Tanzania kwa vimwana iko juu

Mbona sio natural? nywele za kizungu, rangi ya kiarabu? au kachangia?

inategemea na mtazamo dada..

'natural' au 'not natural' ni subjective to my understanding....labda niulize hivi binadamu kuvaa nguo ni natural? maana hakuna aliyezaliwa akiwa amevaa nguo:biggrin1:
 
wa kawaida sana kaka, hana jipya. hata mke wangu ni mzuri mara mia kuliko huyu... bt sikulaumu kaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom