Elections 2010 Tanzania ninayoitamani: Mashehe watamke Dr. Slaa chaguo la Mungu

Status
Not open for further replies.

Watanzania

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
727
42
Hii ni tanzania ninayoitamani, nchi imara ambayo watu wake wanajali uwezo wa mtu wa kuongoza Dr. Slaa. Mashehe watamke Dr Slaa ni chaguo la Mungu wamuunge mkono.
 
Hakuna kitu kama icho (chaguo la Mungu) kwenye Uislam, kwa hiyo SAHAU. Wanaweza kujitokeza baadhi kumuunga mkono (if possible), lakini si kutamka hayo niliyo yataja hapo juu.
 
1) Kwa nini mashehe tu ndiyo ume wa single out watoe hilo tamko?

2) Mashehe watamke ni tamko la Mungu kwani Mungu kawaomba watamke hivyo kwa niaba yao? Wao watajuaje chaguo la Mungu ni nani?

3) Kama miaka yote kungekua na chaguo la Mungu kunge kuwa hakuna haja ya kupia kura. Huyo "chaguo" la Mungu aki fuatwa aombwe kuongoza nchi.

Nyie watu wengine you are joking sasa na nadhani mna anza kumtania huyo Mungu. Ndiyo wale wale mnao justify haja zenu kwa kudai ni matakwa ya Mungu.
 
Hakuna kitu kama icho (chaguo la Mungu) kwenye Uislam, kwa hiyo SAHAU. Wanaweza kujitokeza baadhi kumuunga mkono (if possible), lakini si kutamka hayo niliyo yataja hapo juu.

Achana nao mkuu. Hoja zingine unabidi ujiulize mtu ana fikiria nini. Mashehe watamka Slaa ndiyo chaguo la Mungu kwani hao mashehe wali tumiwa lini huo ujumbe? Waache waishi kwenye ulimwengu wa ahera wakati matatizo yanayo jadiliwa ni ya hapa hapa duniani.
 
Nimekuelewa mkuu, ndio hivyo tena JF, Kila aina ya mawazo utayapata, some times michosho kichizi...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom