Tanzania National Identities

Mpango wa kuwa na vitambulisho vya kitaifa:

  • Ni Nzuri

    Votes: 202 58.2%
  • Ni Mbaya

    Votes: 146 42.1%

  • Total voters
    347
Kwa wanaoangalia hivi huyu jamaa kasimama ama amepewa kiti na kukaa...maana hapa nasikia sauti tu...

Unakuwa na uwezo wa aina gani kuweza ongea pumba mfululizo kwa masaa matatu.

NASHAURI KUWE NA MATANGAZO YA BIASHARA KULIONGEZEA PATO TAIFA!!!

aliongea masaa manne kasorobo
 
We have to learn the rule of the game. Ilikuwa ni lazima kufanya hivyo kusifu EL ndiyo mambo ya kubebana. Tutabaki tunapiga makelele huku watu wanapeta- wakati wa watu kuwa serious wakisikia uchaguzi, wafanye wajibu wao kama raia siyo kujificha kama mbuni Kufukia kichwa mchangani´-matokea yake ndiyo haya

Poleni Watanzania mnaoitakia nchi yetu mema-kazi tunay, tuianze sasa!
 
Na huu utendaji kazi wa SIRIKALI yetu wa "KULIWA KWANZA" ndio unasababisha hata MAFISADI kuila [/B]kiurahisi!?

Namna hii tutafika kweli....???
 
JK kweli amenisikitisha. JK Kama alithubutu ku freeze Account ya Kighoma A Malima ya offshore kabla ya uchaguzi mwaka 1995 akiwa waziri wa fedha inakuwaje mafisadi wanamshinda akiwa rais?, au anataka amwachie rais wa awamu ya Tano aje kuwashitaki mafisadi wa EPA na kina Chenge, Mkapa,...,

Unataka a freeze ac zake na zamaswaiba wake ?
 
Kweli JMushi, ila hofu yangu ni kwamba tunakuwa vipofu wa makusudi kuhusu how change really occurs. inachukua muda. sisemi kwamba serikali yake kikwete is on point kwa kila kitu, kwa mfano hizo sekondari za kata za vodafasta kweli ni dangaya toto: bila waalimu wazuri tutavuna kizazi cha watanzania wasioajirika huko mbele ya safari kwasababu ya uduni wa elimu.

Ila nadhani leo hotuba ya rais imeashiria kwamba tupende tusipende Kikwete anafanya kazi kwa mantiki, anayo system yake, na anapenda kutoa majibu kamili ya utendaji baada ya kufanya kazi badala ya kuropoka ovyo.

wapinzani wa ndani na nje ya bunge wametuzoeza hizi sera na politics za kugrand-stand. hata ninavyo wapenda wapiganaji akina chadema crew na baadhi ya wabunge wa CCM, ninawaamini zaidi watendaji ambao wanafanya mambo yao kimya na kutoa majibu kwa kufikiria kama akina Pinda (and perhaps Kikwete to some extent).

Sasa nitapenda kuwaona wapinzani watakavyompaka matope knowing that it is always far easier to criticize someone who is making an attempt- kwani wao hawajapata nafasi ya kupambana na changamoto za kuendesha nchi (siyo majimba na halmashauri tu) huku wakitukanwa hadharani kila siku. tusizoee ku-underestimate kazi za serikali.
 
Jamani mie mtakuwa mnanipata kwenye segment ya Mambo ya kikub.. huku kwenye politics nimechoka jamaa tuliyekuwa tunamtegemea hategemeki kweli hili ni changa la majivu tangulia baba tangulia JK
 
Kweli JMushi, ila hofu yangu ni kwamba tunakuwa vipofu wa makusudi kuhusu how change really occurs. inachukua muda. sisemi kwamba serikali yake kikwete is on point kwa kila kitu, kwa mfano hizo sekondari za kata za vodafasta kweli ni dangaya toto: bila waalimu wazuri tutavuna kizazi cha watanzania wasioajirika huko mbele ya safari kwasababu ya uduni wa elimu. Ila nadhani leo hotuba ya rais imeashiria kwamba tupende tusipende Kikwete anafanya kazi kwa mantiki, anayo system yake, na anapenda kutoa majibu kamili ya utendaji baada ya kufanya kazi badala ya kuropoka ovyo.

Hata hii liwa ule si jambo lisilo la kikub...da ulisikia kuna kamtego tumetega pale tunasubiri kanase...kwa kweli hata lugha yetu inaakisi upeo wa fikra zetu!
 
Kwangu mie naona kama amefanya kazi kubwa sana ya kuwaondolea wananchi wengi wasi wasi, na maelezo yake juu ya utekelezaji wa EPA angalau ulinipa matumaini kwamba serikali inajitahidi kufanya kazi kwa kufuata sheria ni siyo kufukuza wala kufunga watu ovyo ili kuwaridhisha waandishi wa habari na malcontents wengine.

Kazi ya Kufunga nadhani ni kazi ya Mahakama. Na hawa waliokwapua fedha za EPA nadhani ni wezi, katika hili at least angeamua na kuiacha Mahakama ifanye kazi yake...ili wale watakaopatikana na Hatia wawajibishwe!

Rais unawaongezea watuhumiwa wa Wizi muda wa kurudisha walivyoiba? Magereza yamejazwa wezi wadogo wadogo na kufanya msongamano kuwa mkubwa, kumbe nao wangeweza kurudisha kuku, simu na vingine walivyoiba wakaendelea kupeta mitaani.

Mimi nakiri kitu kimoja, JK amefanya kazi kubwa kudhihirishia umma wa Watanzania uwezo wake wa kuongoza.

Naijutia kura yangu!
 
Tehe Tehe unajua haya mambo yanatuchekesha ila kwa kweli yanapaswa kutuliza!Unajua wabunge siriasi mule walikuwa hawacheki kabisa!Hivi ulihesabu mara ngapi Muungwana aliwataja Wamarekani? Kweli twaliwa ili tule!Kwa kweli hiyo ni kauli mbiu hasa maana aliisisitiza sana kama alivyokuwa anasisitiza ili kauli mbiu ya enzi zile!Tuliwe kwa ari mpya, kasi mpya, na nguvu mpya ili tule!

Mimi niliangalia nusu ya kwanza tu ya hotuba, sehemu nyingine nilisikiza kupitia radio(simu). Sikumbuki kuonyeshwa sura za wapinzani wakiwa kama kundi, ni Zitto tu.

.
 
Hotuba ya huyu Mhe. imenikumbusha kitabu kimoja nilisoma zamani kidogo cha Prince Kangwema(Kama sijakosea) Kikawa na title ya SOCIETY.........

Nadani mwandishi alijuwa kuwa wapo na Mhe na wenzake ni mmoja wao.
 
Amemaliza sasa ni wakati wa kurate hiyo hutuba.

Swala la
  1. Zanzibar.................................. A
  2. Swala la Shilingi ...................... F
  3. Swala la kipato cha mtanzania ..... C
  4. Swala la wafanyakazi ................ B
  5. Swala la Michezo ....................... A+
  6. Swala la EPA ......................... F
  7. Swala la Rushwa ....................... F
  8. Kuchukulia Hatua Wezi wa mali za umma C

He, kama ni hivyo kafulu tena sana. Kapata point 20, division II. Kombi imekubali.
 
Kweli JMushi, ila hofu yangu ni kwamba tunakuwa vipofu wa makusudi kuhusu how change really occurs. inachukua muda. sisemi kwamba serikali yake kikwete is on point kwa kila kitu, kwa mfano hizo sekondari za kata za vodafasta kweli ni dangaya toto: bila waalimu wazuri tutavuna kizazi cha watanzania wasioajirika huko mbele ya safari kwasababu ya uduni wa elimu. Ila nadhani leo hotuba ya rais imeashiria kwamba tupende tusipende Kikwete anafanya kazi kwa mantiki, anayo system yake, na anapenda kutoa majibu kamili ya utendaji baada ya kufanya kazi badala ya kuropoka ovyo.

wapinzani wa ndani na nje ya bunge wametuzoeza hizi sera na politics za kugrand-stand. hata ninavyo wapenda wapiganaji akina chadema crew na baadhi ya wabunge wa CCM, ninawaamini zaidi watendaji ambao wanafanya mambo yao kimya na kutoa majibu kwa kufikiria kama akina Pinda (and perhaps Kikwete to some extent). Sasa nitapenda kuwaona wapinzani watakavyompaka matope knowing that it is always far easier to criticize someone who is making an attempt- kwani wao hawajapata nafasi ya kupambana na changamoto za kuendesha nchi (siyo majimba na halmashauri tu) huku wakitukanwa hadharani kila siku. tusizoee ku-underestimate kazi za serikali.

Hakuna attempt yeyote ya maana anayoifanya Kikwete tusidanganyane hapa, hizi ngonjera tumeshazisikia miaka mingi, ule muda wa watu kusubiri umeshapita. Watu wameshachoshwa na hadithi za kisanii zisizokwisha. KIKWETE NI 100% FAILURE.
 
Hakika sikuyaamini masikio yangu baada ya Hotuba ndefu ya Mr President iliyochukua takribani masaa manne 4 lakini ikiwa imebeba upupu. Hotuba hii imekuja kufunikwa na Hotuba ya Bwana spika iliyochukua chini ya dakika kumi ikiwa imebeba ujumbe mzito wenye matumaini.

I dont understand what type of this president we have na sijui kama tutaweza kuvuka katika dhahama hizi. Any way sijui wana JF mnamchukuliaje Mr president wenu

Labda walimuibia hotuba yake halisi au Amelogwa. Sio akili zake Binafsi, siamini.
Maana ni sawa na kama mpiga Penalti, badala ya kupiga kuelekea golini yeye anapiga kuelekea katika ya Uwanja.

Au ni sawa sawa na Kichaa anayeenda jalalani ya kuokota ndizi mbovu na nzuri kidogo, na kuzitnganisha , baada ya hapo anachukua ndizi mbovu anaondoka nazo, anaacha ndizi nzuri
 
Kuna umuhimu wa kupima IQ kwa wale wote wanaotaka kugombea uongozi ili Vichwa Pumba wote waenguliwe mapema.
 
Kuna umuhimu wa kupima IQ kwa wale wote wanaotaka kugombea uongozi ili Vichwa Pumba wote waenguliwe mapema.

Huyu hatukuhitaji hata kupima IQ yake. Tungeangalia rekodi yake huko kote alikopitia alikuwa hana mafanikio yoyote. Sasa kama mtu anashindwa kuendesha vizuri wizara moja tu, je, ataweza kuendesha nchi?
 
Point ya muhimu katika hotuba ya Rais ni kuwa hakuna atayeshtakiwa katika sakata la EPA.

Nabii Issa alisema sheria moja nawapa Mpendane, na JMK, anatuapa sheria moja tu iba, lakini baada ya muda rudisha, hatutakuchukulia hatua wale kukusema.
 
Kuna umuhimu wa kupima IQ kwa wale wote wanaotaka kugombea uongozi ili Vichwa Pumba wote waenguliwe mapema.

Mazee, mbona kwa Kikwete kulikuwa hakuna ugumu wowote kutambua kwamba ni mtupu? Mtu anapoanza kukwepa midahalo lazima ujue kuna kitu. Lakini sielewi kwa nini watu walipagawishwa....oh well....wanavuna walichopanda.
 
Safi, Geeque na wengine ambao mnaona kwamba awamu ya nne na kiongozi wake wamefeli kabisa naomba mniambie nani anaweza kuwa credible alternative? upinzani wa maneno ni rahisi (na una manufaa yake) lakini utendaji ni kitu tofauti. kweli kuna wawakilishi wa watu huko bungeni ambao wanafanya mambo lakini siamini kama kwenye utendaji wangeweza kuendelea na kasi ile ile. usisahau JK ni diplomat, anajua kwamba sometimes you need force, sometimes you need blah blah and sometimes you quietly take care of business.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom