katika nchi yetu kwa sasa,kila mtu anafikiria ni jinsi gani ataongeza urefu wa nusu kipenyo chake ili kuongeza ukubwa wa eneo lake la kujidai.Ukujumlisha na msemo wa kila mtu atakula madhabahuni pake,pasi ndo kila kitu kinachofanywa na karibia kila mtu ni lazima atataka apate kitu,mbaya zaidi Muungwana akaja akakomelea msumari wa mwisho kwa kusema ukitaka kula ukubali kuliwa japo kidogo.Jaribu kufikiri uweze kuona tuko wapi na uko tunako kwenda kukoje.
 
Ukiangalia tulikotoka na wapi tunakwenda unaweza kupata jibu hilo halina shaka .swali jingine tujiulize kwa nini leo hii yale yote ambayo Mwalimu Nyerere alikuwa anayapigania kwanchi hii yasitokee yamegeukakuwa ndio njia pekee ya maisha na uongozi katika nchi hii sasa hapa ni kusema kuwa Mwalimu alikuwa ni peke yake mwenye mtizamo aliokuwa nao kwa wakati ule kwamfano sikubali kama mwalimu angekubali kuona nchi inabadili tamaduni zake na kufuata zile ambazo mwalimu mara kwa mara alikuwa anatwambia wananchi kuwa WAKOLONI NI WATU WABAYA SANA SANA hili ni kweli mwalimu aliona mbali tena sana sana leo hatujuwi wapi tunakwenda binafsi nagalia kuwa huko mbele itakuwa majuto mjukuu
 
If you can't join them, beat em'
Huu msemo kaka umeweka vice versa makusudi au? mi niiweke hivi If u can't beat em' join em' kwa maana rais Kikwete ameshindwa kupambana na mafisadi akaamua kujiunga nao, au alikuwa nao tangu mwanzo?
 
".. Waafrika ndivyo tulivyo.." - Author Nyani Ngabu (Member-JF).

Tunaridhika sana na mambo madogo madogo, hatubadiliki na hatupendi maendeleo ya kweli, matokeo yake tunaendelea kuwachagua viongozi wale wale wabovu tena sometimes kwa mpaka kura za 80%, ni kwa sababu ndivyo tulivyo, yaani akili yetu ni kama ya viongozi wetu, na ni olny in Tanzania tu!.

Blaming the public is a common habit. It makes us feel good, but will not make the situation any better.

I'm sorry to say, huu ni upofu!...But nonetheless:
  • Heri kufa macho kuliko kufa moyo
    (Literal Meaning: It is better to go blind than to lose your will to do anything)

.
 
"If everyone is thinking alike, someone isn't thinking." Kevo
 
" Kina mama pia endeleeni kuzaa wasichana wazuri kwani katika miaka hii miwili hata kwenye mashindano ya urembo duniani tumetamba. Nancy Sumari alipata tuzo ya Mrembo Bora wa Afrika katika mashindano ya Miss World mwaka jana. " -- Jakaya Kikwete

..natafuta nyingine alipokuwa akizungumzia wasichana kuchirizika maziwa darasani!!
 
hahahaah...! "Mtanijuaje kwamba nimeokoka....?"
Tutafutie kaka, ninasubiria kwa hamu. :)

.
 
"Ikiwa tutaruhusu wasichana waliojifungua kurudi mashuleni matiti yao yatakuwa yakichirizika maziwa darasani" --- J.M.Kikwete

..sijui kama nimeipatia 100%. but he said something close to that.
 
This guy is a guru kwenye mambo ya "vibinti". He really amazes me with some of the things he says!

.
 
“Nothing, simply nothing, is more important for Africa than good governance” Mo Ibrahim
 
"Ikiwa tutaruhusu wasichana waliojifungua kurudi mashuleni matiti yao yatakuwa yakichirizika maziwa darasani" --- J.M.Kikwete

..sijui kama nimeipatia 100%. but he said something close to that.

Huyu JK kweli kwenye sekta ya mabinti hajambo.Hiyo quote kama ni kweli aliisema then huyu jamaa siyo mzima in the head.Tatizo lake Uswahili mwingi.
 
".. Waafrika ndivyo tulivyo.." - Author Nyani Ngabu (Member-JF).

Tunaridhika sana na mambo madogo madogo, hatubadiliki na hatupendi maendeleo ya kweli, matokeo yake tunaendelea kuwachagua viongozi wale wale wabovu tena sometimes kwa mpaka kura za 80%, ni kwa sababu ndivyo tulivyo, yaani akili yetu ni kama ya viongozi wetu, na ni olny in Tanzania tu!.

For the record, "Waafrika Ndivyo Tulivyo" ni kitabu cha Malima Ndelema I believe, certainly Nyani Ngabu si author wa huo msemo, as despicable and smallminded as the saying is the record must be straightened.
 
Back
Top Bottom