Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,834
Jeshi la tanzania ni moja ya majeshi imara kabisa barani Afrika.
Hii ni kwa sababu:-
1. Uzalendo wa wanajeshi wa tanzania
2. Mipango thabiti ya jeshi
3. Mfumo mzuri wa jeshi.
Huwa baada ya miaka miwili huwa kunafanyika gwaride la makomadoo wa afrika. Tanzania imekuwa ikishikilia nafasi ya pili na tatu kwa upande wa makomadoo.
Huenda wengine wakadhani nchi ya tanzania inaingilika kiulaini la hasha.
Ifuatayo ni jinsi majeshi yalivyo
1. Afrika ya kusini
2. Ethiopia
3. Libya
4. Misri
5. Ghana
na ya sita Tanzania.
Nchi ya Tanzania inafundisha majeshi mbalimbali Afrika
Kongo DRC, Uganda, Msumbiji vile vile nchi ya Kenya huwa inachukua mafunzo katika Jeshi la Tanzania.
Nchi ya tanzania mara nyingi hupata mafunzo ya kijeshi nje ya Afrika na sio Afrika maana tuko juu.
Nchi ya urusi na china ndio nchi ambazo mara nyingi tanzania hupata mafunzo
Naipenda TANZANIA