Tanzania labour laws

JESCA NDOSI

New Member
Jan 4, 2012
2
0
hellow, would any one pls post a TANZANIA LABOUR ACT for me in WORD FORMAT? I badly need it. thanks.
 
Nadhani unahitaji kitu kinachoitwa ELRAyaani Employment and Labor Relation Act ya mwaka 2004, ambayo ndio inatumika hadi sasa. Kimsingi sheria hii ni pana mno na ina sehemu zaidi ya kumi na sehemu ndogo ndogo nyingi sana. Sasa ugesema ni kipengele kipi hasa unahitaji kujua au kama ni sheria yote kwa ujumla wake ningekushauri uende duka la vitabu la serikali utaipata kwa gharama nafuu.
 
Hii hapa (see attachment), pia tembelea www.lexadin.nl
Bofya "Legislation"
Chagua nchi unayotaka eg: "Tanzania"
Halafu chagua Act unayotaka, eg: "Labour and Relations Act 2004"

AU:
Law Reform Commission of Tanzania
Bofya kwenye "Acts" then chagua Act unachokitafuta.
 
nimefurahi pia kupata act hii naomba kama naweza kupatiwa act hii kwa kiswahili,ELRA 2004,TAFADHALI
 
hellow, would any one pls post a TANZANIA LABOUR ACT for me in WORD FORMAT? I badly need it. thanks.

You spoke as a person who never entered a law class, I would rather suggest that you consult a lawyer before springing up with posts that make little sense. I am sorry to say this anyway.
 
Back
Top Bottom