Tanzania: Ni nani aliyerithi viatu vya huyu kiongozi?

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
KIONGOZI SHUPAVU.jpg

Je watanzania mtamkumbuka huyu kwa yapi? Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi Amina. Tulikukupenda sana kwenye ulimwengu huu wa siasa za Tanzania na sijui ni nani aliyerithi viatu vyako ulivyoacha!

Daima tutakukumbuka.
 
Hakuna ambaye ameshawahi kuwa waziri mkuu mwenye msimamo wa kishujaa kama bwana huyu. HAKUNA.
 
Hakuna aliyeweza kuvaa viatu vya huyu mzee... Mungu amweke pema peponi amen..

Ila slaa angekuwa rais anaweza kuvaa kabisa...
 
:crazy:Umezaliwa lini????
toka wqkati wa kambarage
lowassa alikuwa ni mtu wa kufanya decision hata zile ngumungumu, huwezi kumlinganisha na mtu kama pinda..lowasa angemfunika sokoine kama anepewa kumaliia muda wake...na tz yenye neema lazima watz mngeiona...
 
Hakuna aliyeweza kuvaa viatu vya huyu mzee... Mungu amweke pema peponi amen..

Ila slaa angekuwa rais anaweza kuvaa kabisa...

Mawaziri wakuu waliofuata wanaogopa kulipa gharama maana wanajua ukiwa na msimamo mkali gharama yake sometimes ni maisha yako kama ilivyotoea kwa shujaa Edward Sokoine. Akina Pinda wanaogopa kulipa gharama maana wanajua unaweza kutangulizwa mbele ya haki kabla ya muda ndo maana anapewa gari la kifahari analikataa maana moyo unamsuta lakini hachukui hatua za kiunaume --anabaki kulalamika kama mwananchi wa kawaida na huku ana mamalaka ya kisheria kuchukua hatua
 
natamani lowasa arudi kuwa PM...huu ujinga usingekuwepo, mara dowans, mara mgao wa maji, yote kwisha habari maana huwa anachukua maamuzi ya haraka kutatua tatizo...problem ni kuwa watz huwa hawapendi mtu anayekula ili hali na wao anawabakizia...
 
Ila si alikua waziri wa maji na mifugo kwa miaka kumi? Mbona matatizo ya maji kaya kuta na kaya acha???? Au he was saving the best for when he becomes president???
 
Kwa nini unamsifu huyu Lowasa,mtu ambaye anatuhumiwa kwa ufisadi?
Kuhusu kurithi viongozi,viongozi wakiharibu kazi watarithiwa tu,kama wanavyokuwepo wachezaji katika benchi,ambao kama kuna mchezaji akipata matatizo yoyote,kocha wa mpira anatoa taarifa mara moja kwamba anataka kumbadilisha.
Lazima wawepo wachezaji waiting in the wings,ili kiongozi,kama ni Rais,Waziri,yeyote yule,akitetereka tu kidogo anaondolewa. Lazima wawepo shadow ministers.
Ingekuwa vizuri kama angekuwepo Shadow President. Mimi nataka kuwa Shadow President.
 
mungu ampumzishe shujaa huyo, mrithi wa nyerere,mwanae aliemfundisha ujamaa akashiba ila mafisadi wakamuua na kumuacha nyerere njia panda bila kujua nani wa kumpa nchi. Naahidi damu ya comred huyo haitaenda bure, walio muua hata watoto wa wajukuu hawato pata salama. Hasta la victoria siempre. Viva socialism, viva nyerere, viva sokoine.
 
Kwa nini unamsifu huyu Lowasa,mtu ambaye anatuhumiwa kwa ufisadi?
Kuhusu kurithi viongozi,viongozi wakiharibu kazi watarithiwa tu,kama wanavyokuwepo wachezaji katika benchi,ambao kama kuna mchezaji akipata matatizo yoyote,kocha wa mpira anatoa taarifa mara moja kwamba anataka kumbadilisha.
Lazima wawepo wachezaji waiting in the wings,ili kiongozi,kama ni Rais,Waziri,yeyote yule,akitetereka tu kidogo anaondolewa. Lazima wawepo shadow ministers.
Ingekuwa vizuri kama angekuwepo Shadow President. Mimi nataka kuwa Shadow President.
Je kama alikua fisadi mlimfikisha mahakamani?
 
Back
Top Bottom