Tanzania, maendeleo hadi.....

Indume Yene

Platinum Member
Mar 17, 2008
2,950
711
Ili tuendelee....twahitaji mambo manne (Unakumbumbuka wimbo huu?)
Watu kwanza, ardhi pili...............utamalizia.

IMG_2536.JPG

Ili tuendelee....twahitaji mambo manne (Unakumbumbuka wimbo huu?)
Watu kwanza, ardhi pili...............utamalizia.

IMG_2536.JPG

nashindwa elewa ,jamaa anachezea laptop akiwa juu ya gari ni mwandishi wa habari au nani?
 
nashindwa elewa ,jamaa anachezea laptop akiwa juu ya gari ni mwandishi wa habari au nani?

NZIRIYE.. Sidhani kama ni sahihi kusema jamaa ''ANACHEZEA LAPTOP'' ungefikiri POSITIVELY hii si sawa
 
Huyu ni mwandishi wa habari alikuwa kwenye msafara wa kamati ya bunge ya hesabu za mashirika ya umma akitokea liganga kwenye chuma ( kamati ya Zito)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom