S. S. Phares
JF-Expert Member
- Nov 27, 2006
- 2,138
- 82
au kuanza kuzaa watu wasioghushi!!
Haahaaa haaaa...............MKJJ, you have lost your mind.
au kuanza kuzaa watu wasioghushi!!
Kama Pass Mpya zinagushika ni hivi vitambulisho.
Tanzania tuna tatizo moja nalo ni kufanya kila kitu bila kufikiria miaka ijayo.
Mfano si mwaka 2005, walitoka na Permanent Voter Registration (PVR) na watu tayari wana vitambulisho vya kupigia kura?
Nadhani kitu cha kwanza cha kufanya ni kutoa Vyeti vya Kuzaliwa visivyogushika.
Mzee Mwanakijiji,
kama alivyosema Yebo Yebo, data base ni muhimu sana kati ya yote haya. Vitambulisho vya Canada vigumu sana kughushi kwa sababu vina ukanda ambao unatumika na vyombo vyote muhimu iwe Hospital, Polisi, ofisi za serikali na kadhalika na inasemekana record yako huwepo kila sehemu zinazohusika.
Kibaya sana US ni kwamba unaweza kupata kitambulisho halali ukiwa nyumbani yaani unamtuma mtu tu.
Kisha hapa kwetu wanao tengeneza vitambulisho ndio hao hao wanaomaliza yote na picha yako itawekwa papo kwa hapo sio kitambulisho kitengenezwe US na wakazi waombaji wapo Bongo. Hapa huoni kama mchezo ni rahisi zaidi?...
mashine ndogo sana kama ile Zebra P110i Printer inaweza kumaliza kazi zote, tena biashara hiyo mjomba jiandae kabla hujaenda Bongo. Nunua kamoja ukabamize! Wakikukamata sema nilikuwa naijaribu system kama kweli inafanya kazi. Heeee heeee heeee!
Mzee Mwanakijiji,
kama alivyosema Yebo Yebo, data base ni muhimu sana kati ya yote haya. Vitambulisho vya Canada vigumu sana kughushi kwa sababu vina ukanda ambao unatumika na vyombo vyote muhimu iwe Hospital, Polisi, ofisi za serikali na kadhalika na inasemekana record yako huwepo kila sehemu zinazohusika. Kibaya sana US ni kwamba unaweza kupata kitambulisho halali ukiwa nyumbani yaani unamtuma mtu tu.
Kisha hapa kwetu wanao tengeneza vitambulisho ndio hao hao wanaomaliza yote na picha yako itawekwa papo kwa hapo sio kitambulisho kitengenezwe US na wakazi waombaji wapo Bongo. Hapa huoni kama mchezo ni rahisi zaidi?...
mashine ndogo sana kama ile Zebra P110i Printer inaweza kumaliza kazi zote, tena biashara hiyo mjomba jiandae kabla hujaenda Bongo. Nunua kamoja ukabamize! Wakikukamata sema nilikuwa naijaribu system kama kweli inafanya kazi. Heeee heeee heeee!
Icadon, naona wewe unazungumzia Passport...
Kama Pass Mpya zinagushika ni hivi vitambulisho.
Tanzania tuna tatizo moja nalo ni kufanya kila kitu bila kufikiria miaka ijayo.
Mfano si mwaka 2005, walitoka na Permanent Voter Registration (PVR) na watu tayari wana vitambulisho vya kupigia kura?
Nadhani kitu cha kwanza cha kufanya ni kutoa Vyeti vya Kuzaliwa visivyogushika.
Hapa mnachanganya mambo, tatizo la Tanzania siyo kugushi, vyeti vya kuzaliwa, passport na taja chochote huwa ni halali kabisa. Tatizo letu ni namna vinavyopatikana. Ukiweza kuwaona wahusika kisha ukazama mfukoni unapata cheti/pass halali kabisa. Kuanza kufikiria kutengeneza vitu visivyogushika ni kukwepa tatizo lilopo mbele yetu. Kwa nini mtu ataka kitu cha kugushi wakati anaweza kupata original document?
tabasamu,
Sasa kama hatutaweza kuhakikisha kwamba vitambulisho hivyo haviwezi kutolewa vya kughushi nadhani tutakuwa na tatizo jingine huko mbele tuendako - 2010, kisha tutaanza kushikana mashati..
haya tunasubiri taarifa zaidi.
inamaana huyo alfa kapewa hiyo tenda kupitia
kampuni yake ama? kama ndivyo, hiyo kampuni ilianzishwa lini
na wakurugenzi wake wengine ni akina nani?