Tanzania ndio nchi inayo ongoza duniani kwa sasa kwa mfumuko wa bei unalijua hilo?

ibra919

Member
Apr 16, 2012
23
6
Tnzania ndio nchi inayo shika nafasi ya pili duniani kwa mfumuko wa bei ya vitu mbalimbali ikiwa ina aslimia 19% yamfumuko ikitanguliwa na venezuela yenye aslimia 24.60% hii ni kwa mujibu wa shilika la uchumi duniani na kama unataka kuona zaidi lini mfumuko wa bei nchini tanzania ulikuwa ni mdogo zaidi na wakati huo huo nchi ilikuwa chini ya utawala wa nani bais usisite juingia hapa www.tradingeconomics.com. Na ukiingia hapa naamini utaacha tabia ya kulalamikia viongozi walio tangulia kuongoza nchi hii.Tafadhari naomba soma hapa chini kwa umakini mkubwa usisahau kuingia kwenye www.tradingeconomics.com
NAOMBA KUWASILISHA
 
information talks,flash them to NEPI and Mwigulu.Tanzania is no more relevant for any rightful thinking person unless otherwise you are cowardy.
 
Kikwete yuko marekani
Kigwangwala na jk wanakuambia kuwa magari ya fahari mjini ndio maendeleo..hayo magari yenyewe ni ya kina mkulo
 
miaka 10 tulikua sawa na singapore,korea leo ndio jk anawapigia magoti kuomba msaada!CCM NOOOOO MORE IN OUR COUNTRY
 
I say check tena facts zako, hasa kulingana na inflation rate. Mara ya mwisho, October mwaka jana, Ethiopia walikuwa wana zaidi ya 40% inflation rate. Watakuwa wamefanya miracles kuirudisha hadi kuwa chini ya Tanzania. Raisi wao (sijui Waziri Mkuu) alikuwa akipingana vikali na Bunge juu ya namna ya kushusha inflation rate, hata kuwaambia Wabunge wa Ethiopia hawajui basics za economics.

Raisi wa Ethiopia amekuwa akiwawezesha sana wazalendo ku-invest kwa kuwapa capital support hadi asilimia 70% ikiwa tu wana equity ya 30%. Hataki kabisa foreign investors Ethiopia. Hata ukioa au kuolewa na mu-Ethiopia hupati hata kiwanja cha kujengea nyumba Ethiopia, na kama umeoa au kuolewa mkanunua nyumba utatakiwa uiandikishe jina la mkeo au mumeo Mu-Ethiopia. Matokeo yake kweli uchumi umeinuka na pia kumekuwa na investment nyingi sana za wazalendo, lakini inflation ika-shoot to more than 40%.
 
mkuu, Kenya pia ilikuwa kama 18.5% lakini sasa wanaelekea kwenye 'single digit'.

Ila hapa ukiamua kuondoa VX (V8) za wakuu wa mikoa na kuwapa Land Cruiser Mikonga gharama za hilo eneo zitashuka kwa zaidi ya 50%. Pia ukienda mbele na kuamua kuwapa wakuu wa wilaya RAV4 badala ya VX inaweza pia kuwa na impacts. Hii bado hujaongelea kuzifuta hizi nafasi maana hawa watendaji wanaonekana zaidi kama watendaji wa vyama vya siasa badala ya wananchi kwa ujumla wao.

Hilo ni eneo dogo tu ambalo labda linaweza ku-'pull down' importation rate (in value) na unaweza kuongeza eneo onaloona kama litasaidia maana nchi ni yetu sote, tuache kulalamika tu bila kutoa suluisho.

mkuu, Kenya pia ilikuwa kama 18.5% lakini sasa wanaelekea kwenye 'single digit'.

Umujubi kweli kabisa. Uzembe wetu tu ndio unatufanya tucheze kwenye digit mbili muda wote huu.

Nimeangalia update ya inflation rate ya Ethiopia, I am very impressed. Hebu angalia hapa (as of May 2012):

Ethiopia: The year on year inflation rate in Ethiopia fell to 29.8% in April (2012) from 32.5% in March (2012), showing a decrease for the second straight month according to the Central Statistics Agency. The inflation rate in Ethiopia is expected to decrease to less than 10% by November (2012) according to Ethiopian Prime Minister Meles Zenawi.
Source: 2merkato.com - Ethiopian Business Portal - Business directory, tenders, trade leads
 
Wapi sijaeleweka mkuu maana nimeweka kila kitu na nimewaomba wana JFkujipa mda wa kufuatiliam mambo na kwa taarifa yako nchi yenye mfumuko mdogo zaidi iko bara hilhil la africa nayo ni morroco yenye asilimia 0.8% upo hapo ndugu yangu.ukweli ni kwamba nchi hii haina mwenyewe hivyo kila mtu anafanya anavyo ona inafaa kwake na familia yake basi.
 
Umujubi kweli kabisa. Uzembe wetu tu ndio unatufanya tucheze kwenye digit mbili muda wote huu.

Nimeangalia update ya inflation rate ya Ethiopia, I am very impressed. Hebu angalia hapa (as of May 2012):

Ethiopia: The year on year inflation rate in Ethiopia fell to 29.8% in April (2012) from 32.5% in March (2012), showing a decrease for the second straight month according to the Central Statistics Agency. The inflation rate in Ethiopia is expected to decrease to less than 10% by November (2012) according to Ethiopian Prime Minister Meles Zenawi.
Source: 2merkato.com - Ethiopian Business Portal - Business directory, tenders, trade leads
ndo maaana rwanda inaingia dunia ya pili!
sisi bado tunahangaika tuu!
 
Mambo mengine unaweza usiamini kama yanatokea hapa nchini. Tumekuwa kama tunaishi nchi ya kusadikika
 
Kichwa cha habari "inaongoza" utumbo "nchi ya pili" mwisho wa habari haipo kwenye takwimu za kidunia.

Duhh, watu wengine wanajuwa ufisadi wa kuandika.
 
Haya sasa na idadi ya watu tayari imeanza kupungua. Hii maana yake ni kuwa watu wanaku zaidi sasa
kutoka 43.74m sasa tumebaki 43.19m
watu 550,000 tayari wameshapotea
 
Tunaongoza pia kuwa na rais bogus of all times

Bogus kakuwekea Universities zaidi ya 10 kwa miaka 6, bogus anakutengenezea barabara za lami zaidi ya kilomita 11,000, bogus amekujengea shule za sekondari zaidi ya 5000 kwa miaka sita, bogus amekutandazia mawasiliano ya "fibre optic" nchi nzima. Bogus ameanza kkuwekea kiwanda cha kukufulia umeme utaofikia MW 1,000 mbeleni. Bogus anakujengea kiwanda cha kufuwa chuma kutokana ore inachimbwa hapahapa Tanzania kikubwa katika Afrika Mashariki kwa mara ya kwanza katika historia. Bogus kakuletea kombe la Afrika Mashariki ambalo hujaliona toka enzi za Mwinyi. bogus kaweza kukuandalia utaratibu unayosimamia mali za Umma mpaka ukaweza kuujadili bungeni kinaga ubaga. bogus kakupunguzia uhitaji wa bajeti yako kutpka kwa wahisani toka asilimia karibia sitini kabla hajaingia madarakanai mpaka kufikia chini ya asilimia arubaini wakati wake na inaendelea kushuka. Bogus ambae katika kipindi chake una ziada ya chakula wakati kabla yake watu walikuwa wanakufa na njaa. Bogus kakufanyia Muhimbili kuwa na kitivo cha tiba za moyo na kukusomeshea waraalaam ambao kabla ya hapo ilikuwa amma ufe amma upelekwe nje ya nchi, bogus kakuwekea zahanati za huduma ya kwanza karibu kila kata katika Tanzania. Bogus kakuwekea ambulance zinazoweka mfikisha daada yako akitaka kujifunguwa haraka kwenye kituo cha afya. Bogus kakupa uhuru wa domokaya ambao hujawahi kuuona kabla ya ujio wake.

Pambaf.
 
chart.png

kumbe tunaendelea vizuri kwa upande wa kuongeza ajira!
 
staki kuamini ur amang great thnkers?hayo uloyataja ni basics tu ambayo mtu yoyote hata ambaye hajawai kukanyaga shuleni ukimwezesha anaweza fanya,hvi nikuulize!kwa hayo yote uloyataja huyo bogus unaemsemea kayafnya yamesaidia nini kubadilisha hali ya uchumi wa nchi yetu tofauti na wale walomtangulia?rais asiejua kipi kianze na kipi kifuate ni wanini?leo hii hzo shule unazozisemea watoto kibao wapo sekondari hata a,e,i,o,u hawajui kuzisoma,kazi yake ni nini?kumbuka kua shule si majengo na madawati 2,vpo vikubwa na zaidi ya hivyo.Appolo ya india ndio hosptal ya taifa kwa sasa,sijui hosptal unazo tamba nazo ni zpi?huwezi kunishawshi kwa lolote,naunga mkono hoja the president is bogus..
 
Bogus kakuwekea Universities zaidi ya 10 kwa miaka 6, bogus anakutengenezea barabara za lami zaidi ya kilomita 11,000, bogus amekujengea shule za sekondari zaidi ya 5000 kwa miaka sita, bogus amekutandazia mawasiliano ya "fibre optic" nchi nzima. Bogus ameanza kkuwekea kiwanda cha kukufulia umeme utaofikia MW 1,000 mbeleni. Bogus anakujengea kiwanda cha kufuwa chuma kutokana ore inachimbwa hapahapa Tanzania kikubwa katika Afrika Mashariki kwa mara ya kwanza katika historia. Bogus kakuletea kombe la Afrika Mashariki ambalo hujaliona toka enzi za Mwinyi. bogus kaweza kukuandalia utaratibu unayosimamia mali za Umma mpaka ukaweza kuujadili bungeni kinaga ubaga. bogus kakupunguzia uhitaji wa bajeti yako kutpka kwa wahisani toka asilimia karibia sitini kabla hajaingia madarakanai mpaka kufikia chini ya asilimia arubaini wakati wake na inaendelea kushuka. Bogus ambae katika kipindi chake una ziada ya chakula wakati kabla yake watu walikuwa wanakufa na njaa. Bogus kakufanyia Muhimbili kuwa na kitivo cha tiba za moyo na kukusomeshea waraalaam ambao kabla ya hapo ilikuwa amma ufe amma upelekwe nje ya nchi, bogus kakuwekea zahanati za huduma ya kwanza karibu kila kata katika Tanzania. Bogus kakuwekea ambulance zinazoweka mfikisha daada yako akitaka kujifunguwa haraka kwenye kituo cha afya. Bogus kakupa uhuru wa domokaya ambao hujawahi kuuona kabla ya ujio wake.

Pambaf.

ona mfumuko wa bei tangu 2005

o3pdT5v4n3EFcACCauABBMXAEgmLgCQDBxBYBg4goAwcQVAIKJKwAEE1cACPYLLNJGIRD9BZ8AAAAASUVORK5CYII=
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom