everybody
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 337
- 103
Hizi ndio Tathmini za mafanikio ya Maraisi wa Tanzania ndani ya kipindi cha miaka hamsini ya uhuru.
A.Mwl. Nyerere, J.K.
1. Kujenga msingi wa umoja na mshikamano
2. Kuondoa ukabila na udini
3. Kupigania uhuru kwa bara zima la Africa
B. Mzee Mwinyi, A.H.
1. Kuleta uchumi mikononi mwa wananchi (chachu ya maendeleo ya Tanzania)
2. Kuingiza mfumo wa soko huria Tanzania
C. Mzee Benjamin, W.M.
1. Kudhibiti mfumuko wa bei
2. Kusimamia mapato ya Serikali
3. Kuongeza heshima ya Tanzania kimataifa
D. Mh. Kikwete, J.M
1. Kuimarisha utawala bora wa kisheria
2. Kuboresha miundo mbinu Tanzania
3. Kupambana na rushwa na ufisadi
4. Kujenga mashule na kusomesha walimu
5. Kujenga zahanati kila kata
Source: Tanzania Old School band celebrate 50 years of Independence
Je mafanikio haya yaliyoainishwa na wazee hawa wa Old school (kupitia wimbo wao wa miaka hamsini ya uhuru) yamewanufaisha wananchi wa Tanzania kiukweli. Na kama kumekuwa na mafanikio haya nini kinachosababisha wananchi wengi wa Tanzania kuendelea kuwa maskini mpaka sasa? Embu tuijadili hii miaka hamsini ya Tanzania kwa kuangalia mafanikio hayo ya Maraisi wetu wa Tanzania.

Last edited by a moderator: