Tanzania na Maendeleo ya Wajinga - What did Nyerere do?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
Illiteracy back in full force - govt (Guardian)

2009-04-24
By Erick Kabendera

In a sad reversal, Tanzania is now among countries with the highest illiteracy rates in Sub-Saharan Africa, with one in every three of its people not able to read and write.

The finding comes as the world celebrates the Global Week of Action On Education for All (Efa), which focuses on youth and adult literacy and life-long learning to raise awareness about the global literacy challenge.

The acting director for Adult Education at the Ministry of Education and Vocational Training, Salum Mnjagila said in an interview the level of illiteracy has more than tripled from 9.6 per cent in 1986 to 31 per cent last year.

The campaigns in 1970s were highly successful and saw the country achieve literacy rates of up to 90 per cent.

He said Scandinavian countries which then funded adult literacy programmes in Tanzania faced economic problems in the 1990s and withdrew their support, causing a gradual reversal of the trend,
because the government could not support the programmes.

``I think the government didn`t have the money to inject into such programmes and that is when things started getting bad,`` said Mnjagila.

Goal number four of Efa calls for a certain level of improvement in adult literacy by 2015 and that it should be 50 per cent better than it was in 2000.

If the trend continues, Tanzania could be one of the countries which will not meet the 2015 deadline of reducing adult illiteracy.

The goals were agreed on in 2000 at the World Education Forum in Dakar, Senegal, with Tanzania being one of the 164 countries which endorsed and signed the goals.

Mnjagila said the national education sector budget priority has been for primary and secondary education despite the fact that adult education and life long learning are included in the National Strategy for Growth and Reduction of Poverty (Mkukuta).

``About 40 per cent of children on average don`t continue with education despite doing well in their examinations

In Dar es Salaam, students who even score 100 per cent of pass marks in their primary education don't go to secondary school.

As a result, an estimated total of four million adults are also still locked out of basic education,`` he said.

Mnjagila said the government has set up a five-year Adult and Non formal Education Strategy (ANFES), which in collaboration with the Civil Society, seeks to help adults, youth and children have access to quality basic learning opportunities.

Nderikyo Elizabeth Ligate, who is an adult education advocate and member of Tanzania Education Network (TENMET), an umbrella organization for education civil society organisations, voiced concern over what she termed ``government`s uncoordinated efforts`` to increase the level of literacy in the country.

Ligate said in a separate interview that in the 1970s literacy campaign, many adult education aspects were linked, but now small projects are being introduced rather than long term plans.

``The National Service and teachers' colleges were all put on board to eradicate adult and youth illiteracy, but what we are seeing is different now,`` Ligate said.

She said the government had no comprehensive plans and budget allocation to implement adult education.

``The government should also strengthen the system so that dishonest civil servants who steal money meant for education are dealt with,`` said Ligate.

However, Mnjagila said the government has noticed the inadequacy of budgets for adult education and was moving quickly to address the issue.

``The government recently re-introduced the department of Adult Education at the Ministry of Education and Vocational Training, which is a positive sign as it will start getting its own budget soon,`` he said.

When Primary Education Development Programme (PEDP) started in 2001, Mnjagila said the expectation was the number of dropouts would decrease, but currently an estimated 1.5 million children are locked out of basic education.

Mnjagila said rapid population growth, nomadic societies and some tribes` perception that education was a waste of time are some of the factors causing the drop in the literacy level.

Ligate said it is difficult to monitor accurately the current adult and youth education programmes because of lack of plans and the unwillingness of policy-makers to set in place sound policies.

According to the United Nations Educational, Scientific and Cultural Organisation (Unesco), in every country of the world, the use of reading and writing is part of life because governments require written documents throughout life.

It further says that it was vital that everyone is able to take part in these circles of written communication.

The organization estimates that over 800 million adults - over 15 years of age - still have not had the chance to acquire literacy, and two thirds of them are women.

Such people, it says, are therefore excluded from reading what is important to them or writing what they want to express.

``Yet the progress is still far too slow: at current rates the education goals will not be met in the next 100 years, let alone by 2015,`` Unesco says.

Hellen Binagi, Education Programme Coordinator at Oxfam GB in Tanzania, said it was important for the country to act on Efa because it committed itself at the global level.

She said the government wants to tell the world that it was doing enough on adult education but education advocates believe that there are still gaps.

Adult and youth education are sidelined and there is need for government and other partners to act hastily, said Binagi in a separate interview.

``It`s for all of us as actors for education and development to work together and eradicate illiteracy,`` said Binagi.

Mnjagila however said education was crucial to tackling poverty, adding that the level of illiteracy was increasing together with the level of poverty.

``Learning basic life and literacy skills will help reduce poverty. People who know how to read and write can earn more money and support their families,`` said Mnjagila.

The Global Action Week is coordinated by the Global Campaign for Education, which exist to ensure that governments and institutions keep their promises and that Education for All really is achieved. In Tanzania, the official celebration of the week will be held at Karimjee Grounds tomorrow.

My Thoughts:
Something is simply wrong! Tuna TVs kibao, tuna vyuo kibao, mashule mengi, barabara bora, internet n.k and then we have ujinga kila kona what the heck is wrong? Kama Nyerere na Ujamaa aliweza kuifikisha nchi kwenye asilimia 90 what is wrong with these people today? Kisingizio cha ufadhili hakiwezi kusimama kwa sababu hakuna wakati ambapo Tanzania imekuwa mpenzi wwa wafadhili kama hivi sasa! Tunapokea misaada ya kila aina hadi mingine tunaitafutia mahali pa kuichomeka!
 
Huu ni uthibitisho mwingine kwamba walioingia madarakani kuanzia awamu ya pili hadi ya nne wamezembea na kuachia mafanikio makubwa yaliyopatikana wakati wa Nyerere kwa kujua kusoma na kuandika kupitia elimu ya watu wazima yapotee bure sasa hivi tumerudi nyuma zaidi kuliko hata tulipokuwa 1970.
 
Son:

Unaboronga hapa. Jibu ni lilelile sahihi. Elimu ilikuwa kwa kutumia misaada. Na wahisani walipobadilisha sera zao, tumejamba.

Ilikuwa ni mipango ambayo haiko-sustained na rasimali zetu wenyewe (period, koniec, end of story).

Z10
 
sasa ilikuwaje Nyerere aliweza kuwashawishi wafadhili au wafadhili kushawishika na sera za nyerere kuhusu "kufuta ujinga" kiasi kwamba walioko madarakani leo hii wameshindwa kufanya hivyo?
 
Huu ni uthibitisho mwingine mkubwa kuwa watu wanaingia madarakani lakini hawajui nini wanatakiwa kufanya kulipeleka Taifa mbele. Kama trend ya ujinga inaongezeka huo umaskini tutaupigaje vita? Tumekosa vipaumbele kama Taifa...tumekimbilia mambo yasiyo yetu kwa utaratibu wa kuyaazima huku tukiwa tumesahau chakuazima hakiwezi kusitiri mwili.
Mwalimu alijua fika bila elimu nzuri Taifa haliwezi kupiga hatua za kimaendeleo.Tujiulize tena na tena wapi tumekosea na tujisahihishe.Kitu kibaya ni kama tumeamua kuacha mambo yaende hivi yanavyoenda. Tutapata hasara zaidi mana upepo wa mabadiliko utakuja kama thunami na kutukuta hatujajiandaa
 
Nyerere alikuwa hawapigii magoti ili kuomba misaada na walimpatia leo hii tumejinyenyekeza kwao na kutoa raslimali zetu karibu na bure bado wanatugomea kutupatia misaada itakaobadilisha maisha yetu sanasana wanazidi kutuwekea masharti magumu zaidi
 
Hoja yangu hapa ni deeper; kama kwenye taifa ambalo ujinga umeongezeka lakini linajiona tajiri ja yawezekana Nyerere hakufanya sahihi kufuta ujinga na watu wakawa maskini? Je watu wenye hela mifukoni, Tv, magari, mitumba, internet n.k lakini hawana elimu ya kujua kusoma na kuandika, wanaona umuhimu gani wa kuwa na elimu?

Kama kujua kusoma na kuandika kulituacha tuwe na umaskini chini ya Nyerere, kutokujua kwetu kusoma chini ya kina Mkapa, Mwinyi na sasa JK kunatuletea "utajiri" kuna umuhimu gani wa kujua kusoma?

Yawezekana ndiyo sababu baadhi ya wizi unatokea wakati huu zaidi kuliko wakati wa Mwalimu?
 
sasa ilikuwaje Nyerere aliweza kuwashawishi wafadhili au wafadhili kushawishika na sera za nyerere kuhusu "kufuta ujinga" kiasi kwamba walioko madarakani leo hii wameshindwa kufanya hivyo?

Misaada inayokuja sio Blank Checks. Ina masharti yake na nia zake. Mada hii nitakuwa nairudiarudia.

Lakini cha kukumbuka ni kuwa baada ya vita vya pili vya dunia na mafanikio ya Marshall plan kusaidia nchi za Ulaya, baadhi ya watu walifikiri kuwa wakitoa sehemu ndogo za mapato yao kusaidia nchi masikini, basi nchi masikini baada ya muda fulani zitaweza kuendelea.

Hivyo misaada iliyotolewa mwanzo ililenga elimu, afya na huduma za maji. Na mafanikio ya misaada hii yalionekana kwenye ongezeko la watu wanaojua kusoma na vilevile upungufu wa vifo.

Pamoja na mafanikio hayo, misaada ilishindwa kutimiza lengo kubwa la wahisani ambalo lilikuwa ECONOMIC GROWTH.

Kitu kingine cha kukumbuka ni kuwa wahisani wetu ni nchi za Scandinavia. Nchi hizi zilikuwa zinafanya biashara kubwa na Soviet Union. Kuvunjika kwa Soviet Union kulifanya nchi hizi ziyumbe kiuchumi. Kuyumba kwao kiuchumi kulipunguza misaada inayokuja kwetu.

Kinachooneka ni kuwa tunataka kusaidiwa hata kama wahisani wako kwenye hali mbaya.
 
Nyerere alikuwa hawapigii magoti ili kuomba misaada na walimpatia leo hii tumejinyenyekeza kwao na kutoa raslimali zetu karibu na bure bado wanatugomea kutupatia misaada itakaobadilisha maisha yetu sanasana wanazidi kutuwekea masharti magumu zaidi

Kipindi cha Nyerere. Viongozi wa nchi masikini walikuwa hawana haja kupiga magoti. Nchi zilizoendelea zilitumia misaada kupata washirika katika dunia ya tatu (cold war effect).

Tunaishi katika dunia nyingine sasa.
 
Kinachooneka ni kuwa tunataka kusaidiwa hata kama wahisani wako kwenye hali mbaya.

duh maelezo yako yamekaribia fiction. Hivi unajua pamoja na hayo yote uliyoyasema ni kiasi gani cha misaada Tanzania imepokea? Je unajua ni mlingano gani wa misaada wakati wa vita baridi na sasa (ipi ilikuwa ni mingi?). Unataka tuamini kuwa baada ya vita baridi misaada ya nchi rafiki ndiyo ilipungua na punguzo hilo linaonekana katika kuongezeka ujinga?

Tafuta sababu nyingine.
 
Hoja yangu hapa ni deeper; kama kwenye taifa ambalo ujinga umeongezeka lakini linajiona tajiri ja yawezekana Nyerere hakufanya sahihi kufuta ujinga na watu wakawa maskini? Je watu wenye hela mifukoni, Tv, magari, mitumba, internet n.k lakini hawana elimu ya kujua kusoma na kuandika, wanaona umuhimu gani wa kuwa na elimu?

Kama kujua kusoma na kuandika kulituacha tuwe na umaskini chini ya Nyerere, kutokujua kwetu kusoma chini ya kina Mkapa, Mwinyi na sasa JK kunatuletea "utajiri" kuna umuhimu gani wa kujua kusoma?

Yawezekana ndiyo sababu baadhi ya wizi unatokea wakati huu zaidi kuliko wakati wa Mwalimu?

Mwanakijiji:

Watu wengi hawakujua kusoma na kuandika lakini hawakuwa wajinga. Kutokana na kutojua kusoma kwetu tulikuwa wa ORAL TRADITIONS. Na inasemekana watu wa oral traditions walikuwa na formidable memory.

Mfugaji wa ng'ombe hakuweza kuhesabu ng'ombe zake. Lakini aliwakumbuka wote kwa kuwapa majina na rangi zao.

Hivyo ujinga mwingine tulionao ni sisi kukubali kuitwa wajinga na kujaribu kutumia weakness zetu kupambana na umasikini.
 
hapa ninaposema ujinga siyo suala la kujua jambo fulani; bali illiteracy yaani kutokujua kusoma na kuandika. Katika ulimwengu wa leo kutokujua kusoma na kuandika kunakunyima mambo mengi sana. Kwanini wakati wa Mwalimu tuliweeza kufikia 90% ya watu wetu kujua kusoma na kuandika lakini leo tuko kwenye 69%? Huwezi kulielezea hili kwa sababu ya misaada kwani ukilinganisha utaona kuwa tumepokea misaada mingi zaidi ndani ya miaka hii 10 iliyopita kuliko wakati wowote wa historia yetu.

So, ni kitu gani kina Mwinyi, Mkapa na Kikwete wanakikosea ambacho Nyerere alikifanya sahii kwenye kufuta ujinga?
 
Nyerere hakuacha kitu kinachojitegemea. Kwanini utoe lawama kwa waliomfuata?
 
Nyerere hakuacha kitu kinachojitegemea. Kwanini utoe lawama kwa waliomfuata?

kwa sababu na wao wana kitu kinachoitwa ubongo! Miaka 20 baadaye bado wanafikiria alichoacha Nyerere, kwani aliwaambia anawaachia urithi? Yaani hawa wanashindwa kuanzisha cha kwao wao wenyewe au unataka Nyerere angewaachia kila kitu kwenye maandishi ya nini cha kufanya.

Tafuta lawama kwingine hii ya kwa Nyerere imepitwa na wakati. Unless tulionao ni maroboti wanaoongozwa na mtandao kutoka kaburini.
 
'Blame Nyerere for everything' syndrome....
 
Sijatoa lawama kwa Nyerere. Soma posti zangu. Katika kipindi cha Nyerere, nadharia ya wahisani ilikuwa ni kusaidia elimu, afya na maji hili kukuza uchumi.

Mafanikio kwenye afya, elimu yalionekana lakini uchumi haukukua. Hivyo hatukuweza ku-sustain huduma za jamii.

1985 wakati anang'atuka tayari stats za elimu zishaanza kuporomoka. Literacy rate ya 90% ilifikiwa mwishoni mwa 70. Na 1985 ilikuwa kwenye 75%.

Na kwa bahati nzuri kuna kipande ippmedai kinaonyesha uhusiano wa misaada na elimu.

Illiteracy back in full force - govt
 
'Blame Nyerere for everything' syndrome....

NN:

Sio ku-blame Nyerere. Nyerere alikuwa ni Pioneer. Na kama Pioneer, likehood ya programs za ku-fail ilikuwa kubwa.

Na sehemu kubwa ya failure ilikuwa ni kutegemea misaada.
 
Mwanakijiji:

Sijatoa lawama kwa Nyerere. Soma posti zangu.

Kumbukumbu:

Nyerere hakuacha kitu kinachojitegemea. Kwanini utoe lawama kwa waliomfuata?

Sasa sijui hicho nikiite nini. Kimsingi umesema wasilaumiwe waliomfuata bali Nyerere kwa vile "hakuacha kitu kinachojitegemea"!

Katika kipindi cha Nyerere, nadharia ya wahisani ilikuwa ni kusaidia elimu, afya na maji hili kukuza uchumi.

Hii nadharia wahisani waliicha lini? Ni lini wahisani walibadili mipango ya kusaidia elimu, afya na maji?

Mafanikio kwenye afya, elimu yalionekana lakini uchumi haukukua. Hivyo hatukuweza ku-sustain huduma za jamii.

Ina maana Nyerere na wahisani waliweza kuleta mafanikio katika afya na elimu lakini AHM, BWM, na JMK na wahisani wao wamefeli katika elimu lakini uchumi umekua!

1985 wakati anang'atuka tayari stats za elimu zishaanza kuporomoka.

Hili ni dai ambalo nitafurahi kuona ushahidi wake.

Literacy rate ya 90% ilifikiwa mwishoni mwa 70. Na 1985 ilikuwa kwenye 75%.

Ina maana hata wakati anaondoka bado literacy ilikuwa juu kuliko miaka ishirini ya kusamehewa madeni, soko huru n.k n.k. Nyerere then was a genius linapokuja suala la literacy!
 
NN:

Sio ku-blame Nyerere. Nyerere alikuwa ni Pioneer. Na kama Pioneer, likehood ya programs za ku-fail ilikuwa kubwa.

Na sehemu kubwa ya failure ilikuwa ni kutegemea misaada.

tumeacha lini kutegemea misaada? Tulianza lini kutegemea misaada? HIvi wakati wa Nyerere na leo hii ni lini hasa Tanzania imetegemea misaada zaidi?
 
sasa ilikuwaje Nyerere aliweza kuwashawishi wafadhili au wafadhili kushawishika na sera za nyerere kuhusu "kufuta ujinga" kiasi kwamba walioko madarakani leo hii wameshindwa kufanya hivyo?

Mwanakijiji

You are all lost!
Nyerere alifuta kodi na watanzania wakambiwa na huyo Nyerere kwamba atawapatia kila kitu bure i.e Elimu matibabu na hata wanawake bure!

At the same time through Azimio la Arusha akua ushindani na zile njia kuu za uchumi akawapa makada wa TANU who really sexed the economy!

Mwamzoni kuna baadhi ya wababe walimsaidia but down the road wakamwacha solemba in his political ego!!!!

Maokeo yake ndiyo haya watu wakazaliana kama kumbi kumbi si kilakitu ni bure!

Before his departure we were almost 25m kutoka aliowakuta about 8m at Uhuru!

After smelling a rat mind you Nyerere wa a genius and a man of his own words that is why he planned a safe exit kwa hilo bravo Mwalimu RIP!

Kwa hiyo mnapojadili be carefull you must take stock of all conditions! If you dont widen the tax base so that every buddy above 18 years pays tax then you can never pull up anything unless you become the 52nd Ameican state.(USA)

Otherwise good day endeleeeni na hizo ndoto wafadhili have their own agenda and strategic missions to fulfil period!

Back
Top Bottom