Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,100
- 5,649
Ukiacha hivi vimashambulizi vya kuviziana viziana vya baina ya nchi ambazo hapo mwanzo zimewahi kuwa nchi moja kabla ya kamoja kujitenga.
Niko tayari kusahihishwa, lakini kumbukumbu zangu zinaonyesha kwamba hakuna nchi nyingine ambazo zimepata kuingia vitani katika namna ambayo kila mwananchi anawajibika kupigana kama ilivyotokea wakati wa vita kati ya Tanzania na Uganda.
Au la! tuviite vita kati ya Tanzania na Iddi Amini sababu kuna ushahidi kwamba Waganda hawakushiriki vita vile katika namna ambayo watanzania walishiriki au walihamasishwa kushiriki.
Mwenye kumbukumbu sahihi aniweke sawa.