DAR si LAMU
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 2,928
- 544
...Ukishawaondoa hao wote, utapata faida gani?Mkuu.ningekuwa na maumuzi.nchi hii Wakenya wote na wahindi ndio ningeanza nao.then wakongoman
...Hii ni nchi yetu, si ya Wakenya. Hivyo lolote linalotokea hapa ni juu yetu sisi wenyewe si wao. Kwani, kuna mtu katusimamia na silaha mgongoni tusijenge hiyo barabara?. Kama kuna justification sioni haja ya kuhangaika na mtu yeyote. We just go ahead and build it. Tell me, who will stop us, if its justified?
...Kwenye suala la meno ya tembo, we lost the argument, and thats all. We were ill prepared, and the timing could have been wrong.