Tanzania ndio nchi inayo ongoza duniani kwa sasa kwa mfumuko wa bei unalijua hilo?

ndo maaana rwanda inaingia dunia ya pili!
sisi bado tunahangaika tuu!

Henge, Rwanda bwana hawashikiki sasa hivi, waseme kwa kitu kingine kama uhuru wa kujieleza nk, lakini katika mambo ya economic development wanaruka, wala sio kukimbia tena!
 
ona mfumuko wa bei tangu 2005

o3pdT5v4n3EFcACCauABBMXAEgmLgCQDBxBYBg4goAwcQVAIKJKwAEE1cACPYLLNJGIRD9BZ8AAAAASUVORK5CYII=

Mfumuko wa bei unaletwa na watu kama wewe ambao hamfanyi kazi mnakaa kupoteza muda kulalama, ni kipi ulichokifanya wewe kama raia wa Tanzania kuzuia mfumuko wa bei?

Mimi binafsi ili kujiepusha na mfumuko wa bei, nakula kuku nnao fuga mwenyewe, nakula mboga nnazo otesha mwenyewe, nakula mayai ya kuku nnao wafuga mwenyewe, nakunywa maziwa ya Ng'obe nnaofuga mwenyewe, natumia gas ya kupikia kutokana na nishati nnayotengeneza mwenyewe. 60% ya umeme nnao tumia nnazalisha mwenyewe, na nnategemea baada ya muda si mrefu kutumia 100% ya umeme wangu mwenyewe. Na hivi karibuni ntaanza kuzalisha samaki nnao wafuga mwenyewe. Sinunui siagi wala jam, natengeneza mwenyewe.

Huo mfumuko wa bei kwangu ni hekaya za Abunuwasi, haujanifikia.
 
Naona unaongea Utumbo ww kijana... Kama ww umeamua kujitemgemiea wakati Bogus wako anabariki importation ya Sukari nchini unafanya kipi cha maana wakati tunapoteza Balance of payment, Hatuna pesa za kigeni za kutosha halafu tuna import. Huyu bogus anaonekana hata Fiscal Policy haijui. Tunatakiwa Tupandishe kodi katika bidhaa zinazotoka nje na pia tunatakiwa tupunguze Matumizi pia Tuongeze mapato kwa njia ya Kodi ambayo ndio salama kwetu
 
Bogus ni yule aliyeitowa hii nchi kutoka "the largest exporter of farm products in Africa" to the largest importer of food. Humjui?

Leo kwa mara ya kwanza in 30 Years una food surplus, una akiba ya kuagiza ukitakacho kwa miezi minne ijayo bila kuingiza hata senti nyekundu kwa muda wote huo. Lini iliwahi kuwa namna hiyo?

Kuwa na inflation ni faida kwa mwenye kujuwa namna ya kuitumia. Siyo kukaa kulalama. Si bora leo unayo hiyo sukari ya kutoka nje na unaimudu kuinunuwa hata iwe ni kwa bei ya juu, tulikuwa tunakunywa chai kwa kuipika na lawalawa nyeupe badala ya sukari, uliza ilikuwa wakati wa nani? Sidhani kama unayajuwa hayo.
 
staki kuamini ur amang great thnkers?hayo uloyataja ni basics tu ambayo mtu yoyote hata ambaye hajawai kukanyaga shuleni ukimwezesha anaweza fanya,hvi nikuulize!kwa hayo yote uloyataja huyo bogus unaemsemea kayafnya yamesaidia nini kubadilisha hali ya uchumi wa nchi yetu tofauti na wale walomtangulia?rais asiejua kipi kianze na kipi kifuate ni wanini?leo hii hzo shule unazozisemea watoto kibao wapo sekondari hata a,e,i,o,u hawajui kuzisoma,kazi yake ni nini?kumbuka kua shule si majengo na madawati 2,vpo vikubwa na zaidi ya hivyo.Appolo ya india ndio hosptal ya taifa kwa sasa,sijui hosptal unazo tamba nazo ni zpi?huwezi kunishawshi kwa lolote,naunga mkono hoja the president is bogus..

Mbona hayajafanywa na wote waliokuwapo kabla ya Kikwete?

Wewe unaeweza kuyafanya tuambie umefanya nini?
 
Bogus ni yule aliyeitowa hii nchi kutoka "the largest exporter of farm products in Africa" to the largest importer of food. Humjui?

Leo kwa mara ya kwanza in 30 Years una food surplus, una akiba ya kuagiza ukitakacho kwa miezi minne ijayo bila kuingiza hata senti nyekundu kwa muda wote huo. Lini iliwahi kuwa namna hiyo?

Kuwa na inflation ni faida kwa mwenye kujuwa namna ya kuitumia. Siyo kukaa kulalama. Si bora leo unayo hiyo sukari ya kutoka nje na unaimudu kuinunuwa hata iwe ni kwa bei ya juu, tulikuwa tunakunywa chai kwa kuipika na lawalawa nyeupe badala ya sukari, uliza ilikuwa wakati wa nani? Sidhani kama unayajuwa hayo.

Nimegundua nabishana na Mwanasiasa na sio Mwanauchumi let me Hit the free way. Kama kuna food surplus iweje leo uagizie sukari toka nje? Unajua madhara ya ku import wewe. Hii awamu ya utawala imekosa muelekeo
 
Back
Top Bottom