Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

Jamani leo hamuangalii Nigeria vs Bongo.. Hadi sasa ni 0-0 Bongo inashambuliwa kama mwizi uswahilini.
 
Huyu kipa wetu sijui Manula anaitwaje maana hawa wazungu hawajui kuyatamka majina yetu. Anachezea timu gani? Kipa anatusevu sana....
 
Nampa pongezi huyu Mzungu (Britain) kwa kujaribu kuyatamka majina yetu vizuri. Angekuwa Mmarekani angeyadedisha. Kati ya watu wasioweza kujifunza lugha nyingine duniani hasa za Kiafrika kwa ufanisi ni Wamarekani.
 
Mkuu unaangalia kupitia Chanel gani?? Kama Ni hii supersport 3 huyo sio Mzungu! Ni mnaijeria huyo!!
 
Mkuu unaangalia kupitia Chanel gani?? Kama Ni hii supersport 3 huyo sio Mzungu! Ni mnaijeria huyo!!

Naona anatangaza kupitia Beinsports sijui ni channel gani. Naangalizia online jamaa ana accent ya kibritish. Namsifu kwa kuyatamka majina yetu yanayoanza na "M" vyema eg "Msuva" maana huwa inakuwa vigumu hasa kwa mtu asiye mwafrika kumfundisha jinsi ya kuyatamka bila kuvunja mfupa wa ulimi.
 
Back
Top Bottom