Tanzania orders Chinese out of Dar es Salaam market

Ex Spy

JF-Expert Member
Jan 15, 2007
213
1,726
Jan 7, 2011
PANA

Tanzania has given foreign petty traders a one-month notice to close shop and leave the country or risk arrest and prosecution in law courts.

Deputy Industry and Trade Minister Lazaro Nyalandu announced the government decision, warning that the axe would also fall on persons assisting foreigners to take up residence in the country in order to sell merchandise on the streets.

Though the minister did not allude to any foreign nationality, it is understood that the order is directed at people from the Far East, largely Chinese, who in recent years swarmed Tanzanian towns to do small businesses in competition with indigenous traders.

"Although some of them originate from countries that have close friendship with Tanzania, there is no friendship before the law and no one will be spared," Nyalandu said during a tour of Kariakoo central market in Dar es Salaam, the country's commercial capital.

"Every country has its own set of laws which must be respected," Nyalandu added.

Many foreign petty traders here sell household goods, cosmetics, mobile phone sets, beddings and similar items, often at giveaway prices in order to beat their local competitors.

According to the deputy minister, the government considers the situation to be serious and it cannot stand and watch Tanzanians being denied their business opportunities by foreign intruders.

Several foreigners jostle for spaces for business in the crowded sectors of Dar es Salaam and, according to local officials, they were using their shops to repack and re-export goods, especially shoes, artificial flowers and leather products, to neighbouring land-locked countries.

According to Jerry Slaa, Mayor of Ilala municipality where most of the foreigners do business, it had proven difficult to bar their business because they held class 'A' work permits which are usually issued to investors.

Slaa said that municipal authorities would within the next 30 days draw up a list of all investors-turned-petty traders for the Home Affairs Ministry to take appropriate action.

For example, the Mayor cited some foreigners who entered Tanzania with plans of setting up fruit processing factories or shoe making industries, but ended up importing and selling motorcycles in Kariakoo area.

n1.jpg
 
Ndio wanashtuka sasa? Isiishie kwa wachina tu, wapo wengi ambao wamekuja kwa njia za panya na wanasababisha wazalendo wengi kubakia jobless.

Naona hata BBC wameiandika hii:

Tanzania orders Chinese out of Dar es Salaam market

7 January 2011

Chinese traders in Tanzania's main city of Dar es Salaam have been give 30 days to stop trading in a busy market.

The deputy industry minister said Chinese businessmen were allowed into the country as investors, but not as "vendors or shoe-shiners".

Lazaro Nyalandu said these jobs could "be carried out by locals", Tanzania's Citizen paper quotes him as saying.

A BBC reporter says there are many foreigners trading illegally in Tanzania, especially from China.

They have opened up many small retail and wholesale shops, the BBC's Hassan Mhelela in Dar es Salaam says.

But the Chinese traders are sometimes resented for their business acumen, he says.

Mr Nyalandu made the comments at Kariakoo market, which the government wants to become an export centre for the East African nations.

He also said that Tanzania was about to do a deal with the Chinese government to ensure that goods imported from China meet international standards, Tanzania's Guardian newspaper reports.
 
siasa tu hiyo ili naibu waziri naye aonekane magazetini kuwa katoa amri, hawawezi kutekeleza hiyo amri. yetu macho
 
Kwanza wangefanya uchunguzi wa watu waliopo nchini kinyume cha sheria na wajue wanajisughulisha na nini? Taarifa hizi zipo kwenye records za immigration. Hizo sehemu zote za biashara kuna watu wanawahamu kwa sura.

Wanapotoa huo mwezi mmoja kuwe na ufuatiliaji kwa walengwa wanaojulikana. Maana hapa waziri anatoa tamko kwa watu hewa ambao hajatujuza
 
Oh atleast kama ni reciprocity.

Ukweli tuna sheria lakini hazina wasimamizi. Hili tatizo halikuanza jana. Lina muda mrefu sasa. Watu wanastuka wakati jua linazama. Lakini pia kuna haja na wao kuwashauri wamachinga waliopo maeneo mengine maana Watanzania wengi wanafanya kazi zinazopaswa kufanywa na wananchi husika. Hii ngoma ngoja tuone mdundo wake.
 
Bongo kumekucha serikali ya ccm bana ina kelele nyingi sana. Haya yetu macho na masikio kama ya kweli haya yatatendeka Naibu Waziri.

Tumekunukuu baada ya mwezi urudi tena Kariakoo uone amri imetekelezwa????? anzia wizara ya mambo ya Ndani na Custom Airport utapata jibu watu wamegeuza mradi ati wa hivyo vibali.

BONGO shamba la bibi kweli!
 
Huyo waziri anabwatuka kwa huenda pengine ni kwa maneno ya kuambiwa tu, kingine huenda kuna mtu ana interest hapo. Kwa nini wachina jamani?

Kwa maoni yangu hii itakuwa ni move ya wahindi wa Kariakoo kwa kuona kwamba wenzao wachina wanafanya vizuri katika bidhaa zao, ni kweli wachina wapo wengi sana siku hizi hapo Kariakoo lakini si kama alivyosema kwamba wanafanya biashara za kusafisha viatu (utawalipa Tsh ngapi wakusafishie, haitoshi hata nauli ya kurudi kwao), aseme tu katumwa na wahindi (pandikizi) Wachina ni watu wazuri na wakarimu, huwezi kulinganisha na wahindi, bora ufanye kazi kwa mchina kuliko mhindi hiyo iko wazi na hakuna hata chembe ya ubaguzi hapa, kila siku tunasikia watanzania wetu wanauawa huko India, sijawahi kusikia China, lakini hii nadhani itakuwa ni kwa ajili ya mahusiano mazuri tuliyonayo.

Nchi nyingine zinahaha kukaribisha wawekezaji wa kichina sisi tunawafukuza, huyu naibu waziri anaishi dunia ya ngapi?
 
wapo pia WAHINDI wengiiii ambao sio raia, wanjifanya raia kwa kupitia wahindi wenzao hapa bongo waondoke, wanauza mishanaga tu,
na vitenge, hawana lolote, na warudi India, quick, wapo wengiii
 
Bongo bana, yaani hata jambo dogo kama hili inabidi lishughulikiwe na waziri, watu wa uhamiaji wako wapi?
 
Sichangii chochote mpaka nione mwisho wa amri hiyo. Tumechoka na matamko ya wanasiasa ya kufurahisha baraza.

Kama anachosema Nyalandu ndiyo msimamo wa serikali, tusubiri mpaka mwisho wa mkanda.
 
Tatizo hapa siyo kuwafukuza tu je nani aliwapa vibali vya kufanya kazi za umachinga hapa nchini...?

Idara ya uhamiaji kuanzia uhamiaji wanapashwa kuwajibishwa haraka iwezekanavyo.. Waziri wa mambo ya ndani japo ni mgeni anapashwa kuliona hili na kuwawajibisha wale waliokuwa wanasimamia hiyo kazi..

Na hii siyo wachina tu hata wakenya kule kwenye mahoteli ya kitalii Arusha, wasomali wako wengi kule Kisongo na warundi na warwanda kule Mwanza..

Masha ameshaenguliwa ila kuna katibu mkuu ambaye yeye ndiye msimamizi na mtendaji mkuu wa wizara.
 
Kama wanafuata sheria hamna haja ya kuwanyanyapaa. Msije mkaingia vita ya kupambana na wachina based on no reason kwa kuwa manipulated na wazungu. The mzunguz do not like the Chinese na in the process wakipambana hawa mafahari wawili ziumiazo ni nyasi(sisi akina yakhe).

Cha msingi ni sheria kufuatwa na maslahi ya taifa kutazamwa vizuri.
 
Kama kweli anamaanisha anachokisema, asikomae na wafanyabiashara tu ambao si raia wa taifa hili, hasa wachina. Aende mbali zaidi hata kwa Makaburu yanayojazana hapa nchini kila kukicha; viwandani na migodini, huku wakiwa hawana utaalamu wowote.
Ukikaa nao ukawauliza ni jinsi gani wanapata vibali vya kufanya kazi nchini kwtu kwa kazi ambazo hata mtanzania anaziweza, utaaibika mwenyewe.
 
Back
Top Bottom