TANZANIA Mpya inakuja

Hatuchagui sera (hiyo ya kila chama ni nzuri kwasababu ni marketing tool)

Tunachagua mtu makini na muungwana mpenda haki..

Tumefurahi sana kupata michango na mawazo yenu.. Ninyi ni watu Muhimu sana na mbegu za taifa Hili. Tutaendelea kuhakikisha kwamba mbele linapokuwepo jiwe basi tuangalie na kisiki kitachofuata.
 
Ni kweli Ndio Maana mpaka sasa Nguvu na Nia Zetu tumezielekeza Upinzani. ingawa tunakiri wazi kwamba Tunatofautiana kwenye Itikadi na Mitazamo. Ila Kwanza Tumejizatiti Kuhakikisha Chama Kilichopo madarakani kwanza Kinaondoka Madarakani

Mtahakikisha vipi kwa kufanya hivyo sababu kama mkiweka mgombe urais na ubunge hamuoni kwamba mta-dilute kura za upinzani kwanini ndio msiform chama lakini kabla ya uchaguzi mseme kabisa sisi tunaunga mkono 100% chama cha upinzani X.., mkishangoa serikali ndio mtarudi na kufuata sera zenu..., sababu hapa hata mkiwa wazuri vipi kwa kugawana hizi kura za upinzani nyote mtabaki kuwa wapinzani na sio chama tawala
 
Ni kweli ila kwa sasa Tunashawishika kwa dhamira zetu kuamini Tukijuacho zaidi kuliko kutegemea tusicho na Uhakika nacho..
 
Ni kweli ila kwa sasa Tunashawishika kwa dhamira zetu kuamini Tukijuacho zaidi kuliko kutegemea tusicho na Uhakika nacho..

Poa wakuu am all for change na upinzani...., ila chonde chonde ikifika 2015 badala ya kuanza kupigana wenyewe kwa wenyewe tafadhali sana tena sana muungane wote na kuingoa CCM, badala ya kina Mtikira, Lipumba n.k. wote kutaka urais nina uhakika wangefanya kazi pamoja sasa hivi tungekuwa na kina Mtikira na Lipumba mjengoni wakitetea maendeleo yetu..

All The best ingawa sijajua mpaka sasa mmefikia wapi au ndio mnaanza ?, na vipi wanachama mnao wa kutosha tayari ?. Binafsi mimi ni mwanamageuzi ambae furaha yangu itakuja siku CCM (Kupe) akitoka.., kwahiyo siku nyie wote mtapofanya kazi pamoja na kutengeneza dawa ya huyu KUPE, ndio siku ukombozi utakuja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom