Tanzania Moto Moto Hiyo (Moyo mwepesi usisome) Ila Mkuu na Waziri wa ulinzi wajiuzulu

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Hii abari sina uhakika nayo na sijui kama imeshatua hapa JF maana toka kanzi kapigwe fagio akuna tena ot newzer, ila hii ni Tz ni habari motomoto kama haijafika hapa nimerushiwa

Re transmitted as received.

Man's inhumanity to man. A bus was ambushed by armed robbers. The passengers were robbed and
raped. Those that had nothing to give were asked to lie down on the road face down and the driver, at gun point, was commanded by the robbers to drive the bus over them!!!!
mail
 
Hii abari sina uhakika nayo na sijui kama imeshatua hapa JF maana toka kanzi kapigwe fagio akuna tena ot newzer
,ila hii ni Tz ni habari motomoto kama haijafika hapa nimerushiwa

Re transmitted as received.


Man's inhumanity to man. A bus was ambushed by armed robbers. The passengers were robbed and


raped. Those that had nothing to give were asked to lie down on the road face down and the driver, at gun

point, was commanded by the robbers to drive the bus over them!!!!
mail

Hii habari naiona ki-Tomaso tomaso hivi!
 
Kama hii habari ni kweli basi tumeshavuka threshold line

tumeshindwa tu kuwatafsiria wananchi kwamba mambo haya hadi watu kukosa utu moyoni yana uhusiano wa moja kwa moja na ilani mbovu,ahadi hewa ya maisha bora kwa kila mtanzania.

My God,we are done!
 
Kama hii habari ni kweli basi tumeshavuka threshold line

tumeshindwa tu kuwatafsiria wananchi kwamba mambo haya hadi watu kukosa utu moyoni yana uhusiano wa moja kwa moja na ilani mbovu,ahadi hewa ya maisha bora kwa kila mtanzania.

My God,we are done!

Binafsi sina tatizo kama ni kweli ila napata shida kuamini! But this is Bongoland, wenye nchi walishaiweka rehani kwa hiyo kila mtu lazima atembelee shamba la bibi kwa wakati wake!
 
Habari kama inaukweli wowote ilipaswa kuwa habari kubwa lakini kwa jinsi ilivyo ni udaku type. Napendekeza Mods aipeleke kwenye jokes.
 
Hii habari nimekutana nayo kwenye mtandao ila sina uhakika kama ni Tanzania. Nafikiri ni kwingineko duniani.
 
Tusiwe watu wakuilalamikia serikali kila leo,ww kama ww umechukua hatua gani kujikwamua na kukwamua watu???tuungane kuleta mabadiliko,tuijenge nchi yetu tujiongoze wenyewe kwenye maendeleo.serikali ibaki kutuongoza na kutunga sera sahii........hawa wanayofanya haya ndo wale kama ww wanaoamini na kusubiri serikali iwashushie neema!!!
we have people and land what we need is juhudi na maarifa jumlisha uongozi BINAFSI bora!!!!!
 
Bila kufinya jicho Hii habari siiamini kwani mbali ya kuwa inawezekana tukawa tumeshafikia hatua ya unyama kama huo, Tanzania hatujafikia uwezo wa kuficha habari kama hiyo isieleweke ndani ya jamii. Hii habari ni zile zile stereotype za kupaka matope Afrika.
 
Hii ilitokea Nigeria, siyo TZ!

Sasas mleta habari si angetwambia?

Mwiba, hebu eleza zaidi hii story na uache kuturusha roho. Mwenzio nilishaanza kutafuta sayari ya kuhamishia wanangu. Baba wa kweli utaachaje watoto wako wakulie katika nchi inayoweza kulinganishwa na serengeti NP ambapo ni halali ya simba kutafuna kila kitu anachotaka?
 
Hii issue ilitokea Nigeria na wabunge waliwataka polisi wajieleze ilikuwaje hadi unyama ule ukatokea.
 
Habari kama inaukweli wowote ilipaswa kuwa habari kubwa lakini kwa jinsi ilivyo ni udaku type. Napendekeza Mods aipeleke kwenye jokes.
Best haya mambo yanatokea kweli, mwaka jana nilikuwa home Biharamulo kuna jamaa katika pori la kuelekea Kigoma kupitia nyakanazi, jamaa waliteka gari (hiace) ilokuwa imebeba maharusi na baada ya kuona hakuna kitu kwa mkono walimbaka bibi harusi hadharani na kisha wakatimka, badae usalama JWTZ walivamia pori na kuwafyeka majambazi kama njugu. Hili la majambazi nililishuhudia mwenywe pale hospitali teule ya wilaya ya Biharamulo walikuwa wamechakazwa risasi dunia nzima. But guess what, sikusikia tangazo redioni wala nini, yule jamaa wa RFA alilipoti mambo mengine ya maarbino. So these things are there and have been there only that most of them are not being reported!
 
Back
Top Bottom