Tanzania Ndani Ya Ndoto.......

Panga La Shaba

JF-Expert Member
Dec 24, 2009
209
68
Wana jamvini,mpaka sasa napata taabu kidogo kuamini hizi ndoto,watu wanadai wameoteshwa waje kutibu watu kwanza ilianza ndoto ya;-
1.Loliondo(kwa Babu)
2.Rombo(Tarakea)
3.Mbeya
4.Bunguruni
5.Tabora

Hii ya Tabora naona serikali imeingia mkenge,mkuu wa mkoa amekwenda kunywa pamoja na makamanda wake,....kinacho nishangaza ni serikali kuwakubali hawa wachambuzi wa ndoto kirahisi tu......Sasa siku wameota ndoto imewatuma kuwa ****** aondoke ikulu,.........!
 
Ni dhahiri kuwa watanzania sasa tumefika pabaya! Sasa CCM kwa makusudi wameandaa njia nyingine ya kuwaondoa watanzania katika masuala ya msingi na kuelekea katika njia za kienyeji za matibabu amabayo hayajathibitishwa. Hii ni mbinu pumbavu na kama CCM wanadhani tutasahau KATIBA MPYA, UFISADI, nk, wanajidanganya!!!!

Ni upuuzi wa hali ya juu na propaganda za kishenzi ambazo mwisho wake ni mfupi. Hili ni angamizo la pili la CCM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom