Tanzania na bakuli la misaada kwa Wahisani

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
712
331
Tanzania imeweka sheria zinazowabana ombaomba wa barabarani(baadhi ya Raia wake) sababu muhimu ikiwa ni kwamba kwa kuwasaidia ni kuhamasisha tabia hii.

Suala hapa na Tanzania iwekewe sheria maalumu na Nchi wahisani pamoja na mashirika za kuikataza Serikali kuomba kwao ili kuzuia au kupunguza tabia ya kutegemea misaada? Na je Tanzania kuombaomba misaada kwa Nchi wahisani ni sawa na omba omba wa barabarani?
 
Muhimu uelewe kuwa bakuli letu la kuomba ni la dhahabu na wafadhili wanatudondoshea sarafu za shaba na silver - WHAT A SHAME!!
 
Viongozi wetu wamefanya mikataba kama ya k'peter. Mikataba mingi ni ya kilaghai ndo maana uchumi wetu una negative results.
 
Back
Top Bottom