Well
ARDHI..
Tanzania inaeneo kubwa sana ..
Jumlisha Kenya na Uganda hawatukuti..
hakuna kitu muhimu kama ardhi..
angalia jinsi Dubai wanavyo shindilia
Michanga na mawe baharini kupata hio
Ardhi....
Tunajivunia hilo..
Chips mayai,music and even the swahili films are not too bad.
tz mko juu tatizo ni kutojiamini tu leo hata akija mtu toka malawi atanyenyekewa kama katoka ulaya vile afu wengi tatizo hamjawahi hata kutoka nje ya mipaka ya tz mnaona mko chini niwape taarifa tu mko juu na mnatisha sanawingi wa vigrosari na maandishi " safari" pembezoni ya barabara zetu kuu.
Umeongea vema sana mkuu, kudos!Tru dat Zuri.In Kenya there's no Chips Mayai unless maybe coastal area.
Personally,I'm a Kenyan.Wa Tz mnatisha sana Kiswahili hongereni.Natural resources mnazo tena kwa sana.But if the fruit of it doesn't trickle to mwananchi wa kawaida, then it's nothing. Tanzania ina nafasi kubwa ya kukua kiuchumi bt it's jst a matter abt the leadership.Thanks.
Ni kweli, nimeitembelea Burundi na kukaa Ngozi na Bujumbura. Kote kuanzia Muyinga, Bugarama, Ngozi na Buja. Warundi wanatuhusudu sana na wakitufurahia sana watz.tz mko juu tatizo ni kutojiamini tu leo hata akija mtu toka malawi atanyenyekewa kama katoka ulaya vile afu wengi tatizo hamjawahi hata kutoka nje ya mipaka ya tz mnaona mko chini niwape taarifa tu mko juu na mnatisha sana
East Africa Tanzania pia mwatisha kwa mziki wa kizazi kipya esp HIPHOP, ukiwaangalia akina chidi benz, nako tu Nako, mzee mzima FidQ, Profesa Jay, Langa, Mwana FA, Noorah aka baba star.. Imagine mimi ni mkenya, napenda HipHop sanaa, but i'd rather listen to Bongo HipHop than our Kenyan bullshit.