Tanzania na presha ya job seeker?

herrypeter1

JF-Expert Member
Jan 17, 2009
223
29
Nimekuwa mfatialiji mzuri wa kujua wapi tunaeleke Tanzania na watu wake
cha kushangaza ni Hao watu waliojuu, waziri mmoja mkubwa sana aliulizwa
swala la vijana kukosa ajira na kuunza kusema marekani, uingeraza vijana awana
ajira kwa mtu ambaye unafikiri ili ni jibu la kusikitisha sana tena sana, na inaonyesha
jinsi gani viongozi wetu wanavyokaa tuu uko maofisini
maswali muhimu ya kujiuliza kutokana na jibu ilo ni----
Viongozi wetu wanaendesha nchi kutokana na presha ya ulaya?
Viongozi wetu si watu wa kufikiri ni watu wa kupokea tuu mawazo?
inaonyesha akuna kiongozi ambaye yuko tayari kwa ushauri?
Ni mengi unaweza kugundua juu ya aya yanayotokea ni kutokana
na kugeza mipango ya ulaya ambayo wanafanya,

Napata wasiwasi ata na wizara ya mipango na utafiti Tanzania kama inafanya kazi
HUU SI WAKATI WA KUCOPY PASTE KAZI,PROJECT, MIPANGO WANAYOFANYA WATU
NA KUAMISHA KWA WATANZANIA
NI WAKATI WA KUSEMA INATOSHA NA KUFANYA YA KWETU.

POLENI WOTE WATANZANIA MNAONGAIKIA AJIRI KWA KUSIKIA
NA WALA SI KUFANYA KAZI
 
Wenyewe wana ajira wamekalia viti vya kuzunguuka. Tusio na ajira ndio tupekeche akili nini cha kufanya. Ukitegemea waziri wa kazi au kiongozi atatue tatizo utaishia kusikia pumba zao tu za kila siku.
 
Mbona miundombinu na demokrasia hawaifananishi? Ulaya maji na umeme 24hrs. Au wanachojuwa wao ni kujibu utombo na upumbavu kama akili zao zilivyo?
 
Back
Top Bottom