Tanzania police force .ligeuzwe liwe Tanzania police service

morenja

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
4,519
1,851
nivema sasa jeshi la police ligeuzwa mfumu nakuwa huduma za police .kwani kwa kufanya hivyo .kutaliondoa kuwa jeshi na kuwa chini ya amiri jeshi mkuu ambaye ni raisi wa nchi.na hivyo kutowezesha kutumika vibaya na utawala uliopo madarakani kama ilivyo sasa .mfano ni nchi ya Ghana na pia sasa nchi ya Kenya .kote huko baada kuwa na katiba mpya sasa hivi sio police force bali ni police service
 
Mimi naona polisi iwe chini ya halmashauri, lakini isimamiwe na wizara ya mambo ya ndani. Isiwe jeshi. Usemayo ni kweli. Iwe police service. Askari waajiriwe kwa mikataba. Raia wasiwaone kama adui kama ilivyo sasa.
 
Back
Top Bottom