Tanzania: nchi ya kujisifia kwa takwimu na si ubora!

kivyako

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
14,341
12,045
Sijui kama kwenye nchi nyingine duniani kuko hivi ambapo serikali husika ujisifia kwa kupandisha takwimu bila kujali ubora na faida vikoje, mfano
1. Tunajivunia shule nyingi za sekondari bila kujali kinachozalishwa huko
2. Tunajivunia idadi kubwa ya wabunge na tunaendelea kucreate majimbo mengine
3..........
Ndg mwana jf unaweza kuongeza idadi ya vitu ambavyo serikali ya Tanzania inajivunia kitakwimu lakini ubora wake haukidhi au havina faida kabisa kwa taifa.
Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom