Tanzania leads in East Africa on well-being

Wao wanaziona fursa, nyie mmelala, ndio hayo, halafu mnabaki kulalama.
Jaribu kuwa analytical binti!!! wageni kuziona fursa sio kwasababu watz wamelala ila ni kwasababu serikali inabana sana wazawa na kubeba wageni. Mfano wageni wanapewa grace period umeshawahi kusikia wajasiliamali wa kitz wamepewa grace period?, nchi kama Africa ya kusini kuna program maalum ya kuhakikisha wajasiliamali wanapata mikopo bila vikwazo vya ajabu ajabu, je unajua jinsi ilivyo ngumu kwa mjasiliamali mdogo wa TZ kupata mkopo kuliko hata mgeni mwenye biashara kubwa? Na unajua kuwa kuna watanzania wengi wamekimbilia nje kutafuta maisha na wamefanikiwa mno kiasi cha kuamua hata kununua uraia wakituhumu mazingira mabovu ya kibiashara? Hiyo research sample itakuwa ilijumuisha wafanyakazi ktk serikali za mitaa tu, maana hao wakiona questionnaire tu wanadhani ni ccm inatafuta nani ni CHADEMA ili imfukuze kazi.
 
The audience for this research are investors. Besides being a public policy forum, (lobbying group, PR), this "institute" also has an investment firm branch. Its very obvious that whoever has conducted and commissioned this highly questionable report, had only one thing in mind that is to show a "clean" Tanzania, with people confident in their judiciary to lure investors.
(A US study conducted in 2009, by State Dept. the Tanzanian judiciary was found to be the most corrupt. Recently, EA bribery index came up with the same results.)
Since 2009, when the article on GRAND corruption was suppressed, there has been no GRAND corruption articles mentioning the corrupt officials in the local media. Last year, when people wanted to protest the DOWANS ruling, police banned protests. WHY?
Because seems like the Tanzania government wants to suppress the reality of investing in Tanzania, and the reality that there are corrupt officials in the government, and that corruption is the status QUO, the system prevalent today in TZ. The reality is that today in TZ the health sector, the education sector, rule of law, the infrastructure all is suffering due to a corrupt system in place.
 
Hiyo kwa Abdallah Kigoda ni Hoteli na jina nimeliweka hapo, na isikustuwe sana kwani chumba cha double ni 20,000/= tu kuna kulala hoi zaidi ya hapo? Unanchekesha! au uliposikia kwa Kigoda ukajuwa ni kama Kempinski?

Mtabaki kulalama mnaibiwa wakati wenzenu wanafanya kweli. Nyie kaeni tu, sisi tunaoziona fursa tunazitumia ipasavyo na mnaolalamika tutaendelea kuwaajiri na hamna zaidi mtaendelea kulalamika kwa kuwa ni wavivu wa kutupwa, mnangoja mpikiwe; mpakuliwe, mlishwe. Nyie kaeni mngoje handouts.

Abdallah Kigoda siku hizi amekuwa hoteli? Si bora tu utache jina halisi la hoteli badala ya huyo abdalla kigoda au ulilala naye kwenye hiyo double room ya 20,000/
 
Back
Top Bottom