Tanzania: Nini tatizo letu kama Taifa? Tunajikwamuaje?

Pinda kakusanya viongozi, anawaambia tuna tatizo la uongozi. hotuba imeisha, anapigiwa makofi,huyoo.... kapanda ndege, ziara imeisha. Nobody reprimanded, nobody fired.. uongozi wake bora uko wapi kama yeye anashindwa kuwawajibisha watu wake ??
 
Mtanzania,

Just imagine that Mattaka of all people has received presidential appointment to special task force at NIC!
 
Ni kweli tuna tatizo la uongozi bora na siasa safi. Siasa yetu ni chafu. Leaders are made, not born. Walau Nyerere alipika viongozi pale Kivukoni na Chamwino. Siku hizi hawategenezwi popote. Wanatengenezwa zaidi na mifano na tabia chafu za hawa wa sasa...ufisadi e.t.c
 
Nyerere alikosea sana. Ukitaka maendeleo unahitaji kitu kimoja tu. Unahitaji watu bora.

Ni watu wanaochagua viongozi bora.
 
Ni kweli tuna tatizo la uongozi bora na siasa safi. Siasa yetu ni chafu. Leaders are made, not born. Walau Nyerere alipika viongozi pale Kivukoni na Chamwino. Siku hizi hawategenezwi popote. Wanatengenezwa zaidi na mifano na tabia chafu za hawa wa sasa...ufisadi e.t.c

- Mkuu vipi tena unarudia yale yale, hivi hujui Kikwete, Kingunge, na Msekwa ni matunda ya Chuo cha Kivukoni? Huwezi kufanikiwa Brainwash bila ya kuwepo competition,

- Ndio maana siku competitor wa kweli Rostam alipotokea Kivukoni yote ikasambaratika na Meremeta ikawa ya jeshi na ni sekta nyeti huwa haichunguzwi, case closed! lakini yule yule Pinda leo ana tatizo na uongozi mbovu wa chini yake, only in Tanzania!

FMES
 
Ndugu zangu nyote mnaotoa maoni katika Jukwaa la Siasa, mimi nina ombi kwenu. TULIOKOE TAIFA LETU. Tunaandika na kutoa maoni, lakini kusema kweli Taifa letu linaelekea pabaya.

Bajeti imenichanganya! Bilioni 19 kutengwa kwa chai na bilioni 35 kwa safari ni jambo la kusahgaza sana wakati tunaambiwa kwamba kuna mtikisiko wa uchumi.

Fedha zilizotengwa kuzilipa kampuni zilizonunua mazao, nazo ni tatizo. Kampuni hizi ni ngapi na zinadai kiasi gani? Je, zikiundwa Kagoda, ili fedha ipatikane kiulaini kuiingia kwenye kampeni za CCM mwaka ujao? Maana CCM imejijgengea utamaduni wa kushinda kwa kutumia fedha.

Ni lazima kitu kifanyike. Tuache maneno na kuanza kufanya kazi ya kuwaelimisha watu. Tuna kazi ya kuwlatoa usingizini. Watanzania wachache wanaweza kusoma habari ndani ya mtandao. Watanzania wachache wanaweza kusoma magazeti, watanzania wachache wana redio na runinga. Hivyo ni lazima tubuni mbinu za kuwaelimisha watu wetu ili tuliokoe taifa letu. Vinginevyo tunaangamia na kuliangamiza taifa letu la Tanzania.:(:(:(
 
Ndugu zangu nyote mnaotoa maoni katika Jukwaa la Siasa, mimi nina ombi kwenu. TULIOKOE TAIFA LETU. Tunaandika na kutoa maoni, lakini kusema kweli Taifa letu linaelekea pabaya.

Bajeti imenichanganya! Bilioni 19 kutengwa kwa chai na bilioni 35 kwa safari ni jambo la kusahgaza sana wakati tunaambiwa kwamba kuna mtikisiko wa uchumi...:(:(:(
Tafadhali fafanua hapa mbona... Dah! Maana mshangao hauji!
 
Wakuu, mleta mada ana maana kwamba katika bajeti ya serikali ya mwaka huu sh 19 bil zimetengwa kwa ajili ya chai na vitafunio katika mawizara ya serikali na sh 35bil zimetengwa kwa ajili ya safari za nje ya nchi za waheshimiwa. Hicho ndicho kinachomshangaza na kumsikitisha mleta mada hii.
 
Ndivyo hivyo alivyo maanisha au unamsemea wewe?

Tumsubiri mwenyewe atakuja kutufafanulia.
 
Ndivyo hivyo alivyo maanisha au unamsemea wewe?

Tumsubiri mwenyewe atakuja kutufafanulia.

Mkuu labda kama una issue naye tofauti na hiyo, lakini kwamba bil 19 za chai na bilioni 35 za trip hilo liko wazi ndivyo bajeti yetu mwaka huu 2009/10 inavyo sema!

BINAFSI NIKO PAMOJA NA MLETA MADA HAINGII AKILINI KABISA!

ili hali wanadai uchumi mbovu huku wakibebelea matumizi yasiyo kuwa ya lazima kama haya.
 
Mkuu hiyo ndio hali halisi kwa serikali ya bongo, labda wananchi nao waamue kuwanyima kura kama sio kula kwenye uchaguzi ujao, kama walivyo pata mkwara toka kwa viongozi wa dini mpaka wakarejesha misamaha ya kodi.
 
Bil 19 chai + bil 35 za safari = bil 54.

Bajeti ya kilimo mnaijua ndugu zangu?, natamani kulia.

Hatuna kipaumbele katika mipango yetu.
 
Uovu wote haujatimia bado, upatilizo ukija sasa utakuwa nusu.
Jipu halijaiva, haraka ya kuminya ya nini?
Moto haujakolea na kupamba si vema kuinjika chungu.

Wako walopigania Uhuru wa nchi, wako wanaopigania kuiuza nchi tena kwa walozi, watakuja wale watakao ikomboa nchi kutoka kwa vibaraka wa sasa.

Kila jambo nawakati wake.
 
MUTEKANGA,
Takwimu hizi una uhakika nazo mkuu?

Exaud J. Makyao - economist wa bongo asiyefuatilia bajeti ya bongo ya mwaka 2009/2010, tukueleweje ? Kama wewe unaweza kuuliza swali kama hili, je hao huko vijijini ? Najua kuna wanaonufaika na huu mfumo lakini jamani tuwe hata na huruma - kutetea hii bajeti ya kifisadi kunahitaji ujeuri na ubinafsi usio wa kawaida.
Watu aina ya Exaud ndio mtaji mkubwa wanaoutegemea CCM.
 
Kuna kazi/alipendekeza aliifanya/alitoa Mkuu Dua siku za nyuma.......kuhusu kuwaelimisha wananchi..........especially kwa sasa jinsi mitandao ya simu ilivyo......

Dua where are you...........?
 
Back
Top Bottom