Tanzania: News content on printed and electronic media - Interesting pattern to study and learn?

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,694
787
Kwa muda sasa nimekuwa nafuatilia taarifa ya habari ya vyombo vya Tanzania na jirani zetu (at least mmoja), pamoja na magazeti yao ya kiingereza na kiswahil; kwa maoni yangu!

Tanzania (coverage in %):
-Contemporary politics ---- 70
-Regional & Global News --- 10
-Social-Economical News - 5
-Sports, Games & Intertainment news -15


Taifa Jirani (jina kapuni, coverage in %)
-Contemporary politics --->45
-Regional & International News - 15
-Social-Econimical news ---> 25
- Sports, Games & Intertainment news --15

Je wewe wasema je? Binafsi naona taifa langu linakoenda siko!!!! tunahitaji kufanyia kazi hayo ambayo yako bolded above.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom