Tanzania Now Faces Sanctions & Diplomatic Crisis Over Iran

Status
Not open for further replies.
Kitu kinachonishangaza ni Zanzibar ina Bendera ya Taifa lake; Kwanini hawakuitumia hiyo Bendera ya Taifa lao?

Wakatumia Bendera ya Tanzania? sasa kwanini Umuhimu wa kudai Bendera yao?

Sanctions, Sijui hao ndugu zetu wa Uamsho watakimbilia Oman, na kuwaacha Wanzibari tupu
na kukabiliana na Sanction, sababu nia yao ni kuharibu nchi sio kujenga nchi.

Kwetu sisi bara, hapo ndio tutaona Matunda ya kuwatukuza Mafisadi Uzuri ni fedha zao zote zitashikiliwa huko kwenye mabenki ya nje wataumia kama sisi, Hakuna Riz1 kumiliki
hiki wala kile, maumivu wote tutayapata pamoja.

_40714247_newflagafp203bok.jpg
 
Kumbe ndo maana wanataka walete madaktari 1000 bure kumbe wameshe mhonga mk.were.? Maneno hayo!
 
If this is true, I fully support USA and they should put in effect the sanctions to Tanzania. We have seen President JK do things without consulting the parliament, dealing with Iran is something we should think of otherwise we will be isolated with outside World and this will be our end.

Those Uranium projects Iran want to support Tanzania to build power stations are to blind Tanzanians and this President JK he doesn't care anything now, he just look how to create relations with our nations were he will dump his stolen assets or someone to protect him after his last term. He has been friend with Western but he realized Western countries they will pretend friend but later they will finish him without looking back of what he gave or support them.

Mark my word, after JK ends his term they will come back to him....we remember how the death of Ouko happened in Kenya, now Tanzania Govt. is murdering innocent people, threats to people who protest some issues, killings of albino, killings of oppositions demonstrators, uncertainty of death of former BOT governor which doesn't bring sense to anyone..of all senior government official such as BOT Governor death no government witness on the death, body not brought to Tanzania, family members rejected condolences in Tanzania...we need new constitution to probe all these thieves ...

There are many issues which you can't imagine are happened in Tanzania with President JK seating without a word...ni upepo tu utapita..
 
Kumbe huyu mcheza ngoma kawapa nembo yetu wa irani inasikitisha sana ila kwa agizo la wanaomfadhili atafyata mkia penda usipende, get well soon ulimboka
Hapa DHAIFU atakuwa yuko njia panda, maana kote anataka na ukizingatia mwezi mtukufu unakaribia msaada wa tende ataukosa akikubaliana na wamarekani.
 
Hapa ninaona mambo mawili.

Kwanza ni uelewa wa wachangiaji kwenye neno re-flagging. hivi kweli wote wanaochangia wanalielewa neno hilo.

Re-flagging ninavyoelewa ni kubadilisha nationality ya kitu yaani kama utaifa. Hivyo, meli ilikuwa ya Tanzania, sasa ikiwa re-flagged Kenya inakuwa si ya Tanzania tena inakuwa ya Kenya.

Kama nimekosea nisahihisheni.

Kwa maana hii ni kwamba kilichofanyika ni meliza Iran sasa kuonekana na bendera ya taifa ililomo Zanzibar. Hapa kwenye RED mnivumilie kwanza maana imetumia neno taifa ililomo Zanzibar.

Sasa, tuje kwenye mambo ambayo tunapigizana kelele kila leo. Mambo ya muungano. Zanzibar kwa miaka mingi imekuwa ikipiga kelele kuwa na bandari yake. Ok, wana haki hiyo, hatuwezi kuwazuia.

Lakini biashara ya re-flagg maana yake bendera ya meli au ndege inabadilika inakuwa ya taifa jipya lililonunua meli.

Tuje tena kwenye yaleyale ya muungano. Kama ilivyolilia bandari ndivyo Zanzibar kwa siku nyingi imelilia kuwa na wimbo wa Taifa wake na bendera yake. Naamini hadi hapa hizi RED mbili zitaeleweka.

Kama Zanzibar ilijua inafanya biashara hii kwa kupitia bandari yake kwa nini isitumie Bendera ya Zanzibar kwa sakata kama hili.

Kama ilitumia Bendera ya Taifa la Jamhuri ya Muungano basi wawajibike haohao viongozi wa Serikali ya Zanzibar.

Waliyataka wenyewe, hivyo mimi ninaiona hii ni sawa kabisa na moja ya plague au janga la matatizo ya muungano ambayo wengi wanaita ni kero kana kwamba ni sisimizi anakutekenya kumbe ni joka liko chumbani mwako.
 
Zanzibar wanajinasibu kwenye baraza la wawakilishi kuwa bendera ta tanzania siyo mali ya tanzania bara, wana haki ya kuitumia kwenye meli za Irani, kwakuwa zanzibar ni nchi huru! Hivi haya matusi yataendelea mpaka lini! Kwanini wanzanzibari wanatusi muungano na wanatutusi wabara kila kukicha kwa kutumia U-nchi wa zanzibar? Hebu wapewe hiyo nchi yao na sisi tupack makombora yetu kuelekea zanzibar, if that is what they want! Am sick and tired or this! Maana hawa ndo wanaoitumia bendara ya tanzania kwa Irani! Nilimsikia waziri wa zanzibar akisema leo kwenye taarifa ya habari!
 
political pressures from the western to ccm sounds like liberation is near to tanzanians.i'm extremly proud.:pray2::first:
 
Hapa ninaona mambo mawili.

Kwanza ni uelewa wa wachangiaji kwenye neno re-flagging. hivi kweli wote wanaochangia wanalielewa neno hilo.

Re-flagging ninavyoelewa ni kubadilisha nationality ya kitu yaani kama utaifa. Hivyo, meli ilikuwa ya Tanzania, sasa ikiwa re-flagged Kenya inakuwa si ya Tanzania tena inakuwa ya Kenya.

Kama nimekosea nisahihisheni.

Kwa maana hii ni kwamba kilichofanyika ni meliza Iran sasa kuonekana na bendera ya taifa ililomo Zanzibar. Hapa kwenye RED mnivumilie kwanza maana imetumia neno taifa ililomo Zanzibar.

Sasa, tuje kwenye mambo ambayo tunapigizana kelele kila leo. Mambo ya muungano. Zanzibar kwa miaka mingi imekuwa ikipiga kelele kuwa na bandari yake. Ok, wana haki hiyo, hatuwezi kuwazuia.

Lakini biashara ya re-flagg maana yake bendera ya meli au ndege inabadilika inakuwa ya taifa jipya lililonunua meli.

Tuje tena kwenye yaleyale ya muungano. Kama ilivyolilia bandari ndivyo Zanzibar kwa siku nyingi imelilia kuwa na wimbo wa Taifa wake na bendera yake. Naamini hadi hapa hizi RED mbili zitaeleweka.

Kama Zanzibar ilijua inafanya biashara hii kwa kupitia bandari yake kwa nini isitumie Bendera ya Zanzibar kwa sakata kama hili.

Kama ilitumia Bendera ya Taifa la Jamhuri ya Muungano basi wawajibike haohao viongozi wa Serikali ya Zanzibar.

Waliyataka wenyewe, hivyo mimi ninaiona hii ni sawa kabisa na moja ya plague au janga la matatizo ya muungano ambayo wengi wanaita ni kero kana kwamba ni sisimizi anakutekenya kumbe ni joka liko chumbani mwako.

Hili sakata huwezi jua kwa undani mshiriki wa sakata hili, pia inaweza kuwa mmarekani mwenyewe. Njia sahihi Jk nikuwaambia wazifute hizo meli wakigoma, avunje muungano ili waweke bendera zao. Yeye atakuwa kiongozi wa interim-tanganyika mpaka tutakapofanya uchaguzi 2015.
 
TZ bwana kweli kichwa cha mwendawazimu... sasa tunapata faida gani bendela yetu inapotumika kupitisha mafuta ya IRAN? Mbona hatujaambiwa faida tunayoipata.... AU ndio biashara za mama Riz na mwanaye RIZ... TZ Inatakiwa kuwa makini sana kwani kila jambo tufanyalo lazima liwe na faida... Wenzetu wa AMERIKA wanaweka vitu vyao open... misaada yao iko open... Waarabu wanaficha ficha kila kitu... wanatoa kwa mafisadi tu....
hii ndio hasara ya kuombaomba sasa bana kubwa anataka vitu... lazima uiname
 
Tanzania ni inchi isiyo fungamana na upande wowote! hawa wamerekani wanatakiwa walijue hilo... ukoloni mambo leo ulipitwa na wakati!

Achana nao hao USA kama unaweza. Unadhani na wao ni kama CHADEMA ambao wakisusa vikao vya bunge nyinyi mnaendelea na kupiga kura kwa kelele nyingi "ndiyoooooo".
 
I respectfully request that Tanzania cancel the re-flagging of the NITC vessels. Given the close and cooperative relationship that our two governments now enjoy, it would be unfortunate if this action were permitted to stand.

Mhh.. kazi kweli kweli. Hapo kwenye red -- itabidi serikali ya Iran kwanza iziondoe pesa zao za hongo walizowawekea vigogo wa serikali yetu katika mabenki ya nje kwa kuruhusu hii dili kufanyika. Nadhani haikuwa kwa bure tu na siyo malipo ni madokta wao kuja.

RA at work of course...wanna bet?
 
Liwalo na Liwe!

Mwanzo wa Ngoma ni lele! Let us wait and see!
Kwa kuwa Juha Kikwete anatamani sana kufanya ziara hata kumshinda Vasco da Gama atapigwa ban na USA na kwa kuwa Mashoga wa USA ndio wafadhli wa CCM sasa hivi kitanuka! Hatakanyaga hata Mecca kuhuji. Ngoma inogile na kwa mtaji huu hawa namba wani wajitafutie virago kwenye magereza watakayotaka come 2015.

Dhaifu anaanza kuvuna matunda kwa Mazao ya Uamsho aliyopanda! This is only the tip of the iceberg mengi yanafuata , kumbe ndio maana Rostam kaanza amesoma alama za nyakati.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom