JS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2009
- 2,064
- 497
Mkuu inaelekea TzPride ndio walewale viongozi wa nchi yetu wanaosema hakuna mafuta ili kusudi wayale kwanza vizuri wakishashiba watuachie makombo sie wadanganyika tukalambe mabakuli yao. Kama tunaweza kuweka mazingira mazuri ya kugawana mafuta kabla ya kupatikana kuna ubaya gani? Mbona wewe ukitaka kununua gari au nyumba unafanya kwanza utafiti kwanini katika rasilimali tusubiri mpaka ipatikane ndio tujue tunagawana vp?
True. na ikishapatika ofcourse viongozi wanajichukulia vyao vya juu hawana muda wa kufikiria maslahi ya wananchi. Uwezo huo wa kutengeneza mazingira kwa ajili ya taifa upo sana basi tu hakuna anayejali. na hivi sasa hivi ndo wako bize kwelikweli na kampeni hakuna aliye na muda kuangalia hili suala kwa kina.......... "The company will in August this year deploy a specially-built offshore rig to start drilling for oil in the country."..........august sio mbali