Tanzania na Misaada: Tujadili hili...

Inawezekana kabisa iwapo tuta weza kuwa na siasa safi, uongozi thabiti, wananchi walioelimika, kufufua viwanda vyetu, kuwa na mikataba yenye tija kwa taifa, kuongeza fulsa za ajira kwa vijana, kutokomeza rushwa ujinga na magonjwa,kuwapa vipaumbele wawekezaji wazalendo, kuondoa ukilitimba wa kuwaajili wageni hata kwa nafasi ambazo wananchi wetu wanauwezo nazo, kupeleka wataalum wetu nje kuongeza elimu,ku....ku...ku...ku....
 
Kulinganisha na mabadiliko ya msumbiji na nchi nyingine ni sawa kabisa kwanini watoke chini halafu watupite hii inaonesha kwamba tuliowapa kutusimamia wameoza akili.
 
Tanzania tunaweza kujiendesha iwapo tutaiondoa CCM madarakani.

Uelewa wako wa uchumi ni mdogo sana, unachofahamu ni siasa uchwara. Ndo nyinyi mnadhani mabadiliko ya mtizamo, utendaji na uchumi unaweza kutokeea katika siku moja au masaa. Usijidanganye na usiwadangaje mbumbumbu wenzako. Mabadiliko ya uchumi ni mchakato endelevu na hata sasa unaendelea kwani miaka ya 1980 utegemezi ulikuwa almost 100% sasa uko chini ya 30% Hata ikija CDM it will take time with proper allocation of resources.
 
mkuu..kwenye red hapo. Big up...
Hilo ndilo somo lililozitoa gizani nchi zote zilizoendelea... Umeitendea haki mada hii.. Jah bless u..
sio umasikini tu woga ni ufu.na sasa kidogokidogo unaanza utaratibu wa kuwashughulikia wachache wanaojitahidi kuutafuta usawa japo siujui msimamo wako juu ya swala la ulimboka.woga ni umasikini na umasikini ni umauti.
 
Mkuu.. Kuwa mkweli...
Kwa nchi yenye Raslimali nyingi kama TZ haiwezi kuwa na subira ya Makumi ya miaka kupata maendeleo au kuondokana na UTEGEMEZI..
WHY!!
Pale KARAKANA TAZARA, kuna mitambo iwezayo kuchonga aina yeyote ya Vipuri,lakini serikali inachemka kuitumia ipasavyo,inatumia Pesa ovyo kwa kuagiza nje...
Mfano..Msumbiji Tumewazidi mnoo kwa raslimali,Kuanzia Watu na Mali asili pia, Lakini wamepunguza utegemezi kwa 70% Ktk Bajeti yao..Tambua kua Msumbiji wana KINU kifuacho umeme ambao SA wanautegemea..
Iweje sisi tukose UMEME wa Uhakika wakati tunavyo vyanzo vikuu vya Nishati Ya Umeme? GASI,MAKAA YA MAWE kibao tunayo tatizi nini hapo?
Uelewa wako wa uchumi ni mdogo sana, unachofahamu ni siasa uchwara. Ndo nyinyi mnadhani mabadiliko ya mtizamo, utendaji na uchumi unaweza kutokeea katika siku moja au masaa. Usijidanganye na usiwadangaje mbumbumbu wenzako. Mabadiliko ya uchumi ni mchakato endelevu na hata sasa unaendelea kwani miaka ya 1980 utegemezi ulikuwa almost 100% sasa uko chini ya 30% Hata ikija CDM it will take time with proper allocation of resources.
 
civil war iwe silaha ya mwisho.
Sasa hivi tuanze na wanaoihujumu nchi yetu. Tukimuona fisadi au muhujumu amekaa kihasarahasara iwe bar au popote, tunapiga kipigo cha mwizi tunamaliza, hii itawatia adabu. Nadhani nchi yetu ikiongozwa kwa nidhamu tutaweza kujitegemea kwa at least 60%
ndio tuwawinde kama swala wao na watoto wao maana wameanza utaratibu wa kuwekana kwenye system tunaweza pia kutumia magari makubwa kuparamia mashangingi yao.hata kwa kuwadungu mishale kwa mbali.tukithubutu tutaweza.
 
Mmmmh, Mkuu Hiyo njia mbadala kiboko...
ndio tuwawinde kama swala wao na watoto wao maana wameanza utaratibu wa kuwekana kwenye system tunaweza pia kutumia magari makubwa kuparamia mashangingi yao.hata kwa kuwadungu mishale kwa mbali.tukithubutu tutaweza.
 
uelewa wako wa uchumi ni mdogo sana, unachofahamu ni siasa uchwara. ndo nyinyi mnadhani mabadiliko ya mtizamo, utendaji na uchumi unaweza kutokeea katika siku moja au masaa. Usijidanganye na usiwadangaje mbumbumbu wenzako. mabadiliko ya uchumi ni mchakato endelevu na hata sasa unaendelea kwani miaka ya 1980 utegemezi ulikuwa almost 100% sasa uko chini ya 30% hata ikija cdm it will take time with proper allocation of resources.
tatizo ni kwamba tunazidi kudidimia hata kama inachukua muda mrefu.ni lazima tuwaondoe ili tuongeze spidi pale walipokwama,na hii sio lazima cdm hii ni kwa wote wenye mapenzi mema na hii nchi.halafu lengo langu sio tu kuiondoa ccm ila ni kujenga utaratibu wa kubadili pale watu wanapoonekana wameshindwa.tofauti na sasa watu wanashindwa halafu sisi tunaishia kunung'.unika
 
Those who take risk are likely to succeed but only calculated risk. Don't gamble blindly expecting to win easily.
 
Mtoa mada amezingatia 'Utegemezi'...mfano bajeti yetu more or less 40% inatoka kwa wahisani. Hao wamerekani na nchi nyingine zilizoendelea wanajitosheleza na bajeti zao.

Nani kakwambia Marekani wanajitosheleza na bajeti zao?

KWa taarifa tu ni kwamba wamarekani wanatumia pesa nyingi kuliko wanazokusanya na wenyewe wanazungumzia kupunguza deficit ambayo mara ya mwisho kipindi cha Clinton ndio mahesabu yao mapato na matumizi yali balance.
 
lol! unawaiga? kwa taarifa yako mikopo ya nchi kama marekani sio kama unavyoielea wewe, sio kama ya JK kwenda nje na kuomba pesa! serikali ya marekani haidaiwi, ni makampuni binafsi yanayokopa kwenye mabenki around the world kwa ajili ya bussiness project zao kwa sababu wako global, ila kwa sababu makampuni ni ya kimarekani basi inaeleweka kuwa ni denila marekani! Sio kwamba Obama kaenda kuomba pesa ili serikali yake iweze kujenga barabara!
Nchi kama Russia mbona haina deni kabisaaaaa????????????

Braza kaka nchi kama Marekani inaaminika sana duniani ndio maana mwaka jana Standards and Poors walipowashusha credit ratings kutoka AAA wakamaindi sana unadhani kwanini?

Marekani ina issue Treasury bills na Tanzania hivyo hivyo wenzetu wale wana issue bonds kupitia Federal Reserve ila tofauti yake wao wenzetu wanaaminika ndio maana Wachina na dunia nzima wanakimbilia kununua wanawekeza pale hii ni mikopo nayo kama mikopo mingine. Ukiangalia amount hamna nchi yenye deni kubwa kama Marekani ukitajiwa unaweza kustuka sana! sema sisi tupo kwenye Highly Indebted Poor Countries (HIPC) kwakuwa GDP yetu ikilinganishwa na deni ratio inakuwa kubwa sana.

Kwahiyo habari za kusema makampuni ya kimarekani hizo ni porojo serikali ya marekani na yenyewe inakopa kwa wananchi wake na nje na kwa sasa wachina ndio wanashika deni kubwa la marekani kwakuwa USD zote anazopata China kwenye biashara lazima aka Invest Marekani kwa kununua deni la US.
 
Ki ukweli, Tanzania tunahitaji miaka 50 ili kujiendesha wenyewe bila misaada!
Kuhusu mikopo, hata USA wanakopa, hivyo Tanzania sidhani kama tunaweza kukwepa kukopa!

Nikirudi kwenye misaada, kutokana na mfumo tulioachiwa na wakoloni (ukoloni mambo leo) ni vigumu sisi kusimama peke yetu kwa kipindi hiki, wengine watadai kuwa tuna resources nyingi ambazo zikitumika vizuri tunaweza kujiendesha bila kutegemea misaada, lakini swali la kujiuliza ni je, vifaa, teknolojia na ujuzi wa kuvuna na kutumia hizo resources tunao?

Jibu ni HAPANA, na ili tuwe na huo uwezo naamini tutahitaji miaka 50! Hii haijalishi ni chama gani kipo madarakani, iwe CCM, CHADEMA, CUF, NCCR MAGEUZI, au hata tukikodisha chama cha siasa kutoka nje. etc.

Kitu cha ajabu ni kuwa hata South Africa naye anategemea msaada japo ni kwa asilimia kidogo ukilinganisha na Tanzania!

Unafikri kizee sana, na utakuwa unafanya kazi serikalini mnako imba nyimbo za kila kitu impossible, kila kitu mnaita consultant, kila kitu tunasubiri fungu, kupata pesa ni mpaka upate safari.
Akili zimeganda kabisa, general enterprising tendencies=zero
 
Una uhakika kuwa kila nchi duniani inakopa, au umejazwa ujinga na kuaminishwa upumbavu na Magamba? Halafu, kama Uingereza wanaruhusu ushoga, na sisi Tz lazima tuwe hivyo?
Mbona umekurupuka sana kujibu hivyo! Kwani unagombana hapa?
 
Mkuu ... Umenigusa!!! Nilishawahi uliza hapa JF CHUONI kua Hivi Wavuta Fegi na Wanywaji Pombe wakikacha Itakuaje?
Tuna huwezo kabisa wakujitegemea bila kuomba misaada kwani tuna rasilimali za kutosha kama

: ardhi: ambozo tungeweza kuzalisha chakula cha kutosha na kuuza nje ya nchi

:Migodi: tuna migodi mingi ambayo inatoa madini tofauti, hasa tanzanite ambayo ina patikana tanzania tu, hii ingekuwa ikiongoza kuliingizia pato taifa.

Sekta ya madini ni sababu tosha ya kuto tembeza bakuli kama tuki hamua kufanya usimamizi wa hii sekta, nchi nyingi zinategemea madini kama kipato.

; Utalii nao kama ukipata usimamizi wa kutosha na kuachana na ubinafsi ni sekta ambayo ingekuwa ina liingizia taifa pesa nyingi za kigeni.Tatizo watu wachache ndio wananufaika na hii sekta!

Watanzania tunadharirika sana, kwa viongozi wetu kutembeza bakuli wakati nchi ina rasilimali za kutosha.

Jana niliona kibonzo cha masoud kipanya kikimuonesha jamaa ana omba msaada huku amekalia kigoda cha dhahabu, yule mzungu akampa msaada alaf akaanza kujiuliza huyu jamaa anaombaje msaada wakati amekalia kigoda cha dhahabu? Hlli lilikuwa dongo kwa viongozi wetu wasio jua kutumia rasilimali tulizo nazo.

Ni haibu sana nchi kama tanzania kutegemea pombe na sigara kama ndio chanzo kikuu cha mapato!

"Tanzania bila kutembeza bakuli ina wezekana"
 
KIla nchi duniani ina mikopo. Kwa kifupi hatuwezi kujiendesha bila mikopo kwakuwa hata Marekani na China wana mikopo.
sikutaka nichangie lakini imebidi kwasababu wazo lako hilo ni baya sijawahi kuona. kwamba hatuwezi kujiendesha bila mikopo eti kwasababu Marekani na china wanakopa!!! kwa taarifa yako china hawadaiwi na nchi yoyote, UJERUMANI PIA hawadiwi na nchi yoyote duniani. SISI TUNASHINDWA KUJIENDESHA KWANZA KWASABABU TUMEPANUA NA KUONGEZA TAASISI ZA SERIKALI KULIKO TUNAVYO WEZA KUHIMLI. Mfano taasisi kama TAKUKURU NA POLISI wanafanyakazi zinazofanana hatukuwa na sababu ya kuanzisha takukuru!
Pili, uwezo wa kukusanya kodi na kubuni vyanzo vingine vya kodi ni mdogo.population ya TANZANIA imefikia watu mil 45 lakini vyanzo vya kodi vimebaki vilevile kwa zaidi ya miaka 40.hakuna ubunifu!!! ni lazima watanzania tubanane tusioneane huruma kodi kila mtu lazima alipe kwa kadri anavyozalisha na kutumia huduma mbalimbali.
Tatu, matumizi mabaya ya fedha za serikali. ni lazima tuwe na dhamira ya kweli ya kutumia fedha za umma kwa malengo yaliyokusudiwa na manunuzi yoyote yawe na thamani halisi ya fedha iliyotumika.Yeyote anayethibitika kutumia vibaya fedha za umma lazima akumbane na adhabu kali ikiwamo kufilisiwa.
Nne, usimamizi mbaya wa rasilimali za Nchi kupitia mikataba mibovu na isiyo na tija kwa nchi. Kama unakubali kuruhusu madini yachimbwe na Nchi ipate asilimia 3 tu kutoka kwenye madini hayo maana yake ni kwamba wewe ni mjinga ambaye huna lengo la kujinasua kutoka kwenye umasikini !!! Ni kama unasema hivi, UNAMKODISHA MTU SHAMBA LAKO ZURI SANA NA LENYE RUTUBA MKATABA UNAKUWA ATAKAYE LIMA AKIVUNA AKUPE ASLIMIA 3TU YA MAVUNO YAKE.AKIPATA MAGUNI 100 WEWE AKUPE MAGUNIA 3 TU!!!! HAKUNA NCHI YOYOTE YA ULAYA INAYOWEZA KUKUPA MKATABA WA AINA HIYO kifupi ni kwamba hatuangalii masilahi mapana ya NCHI badala yake kila mtu anaangalia mambo yake tu.
mwisho, kwa maoni yangu tunaweza tukajitegemea bila msaada au mkopo wowote kama tukijpanga na kutumia vizuri BANDARI ZETU,MISITU YETU,MBUGA ZA WANYAMA, MADINI,TUKAKAMUA KODI MAKAMPUNI KAMA VODACOM,TIGO,AIRTEL,HOTEL KUBWA ZOOOTE,NA KUWEKEZA KATIKA UZALISHAJI WA MAZAO BORA YA KILIMO NA BIDHAA ZA VIWANDANI.
 
Weeel Mkuu... Usingeitendea haki Mada hii bila kuweka neno hapa...
Wewe ni moja kati ya waliolengwa kuweka mawazoyao ili kwa pamoja tujadili Kuhusu HUU UTEGEMEZI.. TUNAWEZA KUUTOKOMEZA AU NI JANGA LA MILELE?

Back
Top Bottom