Tanzania na Sheria: Rais Mwinyi Aliua Wengi Zaidi!

binafsi kama kada NISINGENYONGA HATA MMOJA, SERIOUSLY ! i just dont believe in such a thing as kuua ili kulinda sheria, wakati sheria hiyo hiyo imetengenezwa na mwanadamu ambaye ameumbwa na Mungu leo hii binadamu atoe kile Mungu alichompa binadamu kwa kuvunja alichotengeneza binadamu does not come up in my mind !
 
Wakuu ninawasikia wote, again swali langu lingine ni kwa nini under Mwinyi, walionyongwa ni wengi kuliko awamu zote, ina maana kipindi hicho ndicho ujambazi au uhalifu ulizidi mno, au ndicho kipindi sheria ilikuwa ikifuatwa kwa msumeno, au ulikuwa ni uzembe wa kutofuata sheria?

Na the fact kwamba under Mkapa, hakunyongwa mhalifu yoyote, I find it to be troubling kama ni kweli kuwa watu huhukumiwa kunyongwa all the time na hawanyongwi, sasa what is the good of our sheria? Na vipi gharama za kuwatunza waliohukumiwa vifo? I mean siungi mkono kifo kwa kifo kwa sababu I do not trust our legal system katika kupitia mchakato mzima wa kumfikisha mwananchi kwenye guilty ya uhalifu wa kuhukumiwa kunyongwa, our legal system is tooo corrupted, I know that,

lakini I must respect kuwa sheria ya kuwanyonga waliohukumiwa ipo tayari na kuna waliohukumiwa tayari, sasa kwa kutokuwanyonga na kuwaweka tu Isanga, exactly taifa lina-accomplish nini as far as the retribution process, ambayo ndio hasa nia na madhumuni ya sheria hiyo kuwepo anyways kwa ajili ya jamii?
 
1. 1961-1984 President Mwalimu Nyerere - Alinyonga wananchi 10.

2. 1985-1995 President Ali Hassan Mwinyi - alinyonga wananchi 72.

3. 1995-2005 President Ben Mkapa - Alinyonga wananchi 0.

4. 2005-2008 President Jakaya Kikwete - Amenyonga 0.

Mkuu, mnyongaji huwa anonymous kama sikosei. Labda tungetumia "aliidhinisha kunyongwa". Ni wazo tu hasa kutokana na uzito wa kitendo chenyewe.

Hukumu ya kifo inapaswa kuondolewa katika sheria zetu kwa sababu si ya kiutu. Viongozi wetu wanao utu, na ndio maana hawaidhinishi kwa kiwango chake utekelezaji wa hukumu hiyo.
 
Wakuu ninawasikia wote, again swali langu lingine ni kwa nini under Mwinyi, walionyongwa ni wengi kuliko awamu zote, ina maana kipindi hicho ndicho ujambazi au uhalifu ulizidi mno, au ndicho kipindi sheria ilikuwa ikifuatwa kwa msumeno, au ulikuwa ni uzembe wa kutofuata sheria?

Mimi nahisi huyu mzee alikuwa anatekeleza sheria, tofauti na hao wengine ambao inaonekana wanauma na kupuuliza. Coming to think again about this mzee, I think he was more serious than we have always thought of him! Huyu mzee inawezekana kaifanyia TZ mambo ya maana kuliko hao tunaowasifia kila kukicha!
 
Actually, hii sheria ya kuua tunatakiwa tuifute haraka sana, haina maana hata kidogo wala sio utanzania kabisa!

Kitila tunasema kuua kwa kunyongwa hadi kufa ifutwe lakini kua hili la Mafisadi kutuua pole pole hadi tufe unasemaje ? Maana ndiyo wanapamba moto kutuua Watanzania tufanyeje sasa ?
 
Kumbukumbu nilizonazo mimi ni kwamba Mwinyi alinyonga watu 89 na sio 72 mtu wangu.Magereza yanayohifadhi wafungwa wa kunyongwa ni mengi sana hapa TZ,na tatizo lililopo ni utekelezaji wa adhabu hiyo.
 
Kitila tunasema kuua kwa kunyongwa hadi kufa ifutwe lakini kua hili la Mafisadi kutuua pole pole hadi tufe unasemaje ? Maana ndiyo wanapamba moto kutuua Watanzania tufanyeje sasa ?

Very strong argument, mkuu heshima mbele!

Kumbukumbu nilizonazo mimi ni kwamba Mwinyi alinyonga watu 89 na sio 72 mtu wangu.Magereza yanayohifadhi wafungwa wa kunyongwa ni mengi sana hapa TZ,na tatizo lililopo ni utekelezaji wa adhabu hiyo.

Mkuu heshima mbele, kwenye namba sina ubishi mimi ninanukuuu namba iliyosemw ana waziri mdogo wa sheria bungeni akijibu swali la mbunge, sijui lolote waziri amesema ni watu 72 jumlisha 10 wa Mwaalimu, jumla 82, otherwise sijui zaidi na siwezi kukubishia.

Mimi nahisi huyu mzee alikuwa anatekeleza sheria, tofauti na hao wengine ambao inaonekana wanauma na kupuuliza. Coming to think again about this mzee, I think he was more serious than we have always thought of him! Huyu mzee inawezekana kaifanyia TZ mambo ya maana kuliko hao tunaowasifia kila kukicha!

It is something to think about, another strong argument kuwa huenda Mwinyi was the only serious president we ever had?
 
Kumbukumbu nilizonazo mimi ni kwamba Mwinyi alinyonga watu 89 na sio 72 mtu wangu.Magereza yanayohifadhi wafungwa wa kunyongwa ni mengi sana hapa TZ,na tatizo lililopo ni utekelezaji wa adhabu hiyo.
Naungana na wengi kuwa Mwinyi alikuwa serious na Ofisi kwani hata baada ya mauaji kule Shinyanga yeye aliwajibika jinsi ilivyotakiwa bila kulazimishwa. ninani leo anathubutu ya Mzee Ruksa???
 
1. 1961-1984 President Mwalimu Nyerere - Alinyonga wananchi 10.

2. 1985-1995 President Ali Hassan Mwinyi - alinyonga wananchi 72.

3. 1995-2005 President Ben Mkapa - Alinyonga wananchi 0.

4. 2005-2008 President Jakaya Kikwete - Amenyonga 0.

Mkuu, mnyongaji huwa anonymous kama sikosei. Labda tungetumia "aliidhinisha kunyongwa". Ni wazo tu hasa kutokana na uzito wa kitendo chenyewe.

Hukumu ya kifo inapaswa kuondolewa katika sheria zetu kwa sababu si ya kiutu. Viongozi wetu wanao utu, na ndio maana hawaidhinishi kwa kiwango chake utekelezaji wa hukumu hiyo.

Sasa tuamini lipi kwenye hizi statistics!

Records collected by the LHRC show that since independence in 1961, 238 people (232 men and 6 women) were executed after being convicted of murder. The number of executions between 1961 and 1995 amounted to 9.3 per cent of death row prisoners who were hanged
Source: http://www.handsoffcain.info/bancadati/schedastato.php?idcontinente=25&nome=tanzania
 
Takribani watu 30 waliokutwa na hatia ya mauaji ya albino watanyongwa kwa mujibu wa sheria, Waziri wa Sheria Mwakyembe asema leo kupitia TBC.
 
Hapa kuna utata mkubwa. Wakati Nyerere anaondoka mwaka 1985 alipata nafasi ya kuzungumza katika hotuba yake ya kuagana, nadhani alikuwa na maafisa wa Magereza.

Alisema kati ya mambo magumu ambayo Rais anaweza kufanya na yamo ndani ya wajibu wake ni kutoa uamuzi wa kutekeleza hukumu ya kunyongwa.

Akasema kuwa ndani ya miaka yake zaidi ya 20 kama Rais aliruhusu watu wawili tu wanyongwe. Kuna yule aliyemuua Dr. Kleruu na mtu mwingine (sikumbuki jina lake mara moja).

Sasa leo tunaambiwa watu kumi walinyongwa wakati wa utawala wa Mwalimu, kuna mtu anatakiwa kutuambia ni kina nani hao na kwa makosa gani? Yawezekana tukapata majibu ya kina Kassim Hanga...
Wewe unanichekesha unauliza walinyongwa kwa makosa gani kwani ili mtu a qualify kunyongwa anatakiwa awe na kosa gani mkuu???
 
wengi walihukumiwa kunyongwa. Sasa sina uhakika kama wanaohukumiwa katika mahakama za kijeshi (kama aliyemuua mjomba wangu) hukumu zao za kunyongwa nazo ni lazima zipate baraka za Rais (theoretically yes) au ndiyo jeshi likisema unanyongwa ndiyo unanyongwa?
Pole sana ,kumbe uncle yalimkuta
 
Vipi kuhusu Magu? Nahisi wale wote waliokuwa wakisubiri saini atakuwa kesha saini maana huyu huwa harembi yeye ni kazi tu
 
Data zinatia shaka.Kama kuna majina yatajwe.Kuna mtu mwingine mbali na Kassim Hanga kwa jina Othman Shariff ambaye alikuwa mjumbe wetu UN.
Mkuu, Kassim Hanga ni nani na alifanya nini? Na huyo Othman Shariff ni nani na alifanya nini?
 
No. siyo Kassim Hanga. Kuna yule Mzungu mmoja alimuweka mkewe kwenye gari halafu akaisukuma kwenye milima huko kusini na mkewe akafa na yule bwana akadanganya kuwa kapata ajali na akaenda kudai Insurence akalipwa pesa nyingi sana.Nasikia Mwalimu aliita mpaka Scotland Yard kufanya uchunguzi na yule mzungu alibainika na alinyongwa.Ni wakati tu tumepata Uhuru. Je, mpo hapo? Kwa hiyo Mwalimu alisaini watu wawili tu wanyongwe na siyo kumi.Mafisadi wanampakazia bwana.au watupe orodha ya hawo kumi basi.
Huyo mke wa mzungu alikuwa race ipi?
 
Back
Top Bottom