<br />Well walipopewa nafasi ya kubadilisha serikali inayowaongoza walichagua chama gani kurudi madarakani kuwaongoza. Wawe tayari kuishi na matokeo ya uchaguzi wao.
Hebu rudia kusoma post ya Mzee Mwanakijiji hapo juu utaona solution.Watanzania tufanye nini ili kuweka mambo sawa? Mbona kila kukicha tunalalamika tu na hatuchukui hatua? Hapa JF tena "the home of Great Thinkers" lakini kila siku hatuandiki solution ya matatizo ila tunaishia kuandika malalamiko tu. Hivi hii hali mpaka lini?
mkuu usihofu utapiamlo!!!aseee anza kuisahau tea manake soon and very soon
itakuwa kama ilee ya maduka ya ushirika ya nyerere
tutarudi kwenye ugali wa manjano (wa yanga na uji usio na sukari)full utapiamlo khaaaaaaa