Tanzania police force..enough is enough,,,stop it!!!

tanga kwetu

JF-Expert Member
May 12, 2010
2,193
1,434
Jeshi la Polisi Tanzania maana yake usalama wa raia na mali zake but not the case!! Siku kadri zinavyoyoyoma imani ya raia kwa jeshi hili inazidi kupotea!! Ebu pata picha ya incidence za rai kuvamia vituo vya Polisi na kufanya walivyofanya (Hedaru, Bariadi nk.), ebu fikiria jinsi raia wanavyouwawa mikononi mwa Polisi (latest Bw. James Wenchislaus aliyefariki usiku wa kuamkia leo kwa favour ya aliyewahonga Polisi). Ninao marafiki zangu kadhaa baada ya kupigika kimaisha mtaani hatimaye walijiunga na jeshi hili,for that matter I am sure ukiwa-tip mzigo wa maana(pesa nyingi) they can do anything as per your request. Kichefuchefu zaidi waziri wao (sio wangu) anajigamba kwenye media kwamba hawezi ku-resign kwa vile haoni sababu yaani hausiki na blunders za chini yake (shame on him!!!). Ipo siku wananchi watafanya jambo dhidi ya Polisi ambalo litaitikisa nchi!!!
Masha na IGP,Mwema dont you feel responsible for this (James Wenchislaus) among many others???? Polisi wenu wanatumaliza!!! I wish to buy RPG and blow to ashes your offices!!!!
 
Back
Top Bottom