Tanzania ni Kichaka cha Kuficha Maharamia na Kuwaita Wawekezaji Fedha ambazo ni Blood Money!

RasJah

JF-Expert Member
Nov 5, 2009
703
64
Mh. Membe ametoa karipio kali sana kuwa Libya bado haiwaitambui Serikali ya Rebel (NTC) na hata ameweza kuita Balozi wa Libya baada ya kuweka Bendera ya nchi ya Rebel kuwa wamekuika taratibu za nchi za diplomasia.

Je nchi yetu tunaonekana vipi kama wawekezaji waki-somali mfano Paradise hotels ambazo zipo Mkapa house na bagamoyo, huyu jamaa alikuwa ni Waziri wa Fedha (stolen money) wakati Rais Siad Bareh, ukiende kule kunduchi maeneo ya Ununio kuna wasomali (sio alishabab-blood money) wanajenga majumba ya kuuza haitoshi bado mtu kama Abdallahman Kinana ni msomali na amekuwa deals nyingi za arms deals kati ya Tz na wauzaji sasa je Tanzania tuko safe kweli. Kurugenzi husika wanaitakia mema Tanzania kwani mtu kama tajiri wa Paradise hawezi kuwekeza USA, UK kwani sources of money questionable? Yule mwekezaji katika real estates kule ununio pesa zote amepata wapi na hata Kinana naye maswali ni mengi ambayo PCCB, Usaalama wa Taifa na Intelligence, kitengo cha Money laundry lazima wafanye kazi bega kwa bega. JK nchi iko katika hata kuwa lead na foreign ambao ni rebels ni hatari sana. Wana JF hii ni serious uzawa umepotea tutaendelea kuwa vibarua kwenye nchi yetu.
 
yote haya sio mapya bongo,aliesafirisha wanyama nje nae si muarabu..mwananchi akishikwa na nayama ya swala jela miezi 9,muarabu anakamata,anapeleka kwake,baaadae anapakia kwa magari mpaka airport baadae anapakia kwa ndege kwenda kwao...TUPO TU,NO BODY CARES..kama sio ujinga huu ni nini?
 
Hivi siku hizi kuanzisha thread hapa siasa si mpaka INVISIBLE approve ndio zinaanzishwa au vipi?
 
Hivi siku hizi kuanzisha thread hapa siasa si mpaka INVISIBLE approve ndio zinaanzishwa au vipi?

mzee umekosea jukwaa, kuna jukwaa la ushauri na malalamiko huko chini,
unapokuja kwenye post ya mtu na kuweka upupu hakuna tija kwa taifa, kama kuna hoja toa
ili TUWEZE,TUTHUBUTU, TUSONGEMBE BILA KUANGUKIA PUA
 
Mh. Membe ametoa karipio kali sana kuwa Libya bado haiwaitambui Serikali ya Rebel (NTC) na hata ameweza kuita Balozi wa Libya baada ya kuweka Bendera ya nchi ya Rebel kuwa wamekuika taratibu za nchi za diplomasia.<br />
<br />
Je nchi yetu tunaonekana vipi kama wawekezaji waki-somali mfano Paradise hotels ambazo zipo Mkapa house na bagamoyo, huyu jamaa alikuwa ni Waziri wa Fedha (stolen money) wakati Rais Siad Bareh, ukiende kule kunduchi maeneo ya Ununio kuna wasomali (sio alishabab-blood money) wanajenga majumba ya kuuza haitoshi bado mtu kama Abdallahman Kinana ni msomali na amekuwa deals nyingi za arms deals kati ya Tz na wauzaji sasa je Tanzania tuko safe kweli. Kurugenzi husika wanaitakia mema Tanzania kwani mtu kama tajiri wa Paradise hawezi kuwekeza USA, UK kwani sources of money questionable? Yule mwekezaji katika real estates kule ununio pesa zote amepata wapi na hata Kinana naye maswali ni mengi ambayo PCCB, Usaalama wa Taifa na Intelligence, kitengo cha Money laundry lazima wafanye kazi bega kwa bega. JK nchi iko katika hata kuwa lead na foreign ambao ni rebels ni hatari sana. Wana JF hii ni serious uzawa umepotea tutaendelea kuwa vibarua kwenye nchi yetu.
<br />
<br />
hata na huko nje ukienda na dolali zao wanakupa na uraia. acha watu watuletee mahela blaza.
 
Acheni chuki zisizo na tija, na wewe pia nenda kateke meli leta pesa uwekeze-hao matajiri wakilipa ransom money wewe unaumia nini, afterall wanatuibia sana. uko Somalia kuna umasikini wa kupitiliza kila mtu anaona hilo, wakitokea wachache wakatengeneza pesa labda inaweza kusaidia kupunguza hali hii mbaya inayowazunguka.
-
 
Back
Top Bottom