Tanzania mortgage refinance company limited - any info ya hii kampuni

Semilong

JF-Expert Member
Mar 5, 2009
1,712
219
Kwa kifupi ni kampuni ambayo itakuwa inakopesha mabenk ili wakopeshe watu kwa ajili ya mortgage. Chairman wake ni charles kimei wa crdb.

Any info about this company is welcomed
 
Hapo ndio wanapoharibu Charles huyu aliyeigeuza benki ya wazawa kuwa ya wachaga watupu? tumeumia? kama ni morgage katafute kwingine na kama ni bidhaa hatutaiulizia tumeshindwa sisi, nadhani ingekua vizuri kama ilivyotokea TANESCO na NBC kama ni huyo rais achauge watu wapya wanaovuna kwa kupanda jamani Tanzania hii ina watu wengi. Tumechoshwa na wachovu wanao lobby hizo nafasi kwa faida zao. Kwanza yeye mwenyewe ameshawekeza kwenye real estate atapewa jiko hapo hauoni kuna conflicts of interest na kuendeleza ufisadi kama ule wa kupitisha hela za EPA? ama ndio katika matayarisho ya bl 40 za uchaguzi wa CCM?
 
Back
Top Bottom